Тёмный

KUNA UHAI TENA - (JOHN 11:4, 11...) 

Mwangaza TV Kenya
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

KUNA UHAI TENA - (JOHN 11:4, 11...)
#SundayService #JesusWinnerMinistry #MwangazaTv
SUNDAY SERVICE | JESUS WINNER MINISTRY - NAIROBI
SMS 22914|22913
Follow us on:
​INSTAGRAM @Mwangaza_tv
/ mwangazatvk. .
FACEBOOK @Mwangazatv
/ ​​​
TWITTER @Mwangaza_tv
/ mwangaza_tv

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@mercyawory3694
@mercyawory3694 Год назад
The time of being single mother is over, rejection spirits, struggling at work financial breakthrough 😢🙏💪
@Macakungs
@Macakungs Месяц назад
I receive it
@Agnesndaguri
@Agnesndaguri 5 месяцев назад
MUNGU wambinguni aendelee kuinua nabii wake pastor mwai .
@eunicewainaina4678
@eunicewainaina4678 Год назад
Amen and Amen 🙏
@joycekaranja5476
@joycekaranja5476 Год назад
Tuned from Saudi Arabia my church Amen 🙏
@josphinemwangi7832
@josphinemwangi7832 10 месяцев назад
Amen amen
@jennifermuli9148
@jennifermuli9148 Год назад
Amen Amen Amen 🙏 🙌
@humphreynjoroge5844
@humphreynjoroge5844 Год назад
Yesterday was such a nostalgic moment to be in the presence of the Lord as Our Dad Rev Mwai was giving out his powerful sermon about God restoration.
@freddieg2847
@freddieg2847 Год назад
Amen Glory Be to GOD.
@susanwambui4506
@susanwambui4506 2 месяца назад
I wish pastor can repeat sermon again
@faithwanjiru1159
@faithwanjiru1159 7 месяцев назад
This day ❤❤❤❤❤❤❤❤ God bless you dad
@sherrienduati7651
@sherrienduati7651 Год назад
AMINA. Wakristo maadui wanaona tumenuka, tuliisha na tumefika mwisho lakini mwisho wetu ndio mwanzo wa Jehovah na wakati mambo yameharibika ndio Anakuja. Kuna watu wanangojea aibu yetu ndivyo waweze kuongea lakini leo baada ya hii hayo maongeo, madharau na misemo yao Mungu Anaibadilisha. Leo Mungu Anaita majina yetu, tutatolewa kwa hizo shida na Atatuchomoa. Damu Ya Yesu Kristo Iliyomwagika Msalabani leo itatakasa mchanga wetu, maisha yetu na misingi yetu. Itanena juu ya maisha yetu, itatufungua na itakata minyororo yote. Tukiguswa na mafuta na mchanga wetu ukimwagiwa mafuta leo maisha yetu iliyokufa na chochote kilikufa kitafufuka na kitainuka. Kuna sauti mpya wanapomaliza kutuaibisha.
@margaretwangeci2610
@margaretwangeci2610 Год назад
Amen
@cynthiaadhiambo7653
@cynthiaadhiambo7653 Год назад
Glory to the lord 🙏🙏 nineshukuru sana kwa neno la bwana ubatikiwe pastor, na mutuombee uku Saudi tukae na amani mungu atulinde hadi tutakapo rudi
@mercyawory3694
@mercyawory3694 Год назад
Ameeeeen 🙏🤔😰
@lucyngng-tk3el
@lucyngng-tk3el Год назад
Amen Glory to Jesus power daddy enyewe huku saudi Arabia pamoja lakini we need more prayers
@primexestate9568
@primexestate9568 Год назад
My Place, my daddy. God bless you
@joycekaranja5476
@joycekaranja5476 Год назад
Zidi ku tuombea pastor uku saudia Arabia sacrifice ni mingi sana na pesa yao ni lazima wa sacrifice before upewe🙏
@meri4800
@meri4800 Год назад
Amen Amen...thank you Jesus 🙏
@sherrienduati7651
@sherrienduati7651 Год назад
AMINA. Wakristo kile kilikufa kupitia mchanga wa kwetu leo kinaenda kufufuka. kuna mambo yanaonekana ni kama yamekufa kwa maisha yetu, yanatuelekeza kwa kaburi na yanatumaliza lakini hizo shida tuko nazo sio za kuleta aibu bali ni za kuletee Utukufu kwa Mungu. Yale mambo tunaona hayaendi vile tunataka na ni kama tunakufa Mungu Anayabadilisha. Kuna mambo tulipitia ndivyo Mungu Atuelekeze JWM ndio wakati sisi na familia zetu tutainuliwa watu wajue kuna Mungu. Kabla tupate aibu na watu watuongee Yesu Ataingilia. Tumepitia hizo changamoto lakini leo 10/9/2023 kuna baraka inazaliwa. Mungu Anangojea siku yake ndivyo Ajitukuze kwetu. Aibu ikibadilishwa leo italeta baraka. Kuna ushuhuda Mungu Anafanya.
@AnitaKamene
@AnitaKamene Год назад
Amen 🙏🙏
@nancymbuchi7066
@nancymbuchi7066 Год назад
Hallelujah
@123millynje
@123millynje Год назад
Mmh tu nataka mafuta ..huku Qatar...
@florencenyambura4940
@florencenyambura4940 Год назад
Blood of God. Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@brendakim1316
@brendakim1316 Год назад
Tuned from Lebanon ..my church 🎉. AMEN 🙏 🙌 ✨️
@locylocy8852
@locylocy8852 Год назад
Pastor.niopee.niko.saudi.amen
@mugimanancy
@mugimanancy Год назад
Leo nimebarikiwa, Sasa mambo yanabadilika
@boscogitau2711
@boscogitau2711 Год назад
Amen Amen it was a powerful sermon
@elizabethwangui8384
@elizabethwangui8384 Год назад
Halleluya
@locylocy8852
@locylocy8852 Год назад
Ooh yes
@sherrienduati7651
@sherrienduati7651 Год назад
AMINA. Wakristo kuanzia leo kazi yote ya shetani, maadui, waganga, wachawi na maombi machafu inafika mwisho wajue time is over!! Sisi tunaona kifo Yesu anaona usingizi, tunaona kuisha na Yesu Anaona uhai. Mwanzo wetu sio mwisho wetu. Tulianza na shida na tutamalizia na baraka. Leo Madhabahu Ya Mungu Ya JWM Yataongea juu ya maisha yetu na yatayabadilisha. Malaika Wa Mbinguni wametumwa kwetu na chochote kilikufa kitafufuka. Sisi ndio tutaondoa mawe ya kwetu na ndiyo maana tumeleta mchanga. Hata kama tumejaribu na tukashindwa kuondoa uganga, uchawi na laana za kwetu leo Yesu Atatuchomoa. Mahali Mungu Alipanga Kutupeleka Atatufikisha
@charitymburu3344
@charitymburu3344 Год назад
Nikumbuke naumwa nakila mahali
@WanjiruShii-jq1vl
@WanjiruShii-jq1vl Год назад
Pastor c ubadilishe tu hizo number za bank
@puritywanjiru5927
@puritywanjiru5927 Год назад
Amen Amen
@naomimkamba5314
@naomimkamba5314 Год назад
Amen! Amen!
@locylocy8852
@locylocy8852 Год назад
Amen
@elizabethwangui8384
@elizabethwangui8384 Год назад
Halleluya
@ruthmakumbi
@ruthmakumbi Год назад
Amen
@kennedykibuchi2830
@kennedykibuchi2830 Год назад
Amen
@Njongestephen16
@Njongestephen16 Год назад
Amen
@elizabethwangui8384
@elizabethwangui8384 Год назад
Amen Amen Amen
@christinekame9740
@christinekame9740 Год назад
Amen
Далее
Million jamoasi - Amerikaga sayohat
12:37
Просмотров 350 тыс.
Ministration by pst. Florence Roberts
11:07
Просмотров 14 тыс.
Pst  Elvis Mathenge- Mungu atakupigania vita vyote
28:49
SCHOOL OF PRAYER LIVE SERVICE 08.09.2021
1:07:32
Просмотров 11 тыс.
"NDI KWENDA UHIKI WA WANA" BISHOP JANE KINGORI
1:34:31
Просмотров 14 тыс.
Pst. Daniel Gitahi (SPIRITUAL AWAKENING) C.F.F Donholm
38:24
Pst. Edward Mwai -The Power of the Altar Pt.1
27:24
Просмотров 17 тыс.