Asante sana kwa SoMo zuri,Mimi nataka kupungua uzito kwa upande wa mazoezi kwangu itanishinda miguu hata nikitembea umbali mrefu inaniuma sana kukimbia kwangu itakuwa shida
Mbona huzungumzia kuhusu pombe, ninachojua pombe Pia inanenepesha kama bia, vipi kuhusu pombe kali? Kwa maana nasikiaga watu wanasemaga nakunywa pombe kali napunguza mafuta, je ni kweli inapunguza mafuta mwilini?
@@stelllakapaya9517 jitaidi sana kula mboga mboga na matunda ili upungue kwa haraka kisha baadae ndio uanze kula kidogo kidogo vitu vya wanga sio uachekabisa mana navyo vinauitaji mwilini