Mm naomba kufaham j pili iliyopita mkewangu aliludi saa 2 usiku na leo saiz saa 2 hajafika nimepiga sm anasema alikuwa kwenye kikao ivi kweli hivyo vkao vya kusababisha awawake kurudi usiku kweli
Fatilia Sana ili kanisa Kaka ......ni kanisa lililochaguliwa na MUNGU .....nakuomba utafakari kwa umakini maneno yangu......narudia Tena ....ni kanisa lililochaguliwa na MUNGU
Ukiona Biblia haitumiki sana, stories nyingi na ahadi ya vitu vionekanavyo kwa macho ya mwili kuliko Rohoni.Kaa chini tafakari,msikilize Roho wa Mungu,utapata majibu.
Kwa bahayi mbaya Mungu hatazami mafanikio ya Mwanadamu, "Mungu ni roho,nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli(sio mchungaji).Wapi imeandikwa Mungu alimsifia Tajiri na kumwambia yupo sawa kwa kumiliki vya Duniani?!!!