Тёмный

KUOSHA NYWELE NYUMBANI /Zuia nywele kukatika ,Kuwasha na Mba 

Vivianatz
Подписаться 145 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Hello dear , leo nimekuonesha jinsi ya kuosha nywele nyumbani, mbinu na siri za kukuza nywele na kuzuia muwasho mba na mapunye ,hope itakusaidia
Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.
Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .
NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
MONDAY AND FRIDAY at 07:00am
PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA
TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE
KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
PONYTAIL
• KUTENGENEZA KIBANIO CH...
KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
• Kubana nywele fupi NZI...
KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
• KUSUKA RASTA ZA MABUTU...
KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
• MITINDO TOFAUTI YA LOC...
KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
• KUSUKA DISTRESS LOCS K...
KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
• Kubana nywele Fupi "Ha...
KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
• Kusuka Crochet kwa kut...
MAKEUP FOR BEGINNERS
• Beginner Makeup series
MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
• MITINDO YA MAVAZI /TRY...
MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS • Mafunzo Ya Makeup/Make...
MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
Email ; Business@vivianatz.com
Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
INSTAGRAM ; ...
Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 75   
@ZubedaAlly-uu8cd
@ZubedaAlly-uu8cd Год назад
Nmependa
@rehefehe8890
@rehefehe8890 Год назад
Somo zuri Sana ,mm mwenyewe bila ya mega growth product siwezi ,ni kweli nywele zinakuwa
@Vivianatz
@Vivianatz Год назад
🙏❤❤
@namykary4068
@namykary4068 Год назад
Hi Dear Asante sana. Mimi nywele zangu ni ngumu na hazikai na unyevunyevu last year Dec mber nikazi pasi zikawa kama za dawa mpka sasa ziko kama za dawa na zinakatika.
@sharurymamy5229
@sharurymamy5229 Год назад
Ninaasili ya nywele laini tuu lakini ninatatizo la mmba naweza osha leoo keshokutwa ndoo nakuta umejaa zaidi ukwel naosha mala kwa mala nawez kuosha sijui mala ngapi .. kwasa nimekata maaa kabisa kupk mafuta kichwani lakn badoo mmba upo sijuii nifanye nn na nywele angu inakatika na haikui
@applephone4893
@applephone4893 Год назад
Ukipata dawa nami nijuze mana tatizo lako kama langu
@chimpayeamosy8327
@chimpayeamosy8327 2 года назад
Nakupenda 💕 Sana kipenzi yan zaidi ya sana tangu nifatilie video zako sawa Nina mabadiriko mpenzi make nywele yangu ya kipilipil nikua nikiishi nayo kwa dawa japo nilitaman natural Sasa🙏 na aziniwashi Tena🥰
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Asantee saaana dear, nafurahi kusikia nywele yako ipo sawa sasa , tuendelee kujifunza zaidi ❤❤
@sadakondo8736
@sadakondo8736 2 года назад
Jmn da vivi tuoneshe jinsi ya kusuka hiyo nywele jmn
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Soon dear naweka video yake
@giftepeter2129
@giftepeter2129 2 года назад
Love nyingi kwako Mimi nywele yangu Kama yako ngumu Sana hainaga ncha nikanyoosha napasi mara 2 inakatika Sana arafu inakua ka inadawa na nikanyoosha nauzi pia lnakatika kwasababu lna asili yaukavu .lla Leo nimejifunza ntaacha nifate njia ulioelekeza dear na nitanunua shampoo iyo living condition za mega nitakupa mrejesho
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
OK dear , utanijulisha ❤
@marryclemence5820
@marryclemence5820 Год назад
Nakupenda sana kwan c mchoyo wa ujuz hata!👏
@Vivianatz
@Vivianatz Год назад
Asantee dear
@stevenisack6049
@stevenisack6049 4 месяца назад
Kuosha nywere mala kwa mala husababisha zisikue kwa haraka 👈?
@gracehenga1980
@gracehenga1980 5 месяцев назад
Unanywele kama zangu.
@neemakikoti5091
@neemakikoti5091 Год назад
Du Hadi raha zimekuwa
@njerisalome6920
@njerisalome6920 2 года назад
Napenda video zako love from Kenya♥️tufunze hairstyle ya weak edges please
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Thanks dear, I will
@maurinekimaro3717
@maurinekimaro3717 Год назад
Mamy zangu zimekataa kukuwa pia zinadawa nataka ziishe dawa ziwe kama zako nisaidie mpenzi nifanyaje
@nineemasanga7310
@nineemasanga7310 2 года назад
Nywele nzurii...
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Asantee, ❤
@marym2690
@marym2690 2 года назад
Mpenzi unaweza kunitajia leave in conditioner ambazo hazina protein maana zenye protein hazikubali nywele zangu(low porosity) zinaniwasha sana
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Hello dear sawa itaweka video yake
@marym2690
@marym2690 2 года назад
Sawa asante.
@vivianachema4121
@vivianachema4121 Год назад
Mamii samahani hizi step ulizofundisha zinafaa hata kwa nywele za dawa
@Vivianatz
@Vivianatz Год назад
Yes dear zinafaa
@japhetjoseph6521
@japhetjoseph6521 Год назад
Naomba mamba yako dear
@aneth520
@aneth520 Год назад
Asante
@magrethmpyuka220
@magrethmpyuka220 2 года назад
Hello kipenz mm Nina nywele natural Natokeaa nimeanza kutumiaa leaving conditonar now zime grow lkn nikipaka hiyo leaving nywele zinakuwa zinawh kuchafuka sijajuaa shida n nn au nakosea wap
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Hello dear , ukipaka huwa zinakauka? au unapaka gel na conditioner kwa mda mmoja ?
@zulehaabubakar3574
@zulehaabubakar3574 Год назад
Mimi naomba uniandikie hivo unavovitumia ili nikavinunuwe momy
@johanatemba5755
@johanatemba5755 2 года назад
Hiyo brake fluid inapatikana wap coz mm ninawashwa kichwan Sana
@elizabethisaroche6314
@elizabethisaroche6314 Год назад
0:53
@MariaAmasha
@MariaAmasha Год назад
@hollojumannemlimi4496
@hollojumannemlimi4496 2 года назад
Nimeipenda Sana hongera
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Asantee dear
@giftchansa3892
@giftchansa3892 2 года назад
Wow daaaah nakupenda jamani
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
❤❤
@naomynaomy1273
@naomynaomy1273 8 месяцев назад
Pia me nko na shda ya nywele imagne nywele yangu imemalza 4yrs na ichagrow iko to ivo
@Vivianatz
@Vivianatz 4 месяца назад
Angalia video yangu mpya nimeelezea kuhusu mafuta ya kukuza Nywele
@MiraMbepera
@MiraMbepera 2 года назад
Wow
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
@beatricemwakalunde6358
@beatricemwakalunde6358 Год назад
Hayo mafuta ya break hayanuki
@salomelucas3485
@salomelucas3485 2 года назад
Mashallah
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
🙏❤
@muniraramadhani1557
@muniraramadhani1557 Год назад
Kiukwel mm nilikuwa nikiosha nywele nisipopiga pasi nilikuwa nachukia kabisa nywele zangu ila baad ya kufuat hizo process nywele zangu nazipenda mnoo zinanyooka bila kupiga pasi
@Vivianatz
@Vivianatz Год назад
Asantee kwa feedback dear ❤❤
@muniraramadhani1557
@muniraramadhani1557 Год назад
@@Vivianatz na siku zote huwa natumia bidhaa za mega sema naomb nishauri nitumie mafuta ya mgando au ya maji kipenz?
@muka7354
@muka7354 Год назад
Ulilalaje usiku na nywele mbichi? Ulijifunga nini? @vivianatz
@Vivianatz
@Vivianatz Год назад
Nilivaa kofia zile za bonet
@linachester2095
@linachester2095 2 года назад
Uko na hii video, ulivyoshuka hizi nywele??
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Bado dear , nitaiweka soon
@betinasimkoko2095
@betinasimkoko2095 Год назад
unaosha kira baada ya siku ngap
@johanatemba5755
@johanatemba5755 2 года назад
Hiyo brake fluid inapatikana wap dada Manake Nawashwa sana kichwan
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Ukiwaomba madereva boda boda wanakuuzia au hata garage unapata dear
@chudachudaty34
@chudachudaty34 2 года назад
Na mimi umenifanya niipende nywele natural sababu ya hiyo mega strengthener ulipoiongelea video za nyuma,,,, siteseki tena kuchana kipilipili changu nna raha nazo
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Asantee saana kwa feedback dear❤❤
@chudachudaty34
@chudachudaty34 2 года назад
@@Vivianatz sema ukweli nna kitu nataman siku nifanye kuhusu wewe na naomba Mungu anijaalie nije nitimize sababu sikuwa najua kusuka hata kidogo nlikuw nasubir serikali iniajiri,,, ila saiz mi ni fundi mzuri nimejiajiri ambaye nlianzia kujisuka mwenyew kimasihara kupitia wewe najisuka nywele zote unazozijua bila shida nna miaka 2 sijawahi kukanyaga salon kusukwa
@praxedadominic6670
@praxedadominic6670 2 года назад
❤️❤️❤️
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
🤩🤩
@devothamwamwezi2036
@devothamwamwezi2036 2 года назад
Natamani nywele yako daaah mm nilipakaga brichi basi humu mbele kwenye paji la uso nywele hazioti kabisa mamy ety nifanye nn ili zianze kuota yaani hakuna nywele kabisa humu pembeni ya macho kwenye kichwa
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Hello dear polee, nenda kariakoo madika ya vipodozi nunua mafuta yanaitwa MPL , uwe unapaka humo kwenye ngozi kila siku
@devothamwamwezi2036
@devothamwamwezi2036 2 года назад
@@Vivianatz sawa mamy nimekuelewa ntakupa mrejesho ahsante
@siaeli3042
@siaeli3042 Год назад
Nimekupenda bure ntafanya hivyo napenda nywele natural but sikujua namna ya kuzitunza mara nyingi nilibrodilai zinakuwa nyepesi
@Vivianatz
@Vivianatz Год назад
Asantee dear ❤
@aminahamis979
@aminahamis979 2 года назад
Cc
@salomelucas3485
@salomelucas3485 2 года назад
Me Sina kipilipili Ila nyelee yangu imefika mahaliii aikuiii nitumir product ganii za nyelee ambazo si kipilipilii
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Nitaweka video yake dear
@elizamanzini4946
@elizamanzini4946 2 года назад
Hii nywele jinsi ulivyosuka kila nikitafuta sioni au haukuweka video yake😪😪😪😪
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Bado dear, soon nitaweka
@christinaaedson9377
@christinaaedson9377 2 года назад
Hv ukipaka iyo leaving strgnthrn unrhsiwa kublow dry
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
Ndio dear
@hanifahamudu2462
@hanifahamudu2462 2 года назад
❤️❤️
@Vivianatz
@Vivianatz 2 года назад
❤❤❤
Далее
How I Relax My Hair At Home | My Relaxer Routine
13:58
Просмотров 113 тыс.
The Secret to Fixing Oily & Dry Hair
13:49
Просмотров 4,3 млн
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 3,8 млн
ТЕСЛА КИБЕРТРАК x WYLSACOM / РАЗГОН
1:40:47
KUJAZA NA KUKUZA KIPILIPILI/Kuosha Nywele // Ika Malle
14:31
Makeup chini ya elfu kumi🙄🔥#Vivianatz #grwm
12:30
Jinsi ya kuchana BATI
7:15
Просмотров 78 тыс.
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 3,8 млн