Тёмный

KUPATA WINDOWS10 ORIGINAL KUTOKA MICROSOFT BURE | Get Win10 For Free Legally 

NK Computer Training (Mafunzo ya Computer)
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Наука

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@mwitaelias1046
@mwitaelias1046 6 месяцев назад
Mwl mbona nikiweka window 7 kwenye computer inagoma ila nikiweka window 10 inakubari kwani hapo tatizo ni nani?
@nk-computertraining
@nk-computertraining 6 месяцев назад
Tazama video hii: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_OZClcbYgto.html
@farijimbembati3921
@farijimbembati3921 Месяц назад
@@nk-computertraining
@nomamxule1942
@nomamxule1942 3 года назад
Ahsante sana kwa mafunzo Kaka, Naomba kuuliza kwamba ikiwa sina window 7 original, lbd Nina window 10 hiyo hiyo lkn nataka nishushe window 10 nyingine ambayo ni original je itawezekanika kwa kutumia hii njia,
@nk-computertraining
@nk-computertraining 3 года назад
Ndio inawezekana.
@wilsonytz6730
@wilsonytz6730 2 года назад
Asante asana mwalimu mimi nahitaji kujua zaidi jinsi yakuweka window mbili kwenye kompiuta moja
@nk-computertraining
@nk-computertraining 2 года назад
Asante nawe tutaandaa somo hilo
@nomamxule1942
@nomamxule1942 3 года назад
Ahsante sana kaka nilitumia hii njia nikafanikiwa kushusha window kwenye Pc nyingine iliyokuwa na window ten Lakini nilikuta na changamoto za KUSIKILACH KWA VIDEO na KUSHINDWA KUREKEBISHA MWANGA....Naomba kufahamishwa kutatua tatizo hili.
@nk-computertraining
@nk-computertraining 3 года назад
Kuscruch inatokana na player unayoitumia, au disk full, au uwezo wa computer au hakikisha video yenyewe iko sawa na kama ni CD basi haina mikwaruzo, au angalia uwezo wa computer na hakikisha net isiwe ni tatizo pia. Ama kuhusu mwangaza tafuta vitufe vya kuzidisha muangaza kikawaida ni F6 na F7 usisahau kitufe Cha FN au shusha driver zake, au tumia high performance ktk settings ya betri. Asante.
@mwitaelias1046
@mwitaelias1046 6 месяцев назад
Mwl mbona nikiweka window 7 kwenye computer inagoma, na inaniandikia ujumbe huo "Windows could not complete the installation. To install windows on this computer. restart the installation"
@mwitaelias1046
@mwitaelias1046 5 месяцев назад
Na Kwa window 7 je inawezekana
@kabungasalum715
@kabungasalum715 3 года назад
kuna pc zingine hazikubali windows 8 au 10 unazijuaje? au unazijua baada ya kupiga windows au ni ujuzi mdogo wa kupiga windows ?Naomba jibu.
@nk-computertraining
@nk-computertraining 3 года назад
Utazijua kupitia uwezo wake Yani ukubwa wa Processor, RAM na bios yake
@mackmilioni3170
@mackmilioni3170 5 месяцев назад
Kompyuta yangu ni lenovo desk top pot za mbele hazisomi
@nk-computertraining
@nk-computertraining 5 месяцев назад
Mi kawaida, hakikisha umeme unafika Mara nyingi huachanidhwa na motherboard.
@mackmilioni3170
@mackmilioni3170 5 месяцев назад
Kompyuta ikiwa haisomi usb ukiweka kama ni sim inachaji ila ukitumia put za upande mwingine zina kubali nafanyajw
@nk-computertraining
@nk-computertraining 5 месяцев назад
Bila shaka port zinatofautiana tumia hizo port zilizokubali au nunua usb nyingine.
@rajabulauma
@rajabulauma 3 года назад
Shukrani Na hiyo 11
@nk-computertraining
@nk-computertraining 2 года назад
Tutaielezea ni version mpya ya Windows
@thadeombani7869
@thadeombani7869 10 дней назад
Link tafadhali mwalimu haipo naomba link tafadhali
@nk-computertraining
@nk-computertraining 7 дней назад
Search Google, kama ni ya fomu ipo ktk kila video mpya.
@fettymanyo438
@fettymanyo438 3 года назад
Laptop yangu mpy je naingizaje window
@nk-computertraining
@nk-computertraining 2 года назад
Tazama video za kupiga window zipo kwenye Channel.
@Pastormwazalim
@Pastormwazalim 7 месяцев назад
Hapo inatumia gb ngapi
@nk-computertraining
@nk-computertraining 7 месяцев назад
Kikawaida Windows Maximum ni GB 4.
@erickkusekwa8539
@erickkusekwa8539 2 года назад
Kaka mbona link haipo
@nk-computertraining
@nk-computertraining 2 года назад
Asante kwa comment nzuri link itawekwa.
@shamtehemedy4953
@shamtehemedy4953 Год назад
kak naomba link tafazali
@nk-computertraining
@nk-computertraining Год назад
Link zote zipo hapo.
@mwitaelias1046
@mwitaelias1046 6 месяцев назад
Mwl mbona nikiweka window 7 kwenye computer inagoma, na inaniandikia ujumbe huo "Windows could not complete the installation. To install windows on this computer. restart the installation"
@nk-computertraining
@nk-computertraining 5 месяцев назад
Nadhani umenitumia ujumbe WhatsApp tutalitatua hilo
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 9 дней назад
​@@nk-computertrainingsamahani kaka naomba unisaidie namba yako ya whatsap
@mwitaelias1046
@mwitaelias1046 5 месяцев назад
Na Kwa window 7 je inawezekana
@nk-computertraining
@nk-computertraining 5 месяцев назад
Bila shaka kwasasa Windows7 ni kama kitu cha kuokota ambacho mwenyewe akitaki hivyo unaruhusiwa kutafuta leseni yake kokote, nitafute huenda nikakusaidia kuipata Original yake.
Далее
Jifunze Windows 10 kwa njia nyepesi
30:49
Просмотров 7 тыс.
#NK| Jifunze Network ijue zaidi #internet
20:37
Просмотров 2 тыс.
Всё, Nintendo Switch 2 СЛИЛИ
11:01
Просмотров 27 тыс.
iPhone Standby mode dock, designed with @overwerk
0:27
D3 XIAOMI SU7 MAX
14:25
Просмотров 538 тыс.
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
0:51
Просмотров 8 млн