Тёмный

Kusubiri Kwenye Kimya Cha Umaskini | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro 

Rev. Dr. Eliona Kimaro
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@leahogutu9818
@leahogutu9818 Месяц назад
Mama yangu Mwenyezi Mungu amrehemu alisubiri kwny kimya cha masikini Asante mchungaji kw mafundisho mazuri Ubarikiwe kila iitwapo leo na Bwana Yesu aliye hai 🙏
@josephndugai3598
@josephndugai3598 Месяц назад
Nimejifunza neno kubwa sana, kuendelea kudumu na kusubiri katika kimya na umasikini.
@anjelalyamboko740
@anjelalyamboko740 27 дней назад
Mungu akubariki mtumishi,kupitia ushuhuda huu Mungu nakuomba uwainue ndugu zangu kiuchumi ambao mama yetu alitupigania ili tuweze kumsaidia wote.Amen
@kelvinsewando1003
@kelvinsewando1003 22 дня назад
Ndiyo MAANA UNA moyo WA huruma mtumishi WA Mungu akubariki mnooo, mpaka ushangae
@SheilaNyakundi
@SheilaNyakundi Месяц назад
MUNGU abariki kizazi chako Mtumishi wa Mungu
@EdinahLadislaus
@EdinahLadislaus 15 дней назад
Mungu akubariki mtumishi kwa kutokukata tamaa pamoja na kupewa majani ya kahawa ulisonga mbele
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Месяц назад
Niguse namimi mtumishi ni mjane hua nakufuatilia sana mtumishi shuhuda zako zinanipa nguvu mnoo
@philomenamushi5606
@philomenamushi5606 Месяц назад
😭😭🥹MUNGU ZIDI KUMUINUA MTUMISHI WAKO HUYU ELIONA🤲🙏🙏MUNGU USIMPITE KATIKA NDOTO ZAKE🙏🙏NINAOMBA NAKUOMBA AMEN
@EmimaMkumbwas-cm7db
@EmimaMkumbwas-cm7db 20 дней назад
Mungu akubariki sana mtumishi. Kiukweli hua unanitoa mahali moja kwenda pengine
@naeema8155
@naeema8155 13 дней назад
Mungu akubariki sana Mchungaji unatutia sana moyo🙏🙏
@witnessmgulisi5559
@witnessmgulisi5559 Месяц назад
Mungu akupe maisha marefu Mchungaji Kimaro
@AsinatNicodemus
@AsinatNicodemus Месяц назад
Asante mpendwa unanitia nguvu mana nina mapito makubwa
@user-sy1vv6ej1m
@user-sy1vv6ej1m Месяц назад
Mungu mueke mahala pema peponi mama angu kumbe nina mwenzangu aliyeishi maisha yangu mch. Kimaro ayo maisha yako nimeyaishi ila mimi bado cjatoka niombee nimemkumbuka mama angu angu
@UshuaniENT
@UshuaniENT 18 дней назад
Endelea kuamini utafanikiwa pia. Nakuombea
@maureenmgeni
@maureenmgeni Месяц назад
Jina la BWANA lizidi kubarikiwa milele na milele, amina.
@mjoan1975
@mjoan1975 Месяц назад
Barikiwa Mch Eliona. 🙏🏽🕊️🕊️💖💖💖🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@speciozakaloli
@speciozakaloli Месяц назад
Hongera sana mchungaji Kimaro tunamshukuru Mungu Kwa upendo wako Mungu amekuwezesha
@SporaMushi
@SporaMushi Месяц назад
😭😭😭😭😭 Mungu yupo jamani acha kabisa huu ushuhuda umenikumbusha hallow
@bosiboriwinnie1363
@bosiboriwinnie1363 29 дней назад
Mungu nakushukuru kwa ajili ya mchungaji Eliona
@brazade5724
@brazade5724 Месяц назад
Ubarikiwe sana baba mungu akupe miaka mingi yakuyaishi haya mema tuzidi kujifunza
@speciozakaloli
@speciozakaloli Месяц назад
Naomba na Mimi niwe na roho nzuri
@lulumasangwa9962
@lulumasangwa9962 13 дней назад
😭😭😭naamini ipo siku na mimi Mungu atatuinua kwa viwango vingine🙏
@ALEXMWINUKA
@ALEXMWINUKA 16 дней назад
Ubarikiwe sana pastor wangu
@fredrickmichael2317
@fredrickmichael2317 Месяц назад
Mungu apewe sifa...Bwana yuko pamoja na wewe
@joycelanda8987
@joycelanda8987 Месяц назад
Mungu atusaidie kutenda mema hapa duniani!
@AnnethMzaga
@AnnethMzaga 26 дней назад
Mungu ni mkuu sana
@speciozakaloli
@speciozakaloli Месяц назад
Nimejifunza nikiona mtu anauza unanunua Kwa sababu kumsaidia asante sana mchungaji Kimaro
@user-pq9fd5bt5x
@user-pq9fd5bt5x Месяц назад
Bwana akubariki mtumishi wa mungu na azidi kukuinua
@lizpallangyo8057
@lizpallangyo8057 24 дня назад
Ameeen baba mchungaji ubarikiwe na kuinuliwa zaidi,na ubarikiwe kila iitwapo leo
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 Месяц назад
Amina mchugaji kimaro uzidi barikiwa baba🙏
@onesmonyoni2703
@onesmonyoni2703 Месяц назад
Napenda Sana kukusikiliza, MUNGU akupe maisha marefu yenye baraka tele
@evaogutu7105
@evaogutu7105 Месяц назад
Mama yangu alisubiri kwenye kimya pumzika kwa hamani mama mafundisho mazuri sana mtumishi 😢😢
@ThomasNgelata-sd5hk
@ThomasNgelata-sd5hk Месяц назад
Baraka ya mungu iwe nawe❤❤❤❤
@adeliphinusgabone7431
@adeliphinusgabone7431 Месяц назад
Ubarikiwe pastor,nazidi kujifunza sana kwako.
@KabagambaRene-ti9oj
@KabagambaRene-ti9oj Месяц назад
Amen thank you Dr. Eliona Nasi tuna subiri kimya😔
@ruthmchau9527
@ruthmchau9527 Месяц назад
😢😢 Umenivusha hapa nilipo,Barikiwa sana
@AdelaMbwilo-gd2yu
@AdelaMbwilo-gd2yu 21 день назад
Barikiw mtumishi
@user-lu4ie4fp1o
@user-lu4ie4fp1o Месяц назад
Mumgu akubariki mtumishi
@speciozakaloli
@speciozakaloli Месяц назад
Hongera Kwa kulea watoto
@DeborahNyerere
@DeborahNyerere 20 дней назад
Ameni
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Месяц назад
Inspiring. Mungu akubariki sana pastor.
@magdalenamwandiga5202
@magdalenamwandiga5202 23 дня назад
Hakika Mungu akutunze Mtumishi
@edvesterdamas3061
@edvesterdamas3061 28 дней назад
Mtumishi umepanda mbegu iliyo njema😢 Mungu wa mbinguni akubariki sana
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 28 дней назад
Tunabarikiwa mno na mafundisho yako mchungaji 🙏🙏
@user-uj9zn6mj5b
@user-uj9zn6mj5b Месяц назад
Nguvu ya Mungu haipimiki kwa wakati wake aupendao yeye
@Anna-fo6sq
@Anna-fo6sq 21 день назад
Bba mungu akuweke sana
@TheopistaMakoi
@TheopistaMakoi Месяц назад
Mungu wangu murehe mama yangu huko mpe furaha ya milele
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Месяц назад
Dah asante sàaana
@user-pi4jv2wq8c
@user-pi4jv2wq8c 20 дней назад
Amina
@MariaNdagile-hx5pr
@MariaNdagile-hx5pr Месяц назад
Numefurahi sana leo maana ni muda sijakusikia baba
@nemeskilagula3119
@nemeskilagula3119 28 дней назад
Mungu azidi kukutumia
@user-yj4iw6pg8u
@user-yj4iw6pg8u Месяц назад
Ubarikiwe sana mtumishi
@speciozakaloli
@speciozakaloli Месяц назад
Kuuza ni njia yakuomba
@jacksonmollel9206
@jacksonmollel9206 Месяц назад
Ndiyo maana itakiwa tuwe subiri kwemye maisha haya
@jacksonmollel9206
@jacksonmollel9206 Месяц назад
Ni kweli
@wilsonjoel3073
@wilsonjoel3073 Месяц назад
Amen 🙏
@tinamwashilindi6807
@tinamwashilindi6807 Месяц назад
Mungu mwema sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Месяц назад
I do respect you 🎉🎉
@mwitabelwamajinge600
@mwitabelwamajinge600 28 дней назад
Amina Baba mchungaji
@antoinettegitego3621
@antoinettegitego3621 Месяц назад
Asante sana 😮
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 Месяц назад
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@CatherineMgala-ui8oi
@CatherineMgala-ui8oi Месяц назад
🙏🙏🙏🙏
@Ahimidiwe-munisy
@Ahimidiwe-munisy Месяц назад
❤❤
@AlipoMwasenga
@AlipoMwasenga 16 дней назад
Mtumishi hii ni uharisia wa wstsnzanis we
@samluku4014
@samluku4014 14 дней назад
Hivi ni lazima kutangaza kuwa unawasaidia?
@ThomasNgelata-sd5hk
@ThomasNgelata-sd5hk Месяц назад
😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@pricemlay
@pricemlay 23 дня назад
Ruwa ko Mndumiii
@judithkatabaro3294
@judithkatabaro3294 Месяц назад
Hahhahahaha nimecheka kwa furaha
@user-th5xz1fg5t
@user-th5xz1fg5t Месяц назад
Amina
Далее
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Ushuhuda wa mama kifaru akisimulia Rev.Dr.Eliona Kimaro
17:16