Тёмный

Kwa kauli hii bonface Jacob aweza kuwa mcha Mungu/Mtakatifu kuliko wahubiri wote wa Tz. 

Kikosi kazi cha injili🎖
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@calvinmwabungulu9672
@calvinmwabungulu9672 21 час назад
Kama watatokea watumishi wa mungu kama kumi tuu naiman Tanzania patakua mahali pazuri pa kuishi wahubili wengi ni wachumia tumbo tuu mungu akubariki sana na akulinde na wabaya wote na akujalie hekima zaidi
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 День назад
Huu ndo mcha Mungu,huku kwingine upumbavu,asante baba kwa kufafanua vizuri,bunafsi nimekuelewa.
@davisnkoba2683
@davisnkoba2683 16 часов назад
A hundred percent you are correct God bless you.
@juliuszakayo6771
@juliuszakayo6771 День назад
Mbarikiwa nakuelewa San mungu akutunze sana
@mwalimurobsontarimo7491
@mwalimurobsontarimo7491 День назад
Kama unamwelewa mchungaji mbariwa jua wewe Nuru na kweli ipo moyoni mwako
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha День назад
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Mungu akupe maono mengi kama hayo
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa День назад
Wahubiri wengi sasa ni wahubiri kola tu, hawajui hata injili ni nini, mambo yanaenda kombo wao wanatafuna sadaka tu. Wewe Mbarikiwa ndio nakuona ni miongoni mwa wahubiri wachache sana walio tayari kutoa maisha yao kwa kutetea utu wa watu wengine. 1 Yoh 3:16, Katika hili tumelifahamu pendo, kama yeye alivyoutoa uhai wetu kwa ajili yetu, imetupasa na sisi tuutoe uhai wetu kwa ajili ya hao ndugu.
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 День назад
Mtu wa Mungu mtu wa Mungu uishi miaka mingi
@PelleSamky
@PelleSamky День назад
Yuko Sahihi, Asilimia miamoja
@liberatusmathias211
@liberatusmathias211 День назад
Wewe ni mtumishi wa Mungu sawa Mungu akubaliki sio vizuli kuweka picha za wenzako na kuonesha shutuma hata wao hawazijuwi kabisa
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 16 часов назад
Walio wacha mungu waliuwa kwaajiri yakutetea wengine hata yesu alipita huko michungaji ya leo inakusanya pesa sikutetea nafsi za wengine
@beinafuu6219
@beinafuu6219 День назад
Umetisha.watu wanataka kuishi wao bdo nimekuelewa hapo.sio waengine.wake zao watoto wao ndo waishi lakin sio sisi.duh.hongera mno.
@danielvengei6065
@danielvengei6065 День назад
Kweli Misukule mingi ndani ya Kanisa inatengenezwa . Shida tumbo niswage tumbo niongoze .
@fikencharles9993
@fikencharles9993 День назад
Uko sahihi kabisa
@FellaMbogela
@FellaMbogela День назад
AMENI MT. WA MUNGU ,MUNGU AKUBARIKI SANA
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka День назад
Ubarikiwe mchungaji ukosahihi sana
@wilisonsanga3705
@wilisonsanga3705 День назад
Mungu akutie nguvu mtumishi
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 День назад
HAPO NIMEKUKUBALI SANA MNO MBARIKIWA, HUNA LONGO LONGO KAMA WANAFIKI WENGINE
@jimmymafufu7394
@jimmymafufu7394 18 минут назад
Powerful man of God 🔥🔥🙏🏻
@paulojohn9608
@paulojohn9608 День назад
ukweli unajulikana Boniface songo mbele kupambania haki watu wan
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 3 часа назад
Amina mtu wa MUNGU hii ndo injili
@MERICHOKIHONGOSI
@MERICHOKIHONGOSI День назад
Ameni Ameni nabarikiwa sana
@danielmwampeta3338
@danielmwampeta3338 День назад
MUNGU AKUBARIKI SANA BABA,
@neemanziku5403
@neemanziku5403 День назад
Amina mtumishi,
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 6 часов назад
Mchungaji Mbarikiwa ❤
@peterjohn8802
@peterjohn8802 День назад
SAWA SAWA hapo nimekupata Hakika ya yesu umenena
@Elisha-zr8ms
@Elisha-zr8ms День назад
Amen na je nihalali kukashifu wengine nafikili pia kumtaja mtu pabric ainaya utakatifu ni uvumilivu ustahimivu ebullient soma mathayo 7 ,1 linganisha nahao unawataja pia matendo yayesu yalilitenga kanisa lamafarisayo kutokana na injiri waliyo ihubiri tumia nguvu hubris nene na siyo kuokoteza mambo yasiyo faa
@DavidKagulu
@DavidKagulu День назад
True
@Peterchipemba
@Peterchipemba 5 часов назад
Mwakipesile,,maneno yako nimeyaelewa,,umenifafanuliwa vizur,,umenidadafulia vizur,,umenifukunyua moyo,,nimejua nini mana ya utakatifu,,iyo nimeipenda.
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 День назад
Kwa maneno hayo unakitichako mbinguni
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr День назад
Wakina Mwakase wanahusika vip naona kama unawachafua watumishi wezako boniface Ni Mchungaji kwani?
@peterjengela1770
@peterjengela1770 12 часов назад
Msikilize tene na tena kama bado hujamuelewa omba wengine wakufafanulie hakuwa na maana ya kuwalinganisha
@Luhumbika
@Luhumbika День назад
Wewe ni wanaharakati
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn День назад
Kama kutetea watu wanaionewa ni uanaharakatì bac hiyo ni kazi ya Mungu hasa!
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 День назад
Misukule mingapi inayokushangila kwamba wewe ni muhubiri,umepotoka wewe jamaa,huwezi kutuita sisi binadamu ni misukule,
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 День назад
Kwani waliokuwa wanajaa kwa KIBOKO YA WACHAWI hawakuwa misukule?
@JofreySanga-lu8pn
@JofreySanga-lu8pn День назад
Muhubili wa kweli tutamutambua kwa matendo.nikiasi gani unahuruma kwa watoa sadaka wako
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 День назад
Kuhubiri nikulitaja jina la Yesu, na wala sio mitume, someni na kuelewa mandiko, Injili ikija majina ya watu bila Kristo kujaa katika Injili iyo tunaona unatafuta kama watu wote wanavyo tafuta
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
Tatizo hujui hata yesu ni nani na ninini na yuko wapi?
@NicholausNjumbo
@NicholausNjumbo День назад
Sasa hao watumishi wa Mungu wameingiaje hapo, umenihuzunisha sana?
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 День назад
Watumishi wengi hawapingi utekaji wala uonevu wala hawapingi dhuluma inayofanyika nchini wao wako Bize na kuuza mafuta na kukusanya pesa kwa waumini alafu wanajiita wachungaji sijui wanachunga nini. Uchangaji ni kuokoa na kuchunga, sio kujaza matumbo na kujilimbikizia mali, ( shame on them)
@NicholausNjumbo
@NicholausNjumbo День назад
@@patrickmathiasnsalanga3401 Si kazi yenu kuwahukumu. Yaani unawapima watumishi Hao kwa jambo Hilo tu! Kwa hiyo umeipima kazi yao na kuona haifai! Nani amekupa uhalali huo! Unapofanya hivyo kumbuka 1Wakorintho 10:12, anayejidhania kuwa amesimama aangalie asianguke. Ukristo ni unyenyekevu ndugu yangu. Tena biblia inasema, Tusiwe kwazo la namna yoyote katika jambo lolote, ilitumishi wetu usilaumiwe (2 wakorintho 6:3). Kila Mtumishi atajibu mwenyewe mbele za Mungu. Wagalatia 6:1 Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe. Kwa hiyo hata kama ipo sababu ya kumrekebisha mtu, na iwe kwa pole, si katika Hali ya kujihesabia haki na kuona wengine wote hawafai. Shalom!
@NicholausNjumbo
@NicholausNjumbo День назад
pole = upole
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 3 часа назад
Leo hujamalizia na ule msemo wako wa sauti ya mtu aliyenyikani huwa unanibariki ule msemo mchungaji
@EmanuelJohn-l2u
@EmanuelJohn-l2u День назад
Shalom mtumishi,hata kama amesema hayo maneno siyo kingezo kuwaona watumishi wengine hawafai.inamana na wewe unachunga misukule mzee unatisha sana.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile День назад
Yesu mwenyewe alisema kuhani na Mlawi yule hawakufaa walipomuacha mtu aleyepigwa na majambazi
@davisnkoba2683
@davisnkoba2683 15 часов назад
Real & fact
@BossiLaizer
@BossiLaizer День назад
Mzalendo wa kiroho na amani ,, ona Sasa wanawapa watu umaarufuu bila kujua,, changamoto ya akili kuhamiaa matumboni na matumbo kuhamia vichwani. God will stay and judge for justice.
@devissyprian1526
@devissyprian1526 День назад
Naomba nikuhulize mbarikiwa, kwani wew matendo mazuri wanayofanyaga hawa wakina magembe, abiud, na mwenginr unayajua mambo yao yote, au je unataka kila mtu akifanya mambo mazuri yote aseme na alete wahandishi wa habari.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile День назад
Ndio inatakiwa yawe wazi kila mtu ayaone kwa sababu imeandikwa hivi katika Mathayo 5:16 Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
@shukranmsukwa
@shukranmsukwa 14 часов назад
Anakosea kulazmisha watu wawe kama yeye na haiji kutokea,hiv kukosoa au kuonya serkali ndo utakatifu? Mungu haoni kama yeye Wala mawazo yake si kama mungu anavo wawazia hawa anao wasema Kila sku
@FellaMbogela
@FellaMbogela День назад
MBARIKIWA UNAHUBIRI UNACHO KUFANYA, MAANA WEWE NI MMOJA KATI YA WANAOPAMBANIA NCHI NA WATU NA UMEJITOA MHANGA JUU YA HILO
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 День назад
Hata kwenye CORONA MBARIKIWA Alinyoosha mapito ya bwana Yaani alidaka/alikuwa kama kichaka/aliongea Saana/kwamba yuko tayali kufa ila sio CORONA ijivinjari mitaani hilo alikataa kabisa alidema hayuko tayali kuona CORONA inakatiza mitaani ni ama corona ipoteee au yeye apotelee magelezani na kwa kudra za mwenyezi MUNGU TANZANIA ILING'ARA DUNIA NZIMA
@AlphonceTemba-f3d
@AlphonceTemba-f3d День назад
Mtumishi wewe jambo ujui huo wito wako uiiysowataje wengine Fanya sehemu yako
@polycarplazaro8482
@polycarplazaro8482 День назад
LEO, NAKUMESHAWISHILA KUKUBALIANA NAWE, KWA SWALA LA UTAKATIFU, YULE NI MTAKATIFU...NA HUWENDA HAJII YEYE NFIYE KWA ANALOLIFANYA..MUNGU NI MWEMA...
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 День назад
Wacha MUNGU au Watumishi wa MUNGU ndio Pekee waliobeba Salama ya WATU/ndio wenye Majibu ya matatizo ya watu sasa wanavyokuwaga mstali wa nyuma kutetea watu sijuwi tuwaeleweje
@GOODLUCKGodwell-bm4br
@GOODLUCKGodwell-bm4br День назад
Wewe u nani unayemhukumu mtumishi wa mwingine? Kwa bwana wake mwenyewe yeye husimama au huanguka. Naam, atasimamishwa, kwa kuwa Bwana aweza kumsimamisha. [Warumi 14]
@PeterJackson-uh2ik
@PeterJackson-uh2ik День назад
Facts ❤
@MilikiSebastian
@MilikiSebastian День назад
Na wlionyamaza niwat wakubwa ambao wakiongea inch inaweza ikatulia
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 День назад
Embu tufundishe vizuri utakatifu unaonekana kwa macho au kwa kuongea vitu vizuri kweli au la? Swali?
@ashelikilele167
@ashelikilele167 День назад
Wahubiri wewengi niakina sondamuno nakuwa na matumbo makubwa
@AlexMnane
@AlexMnane День назад
Upambanii mtu Bali mna jipambambania nyinyi mwenyewe kwa masilai yenu na familia yenu
@AlexanderMhema
@AlexanderMhema День назад
Kweli jako yawezekana akawa hajaokoka Lakini Kwa hatuna aliyochukua ni ya utakatifu
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo День назад
Kuokoka ni nini? Kwani unamwelewa Mbarikiwa? Kuokoka kutapimwa kwa mwenendo wa maisha kwa upendo na matendo ya mtu kumuelekea Mwenyezi Mungu. Bwana Yesu anasema "waniitaje Bwana na huyatendi nisemayo....? Pia "amri mpya nawapeni, pendaneni kama mimi nilivyowapenda..na amri kuu ni upendo!" Matendo yako ndicho kipimo katika utimilifu wa imani yako kwa Mwenyezi Mungu, si kupiga parapanda kama Mafarisayo, huo ni inafiki! Bwana Boniface ni Msabato (SDA)!
@bonifacemdota8293
@bonifacemdota8293 День назад
Hiyo ndo kazi uliyotumwa wewe na Bonface jakobo Nan mtakatifu je,una kipimo Cha watakatifu la unaruhusiwa kuongea mdomo ni mali yako.
@AllyNyamatama
@AllyNyamatama День назад
Umeanza tena kusema watumishi wa mungu fanya kazi ya mungu aliokukusudia au kama unataka kuwa mwanasiasa amua
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
Kwani hiyo amekusudiwa yeye tu, kwanini usiifanye na wewe kwani mi ninachojua hiki anachofanya ndio kazi ya Mungu.
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie День назад
Huwezi muelewa mbarikiwa wew mpaka ukatowe hizo tongotongo kwenye ubongo wako
@henrymwakyasima9156
@henrymwakyasima9156 День назад
Kauli hii ndio aitwe mtakatifu Kila mtu anapewa mafunuo yake
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile День назад
Yes kama ni tukio moja tu la Rebeka kuwaokoa wapelelezi wa Mungu akaingia kwenye orodha ya magwiji wa imani.
@LucyMgina-fo1bo
@LucyMgina-fo1bo День назад
Yaani uyu pr siku hizi ananikwaza ndio kusema maandiko ya kufundisha watu yameisha sasa ni zamu yakusema watu duuuh yaani mbarikiwa unakera mno
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 День назад
Anakukela na bado unamfuatilia?😂
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 День назад
Watu wengi wanaojifanya ni watumishi wa Mungu makanisani na misikitini wako kwajili ya maslahi ya sadaka tu lakini mioyoni mwao hawana huruma hata chembe ni mashetwani wakubwa
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 День назад
Heee wengine tuna makovu yenye kumbukumbu isiyofutika kwa tulivyotendewa na Hao wanaitwa watakatifu
@barakanatus5676
@barakanatus5676 День назад
Fact
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo День назад
​@@malkiarosemuhando3310pole sana!
@atulindakanuma4144
@atulindakanuma4144 День назад
@@malkiarosemuhando3310 Naami Mungu yuhai atahukumu kwa haki
@JuliusPaul-j8c
@JuliusPaul-j8c День назад
Mimi ninachojua kila mtu amewekwa kwa kusudi. Jacob amewekwa kwa kusudi hilo, wewe umewekwa kwa kusudi hilo, akina Abiudi wamewekwa kwa kusudi lao hivyo usimhukumu mtu kama hajafanya kitu landa hajasikia hicho moyoni. Fanya wewe uliyekusikia.
@NovatMarco
@NovatMarco День назад
Mbona wewe hujisemi kama amekuzidi nawewe kwautakatifu au wewe unajionaje uko sasahii
@alberttvonline2174
@alberttvonline2174 День назад
Vipi kuhusu wew ?!
@NovatMarco
@NovatMarco День назад
Kunawakati unaongea sawa lakini unakosea unapokuwa unahukumu watumishi wa Mungu kanakwamba wewe ni mtakatifu ACHA kuhukumu wenzako muhukumu ni mumojatu wewe kazi nikuomba lehema na Toba tu napo nyanyasa na kuzalilisha waumini wako ndipo uko sawa je ukipewa uongoze watu 200 tu siitakuwa tabu
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
1kolinto 6:2. kama hiyo haitoshi basi nikwambie hata maana ya kuhukumu hujui.
@atulindakanuma4144
@atulindakanuma4144 День назад
HAMRI KUU NI UPENDO lakini kabla ya hilo wa weza nielezea maana ya kuhukumu ujuavyo
@8pistons194
@8pistons194 День назад
Hakuna mtakatifu apo acha kuropokwa dogo
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
Mtakaifu wewe basi.
@jeminakaroly3056
@jeminakaroly3056 День назад
I fail to speak about you but ipo siku utajua kuwa nilipotea , it the matter of time, ila mimi nasema niswala la muda utajiona uchi
@stevebaluwa7132
@stevebaluwa7132 День назад
Nadhani nyuma yake wapo zaidi yake wanakuja, sidhani kama uo muda utafika... Mitume waliuwawa ila walizidi kuongezeka walio amini neno na kulishika sawa sawa zaidi... just wait
@jeminakaroly3056
@jeminakaroly3056 День назад
@@stevebaluwa7132 failure of understanding the season
@festokemibala5832
@festokemibala5832 День назад
Neno Nabii na Mtume tunalitumia vibaya!! Hatuna Nabii wala Mtume Tanzania ambao wanaweza kututabiria kesho yetu, majira fulani na mahala fulani kutatokea nini. Ni wahubiri wanaotumia fursa za changamoto zetu za maisha tu na wala si wafariji kiroho!
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 День назад
Aise nimekuelewa saaaanaaaaa @festo la kweli kabisa wanatumia changamoto zetu kama fursa kwao.
@shukranmsukwa
@shukranmsukwa 14 часов назад
Kamwe Watu hawatafanana maana biblia Iko waz Kuna MWENYE kuonya,MWENYE kutabir,MWENYE kufundisha Bali ROHO ni yeye yule kwahiyo kama wewe umepewa kutabir hi Uwez kulazmisha watu wote wawe kama wewe ,,KILA MTU ASIMAME MAHALI PAKE ILI KAZI IENDELEE KWA MAANA KILA MTU ATADAIWA ALICHO PEWA , WOTE MKI FANANA KAZI YA MUNGU HAIWEZI KWENDA
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 13 часов назад
Biblia ya misukule ndio imegawanya hivyo ila hii inayotumia imewaagiza watu au wahubiri wote wote kuonya kukalipia na kukemea.
@shukranmsukwa
@shukranmsukwa 11 часов назад
@@Mbarikiwa_Mwakipesile tasfr ya mwanadamu lakn mawazo ya MUNGU s kama ya kwetu , wanadamu kama ni hivyo tungeona aliyo Fanya Eliya na wengne wote wangefanya,aliyo Fanya Petro na Yeremia na wengne wengi.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 10 часов назад
@@shukranmsukwa wote walifanya kitu cha aina moja kwa nia moja. Yaani wote walipinga dhuluma, uonezi, mauaji na uovu wa aina zote.
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 День назад
Mbona husemi kuliko wewe?
@danielvengei6065
@danielvengei6065 День назад
Hujitambui ,amejishusha .
@AbbasSanga-u7k
@AbbasSanga-u7k День назад
Kweli huyu apimwe ufahamu wake na utumishi wake,kinywa chake kinahitaji utakaso.Kweli shule wakati mwingine ni muhimu,!
@zedyabdulrwabilingo9042
@zedyabdulrwabilingo9042 День назад
Ndio nn sasa.
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 День назад
hujui hata utakatifu ni Nini unaongea kipumbavu. Kañisa la MUNGU unaità misukule? Boni kamuokoa nàni kwa kipi? Tatizo la kutekwa utalimaliza kwa kukaa hapo na camera ukitafuta Kiki? Unalazimisha watu WOTE wawe Kama wewe? Nyie pambaneni kivyen7
@gotafostv7305
@gotafostv7305 День назад
Wewe unaujua huo utakatifu
@oscarurio1176
@oscarurio1176 День назад
Kikosi kazi kina mawazo yake Kila mtu ana uwezo ambao Mungu ampa. Tuheshimu Kila wazo la . Mbarikiwa ukiona halikupendezi Basi
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo День назад
Shida iko wapi! Ukitaka kujenga hoja jipe nafasi ya uvumilivu katika kumsikiliza mtu hata kama upendezwi na kauli yake. Wewe unaelewaje maana ya kanisa mpaka umuhukumu Mbarikiwa kwamba anaongea upumbavu? Boniface Jacob kamwokoa nani? Kwani kwako kuokoa ni nini? Basi, Boniface amewakatia rufani wafungwa kumi walioko jela kwa uonevu kwa kutoa fedha zake kuwalipa mawakili waweze kuwatetea wafungwa hao mahakamani. Pia ameahidi kufungua ofisi ya wanaohitaji huduma za kisheria kwa wale wasio na uwezo wa kuweka mawakili. Je, tukikiri kwamba katenda jambo jema ni dhambi mpaka utuone wapumbavu?
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 День назад
Wewe kilichokukwaza ni neno Misukule? Sasa tafuta maana ya hilo neno Utakuja kuamini hiki anachokiongea Mbarikiwa
@PolycapySilayo-g9w
@PolycapySilayo-g9w 21 час назад
HIVI WATANZANIA NI NANI KAWALOGA MPAKA MTU ANAYETETEA HAKI WAMCHUKIA?!
Далее
UKISHINDA MTIHANI HUU UTAFIKIA MAFANIKIO
58:07
Просмотров 35 тыс.
HII SIRI SHETANI HATAKI UJUE KABISA | PR DAVID MMBAGA
19:01
Maana ya kukana Nafsi
43:05
Просмотров 87