Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh @kishki Mwenyezi Mungu akulinde,akupe afya njema na umri muzidi kutuelikutuelimisha katika mambo ya Dini yetu,shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fikum
Masha Allah mwenyezi mungu akupekheir duani na akhera naakupe umri mrefu wenye kheir nabarka Insha allah uzidi kutuelimisha Nakupenda kwaajili ya ALLAH
Masha allah naomba mwenye ana namba za sheikh nasoro bacu naomba azinipe Niko rwanda nataka kongeya naye naomba nduguzangu waisilamu muzinipe isha allah
Kishki, ni makosa ktk qur, an kusema: أو كما جاء في القرآن " Hiyo aya umeikosea, umesema hivi : إلا ما حرم إسرائيل عن نفسه" NA sahihi ni hivi : إلا ما حرم إسرائيل على نفسه" Sasa ulipoikosea hiyo aya Ilikuwa unatakikana useme Nimeisahau hii aya kidogo, NA sio useme : أو كما جاء في القرآن" Ni haramu kuisoma qur, an فيما معناه. Kwa makubaliano ya wanazuoni wote wakiislamu wa umma wa muhammad rehma NA Amani ziwe juu yake. Ama ktk hadithi wanazuoni wamekhtalifiana kuisoma hadithi فيما معناه. Lakini qur, an Waulamai wote wamekubaliana qur, an isomwe kama ilivoteremshwa pasi NA kubadilisha herufi Wala kuongeza kitu au kupunguza kitu.
@@binseifalsuleimaniy503 "إن بعض الظن إثم" "Hakika baadhi ya dhana ni madhambi" Hiyo hasadi unayoisema ww itanisaidia nini Mm?? Lengo langu ni kuelimishana NA kurekebisha.