Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 05/09/ 2008 . Mada ikielezea sababu zinazopelekea dua zetu kutokubaliwa, Ni sababu zipi? Inshaallah fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.
11 сен 2024