Apostle chief you are blessing to me, nimewafieka kushoto, kulia mbele na nyuma. Nimefunguliwa sanda na leso ....I have send them to the journey of no return ......
Apostle Mungu akubariki sijawahi kukuona lakin Roho wa bwana yupo ndani yako unatusaidia Sana watumishi wa Mungu naomba mungu anisaidie siku moja nionane na wewe nahitaji kushika mkono wako tu . najua neno moja tu nitapona katika maisha yangu kutoka kwako maana roho wa bwana yupo juu yako unatubariki Sana. I wish to see you a man of god
Niko hapa mtumishi mungu akutumie unifungue ata nikiwa uku saudia namini nitafunguka kwa kukusikisa ukinilisha neno lamungu namini nimefunguka kwakila Hali nipitiyo
AMEEEEEEEN BARIKIWA MTUMISHI WA MUNGU, HAKIKA NIMEPATA KUINULIWA NA MAHUBIRI LOT'S OF BLESSINGS; MAY GOD GRAND ALL OUR PRAYERS AND DELIVER US ALL IN JESUS CHRIST OUR LORD AND SAVIOUR AMEEEEEEEEN
Mwanaume kaambiwa anakaa na watu 12 ndani badala ya mke wake mmoja. Uwiii neema ya Mungu imsaidie huyu baba maana atamwogopa sna mkewe. Hata usiku hawezi kulala vzr yani hata ukoo mzima utamwogopa huyo mama, Ni shida juu ya shida kwa familia. Mungu tusaidie
My God my Lord 🙌🙌 very deep revelation. Hii Ibada ilikua ya moto sana. Kila sanda na leso nilizofungwa nimechoma moto na sasa niko huru katika jina la Yesu Kristo. Mungu akubariki zaidi Apostle...
Amen nimefunguliwa sanda...maana niliway kuota nimefungwa sanda ..nyeupe ..alafu ukutani niliona kitabu cha kuruhan...msaafi ...ile wanataka kunizika tu nikashtuka..toka hapo kila nilicho taka kufanya sikufanikiwa...ila leo kwa neno La Bwana kupitia mtumishbcwake NIMEFUNGULIWA KILA-SANDA KWA JINA LA YESU NA DAMU YAKE YESU
Amina mtumishi, ninaamini na imekua kwa jina la Yesu kila sanda na Leo zimekatika usiku huu kwa Jina Yesu, na kwenda kufanikiwa sasa, na kwenda kuona kwa macho ya Rohoni, nakwenda kuolewa sasa kila kitu changu baraka zangu na kwenda kumiliki sasa kwa jina La Yesu ameeeeeeni , it is done!!!!!
Waliopewa mamlaka ni nani..Ni wote waliokoka kwa kuliamini jina la Yesu ndio ishara hizi zitaambatana nao ni kuweka mikono yao kwa wagonjwa na wagonjwa watapona...kwa la yesu kristo
Hakika Mungu anatupenda jamani kupata mafunuo kama haya we are blessed,asante Mungu wa baba yetu major one kwa neema hii,asante apostle Mungu akubariki sana.