Тёмный

KWANINI TUNAFANYA MZAHA NA USHOGA? 

SK Media Online TV
Подписаться 57 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Год назад
Baba, Mungu akubariki kwa kuielezea hii mada kinagaubaga. Mimi huwa nakerwa sana na watu wanaoandika neno USHOGA kama vile wanaongelea UYOGA tunaokula. Kulifanyia mzaha swala hili ni utovu wa nidhamu. Mungu tunusuru waja wako.
@benedictmwakabungu6946
@benedictmwakabungu6946 Год назад
Umenena vyema Ansbert Ngurumo. Asante sana kwa elimu hii kwa umma wa kitanzania na Afrika kwa ujumla.
@gracemnyani6848
@gracemnyani6848 Год назад
Salute Mr Ngurumo umenena vema sana sana tupaze sauti hatutaki ushoga tutaangamia ni dhambi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Год назад
Ndugu yangu siku zote huwa nakuelewa leo nimekuelewa mala 1000... Mwenyezi Mungu akuhifadhi ndugu yangu. 🙏
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Год назад
Safi sana kizalendo umefanya jambo jema na kubwa
@zainabsuleiman-8757
@zainabsuleiman-8757 Год назад
Uko vizuri baba nakuelewaga kila siku uko vizuri sana
@yunislemnge5558
@yunislemnge5558 Год назад
Asante baba bora uongee maana sasa hawaogopi tena.
@dbamwenzaki
@dbamwenzaki Год назад
Nakuheshimu. Nakupenda. Nakubaliana nawe juu ya kupinga ushoga. Ila Biblia Takatifu ni halisi. Neno la Mungu na mwongozo wa Mungu muumba kwa viumbe wake. Hivyo, masuala ya dini yanaweza kuhusiana na vikundi vya watu fulani na vikundi vingine kutoka kwenye jamii hiyo vikajihusisha na ushoga. Si kila mtu anayetoka mataifa yanayosambaza ushoga anakubaliana na ushoga. Hivyo kama tunapigana na ushoga tusibaguane kwa rangi, utamaduni wala kitu cho chote. Shoga au shabiki wa ushoga haonekani kwa macho ya nyama. Wengine ni waheshimiwa!!!
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Год назад
Asante!
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 Год назад
Uko sahihi kabisa
@amourmtungo623
@amourmtungo623 Год назад
🤔Uko sawa, umefahamika na umetoa pointi nzuri sana. Tupo katika wakati mgumu sana kwasababu ya Technology utauliza kivipi? Dunia ni ndogo hivi sasa jambo likitokea popote duniani tayari linaonekana duniani kote kwasababu ya simu, computa na viyoyozi vingine. Afrika nzima Tanzania tukiwemo tunapinga ushoga, usenge, ndoa za jinsia moja au uhusiano wowote usiokuwa ni wa maumbile sawa. Tatizo lipo kwenye utandawazi kwasababu Ulaya na Marekani ushoga au ndoa za jinsia moja ni halali. Kama zinafanyika kila siku watu wetu wakiwemo watoto wetu wenye simu za kileo wataona na ndio maana nilisema hapo mwanzo tupo katika wakati mgumu sana🤔.
@sholavalencemgimwamgimwa2812
Katiba mpya.ndo hoja yasingi
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Год назад
Kiongozi umeongea kitu muhimu Sanaa kuhusu ushoga unafumbuwa macho na viongozi kwani kuna pesa zinaletwa sasa wao wanaona poa tu Africa tusipo amka kitakuwa kama hao wazungu wanatamaduni zao tofauti kabisa na sisi lazima tujue kwanini wao wanajiingiza huko.
@edoedo4973
@edoedo4973 Год назад
MKUU UPO VIZULI VIZULI SANA TUMEONA MARAIS KENYA UGANDA WAMEPIGA MALUFUKU KATUKATU LAKINI TANZANIA RAIS WETU KASEMA WAFANYIANE WAKUBWA SIO WATOTO KWAKAULI HII KAKATAA AU KAKUBALI WATANZANIA RAIS WETU KWA OTUBA ALIYOITOA INAONYESHA ZAILI KAKUBALIANA NA USHOGA MSITUALIBIE WATOTO WETU MEANYANE WENYEWE WAAKUBWA
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Год назад
viongozi dini wamekemea sana wamekosa support toka kwa wazazi na selikari pia
@johnlazaro6457
@johnlazaro6457 Год назад
Sijui serikali za kiafrika zinaogopa Nini katika iyo agenda
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Год назад
Asante kwa kulisema hili !!!!
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 5 месяцев назад
Juzi nimesikia kunashule mwalimu kamlawiti. Wanafunzi wake. Mtu kama huyo. Adhabu yake. Atangazwe hadhalani. Na baada ya hapo asiajiliwe popote. Washezi Hawa.
@kambiwaziri6294
@kambiwaziri6294 Год назад
Tumekwisha
@emmanueltengulaga9007
@emmanueltengulaga9007 Год назад
Ni ukweli kabisa
@mcnova365
@mcnova365 Год назад
Hata papa francis haoneshi hasira kama wewe. Ujue ukengemfu umepitiliza kiasi. Huu ujumbe wako umfikia pia papa francis
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Год назад
Ndo aliyo maliza kuyasema muheshimiwa watu wanao Pambana na ushoga na wao wanaitwa mashoga! Jambo hili ame Pambana nalo Sana mpaka wengine wamemkataa, wamembeza na kumchafua mitandaoni ila tuwe wapole mwezi wa kumi Kuna sinodi na hii ni moja wapo ya Mada kubwa kitaelewaka. Kama Wwe ni msomaji wa vitabu soma kitabu chake kinaitwa cristus viviti. Barua ya papa Francis kwa vijana.
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 Год назад
Ikiwa mkuu wa dini yenu karuhusu unafiri kitatokea Nini?,kwanza mkemeeni kiongozi wenu kwanza.hata hivyo umeongea vyema ushoga ni laana .
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Год назад
Tuma link au taja tarehe aliyo ruhusu.
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 Год назад
Wewe gombea urahisi Kura za watanzania tupo pamoja nawewe
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 Год назад
Jaman mm nauliza ivi chadema wanakubaliana na ushoga kwel kwa kudai haki za binadam kwa nn watu wachama tawala kila upande wa pili watakapo dai haki za binadam wanadai wao ni mashoga na je? Vipi Tanzania yetu nilini imejitenga na nchi za magharibi ambazo ufarance ujerumani uingeleza marekani nazinginezo swali lingine je?Tanzania haitambui haki za binadam Mimi kila mala nikijalibu kufuatili mijadala kunakundi la watu linaibuka na kudai mashoga hao ivi kwel tumefika huko lengo lao kuu nikutetea utawala mm nauliza ninani asiye jua tunamifumo mibovu ya kikatiba tunaitetea kwa masilahi ya Nani je matatizo ya maji umeme barabara na mengineyo mwataka watu wasijadi wajadili nn umaskini upo tangu uhuru wasiongee na hili huwez liona mpaka utoke uone wenzio wanaishije
@gersonfungo5893
@gersonfungo5893 Год назад
Baraka..... haki za binadamu zinahusiana nini na ushoga???
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 Год назад
Ww fatilia kwenye magroup utajua na Manisha nn
@terevaelislla1713
@terevaelislla1713 Год назад
Wewe ngurumo Tanzania hatuwezi kukemea ushoga hata siku moja kumbuka mwana siasa akionekana kungaa katika siasa watu wachumia tumbo wanalitumia neno ushoga kumuharibia.
@gersonfungo5893
@gersonfungo5893 Год назад
@@terevaelislla1713 afadhali hata Makonda aliyejaribu. Siasa zina mambo....utaitwa kila majina mara kibaraka wa mabeberu, dictator n.k. Ilimradi mtu akuchafulie wewe yeye aonekane AFADHALI ZAIDI
@sunemushendwa
@sunemushendwa Год назад
Jaribu kuwaambia huko Sweden uliko kimbilia hayo unayoyasema uone kama hujarudishwa fastaaaaaaa
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Год назад
Nayasema kila siku. Hata sasa hivi nimemaliza ubishi na baadhi. Sweden is a democracy. Hawagombani na mtu wala hawafukuzi mtu kwa kuwa na maoni tofauti. Bali wananishangaa tu, nami nawashangaa!
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 5 месяцев назад
Mjinga anasema eti ngurimo akayasemee kanada wamtimue siajabu uyo nae anae mkashifu ngurumo kwa ajiri ya mada kama sio shoga basi kuna ndugu yake ni shoga na anamtegemea yete ndio maana anamkashifu ngrumo kwa mada yake yaushiga
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Kwa mara ya kwanza, nimekuheshimu.Umesema ukweli. LISSU NDIYE KASHIKA USUKANI WA KUENEZA USHOGA. KISA USALITI NA APEWE HELA. TUNADANGANYWA
@josephferdinandy9823
@josephferdinandy9823 Год назад
Dada kama ukiipata clip hata ya dakika 1 ambayo Lissu anasema anaunga mkono ushoga, ukiipata nitafute nikutumie 10000 ya vocha, na pia unitafutie clip hata moja ambayo Rais Magufuri au Samia ambae alikemea kabisa ushoga katika Nchi yetu, na ukiipata kuna 10000 nyingine tena. Asante.
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Год назад
​@@josephferdinandy9823Joseph na mimi namwongezeya nyingne
@richardboaz-mashagospel2346
ULIOWATAJA ASILIMIA KUBWA WANAUNGA MKONO HILO HIVI WATAKUSIKILIZA? LGBTQ UNAWAJUA WATAKUUA TU! WAAMBIE WAZAZI WAOMBE MUNGU. SIO SERIKALI, SIO VIONGOZI WAKE NA SIO WATU WA KIMATAIFA... ANZISHA MOVEMENT KAMA YA PUTIN ALIVOFANYA. JAMII INAOGOPA SABABU YA NGUVU YA HAO LGBTQ COMMUNITY
@kambiwaziri6294
@kambiwaziri6294 Год назад
Kwani magharibi wanasemaje?
@richardboaz-mashagospel2346
@@kambiwaziri6294 wanasema ushoga oyee ni halali tu, tena hali ya mtu. Hao ni maghalibi sijui wewe uliwasikia wanasemaje?
Далее
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
DINI ZETU, UJINGA WETU NA TAHADHARI ZETU
11:50
Просмотров 7 тыс.
MWALIKO, CHAKULA IKULU. MASIMANGO IKULU. AIBU YA IKULU
15:05