Тёмный

KWAYA HII NI TISHIO MOROGORO WACHUKUA USHINDI KWENYE MASHINDANO 

KASYANI TV
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 123 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@patrinraura1397
@patrinraura1397 13 дней назад
Hakika wanastahili kupewa TUZO Lugha sio Rafiki lakini wanaudhamini,uheshimu na kupenda asili yao kama utambulisho Hauna nakshi yoyote ya utamaduni wa nje Tuige hawa mabalozi wanaotangaza vizuri asili yetu Waafrika
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 11 дней назад
Mi naona sio Morogoro tu ni zaidi.Hongera yao kwa kweli❤
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 17 дней назад
Fayaaaaaaaaaa Mungu awatunzee
@fatumamakwaia1126
@fatumamakwaia1126 3 дня назад
Hakika mungu anatisha
@omwengajoseph4298
@omwengajoseph4298 5 дней назад
Congratulations to them,I like. Them
@user-os9yp7ie6z
@user-os9yp7ie6z 2 дня назад
Nimewapenda sana hongereni sanaaaa nawapa Maua yenu
@user-os9yp7ie6z
@user-os9yp7ie6z 2 дня назад
Hongereni sana mnastahili tuzo tudumishe Mila na desturi zetu wamasai hongereni nitahamia kabila lenu nimeenda sana
@AminaJackson-w5h
@AminaJackson-w5h 14 дней назад
Ayoooooo Bwana awatunze ❤❤❤
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 16 дней назад
Wapo vizuri
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 14 дней назад
Wenzetu wanakunywa uji ,maziwa na dawa hawana mafuta kwenye makoo sauti soft ,tamu sana
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 12 дней назад
Hata mikorogo hawajuwi Hawa Wala ma skin care,wapo so so natural yani
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 11 дней назад
Sauti tamu mabega laini hata bila gym
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 11 дней назад
@@jenyyusuph4973 wamenoga hatariii
@aunties5798
@aunties5798 8 дней назад
Beautiful performance. I wish I could learn how to shake my neck.😅 Watching from Canada 🇨🇦
@Wakazimusic
@Wakazimusic 14 дней назад
Nimewapenda. Wanamanisha walichokiamini.
@blessed545
@blessed545 4 дня назад
The way they are painful 😅😢
@YasiniMfangavo
@YasiniMfangavo 13 дней назад
Wako vizur
@EliyaKudaga-u4q
@EliyaKudaga-u4q 4 дня назад
❤ambae HAJUI maana AjE in box mkaliman nipo
@zahoronassoro4758
@zahoronassoro4758 12 дней назад
Haki yao wapate ushindi hongereni sana
@STEPHANIGHUSTAPH
@STEPHANIGHUSTAPH 14 дней назад
Good performance
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 3 дня назад
Hayo mabega sas nimejaribu apa nimelala
@ruthkyambila397
@ruthkyambila397 17 дней назад
Safi sana mdumu uweponi.mwake
@gidongailo7174
@gidongailo7174 12 дней назад
Gudi sana Masai styles ya kutikisika mashingo
@kasyaniTv
@kasyaniTv 17 дней назад
❤❤❤❤🎉
@Hellen-gw5cb
@Hellen-gw5cb 3 дня назад
Wanasema ruto must gooo
@GraceNgimbudzi
@GraceNgimbudzi 3 дня назад
😮😂😂
@rehemakaijage1364
@rehemakaijage1364 9 дней назад
Nawakaribisha dar,
@NeemaSimion-x4z
@NeemaSimion-x4z 4 дня назад
Naomba namba yao jamani nataka niwalike kwenye mkutano mwanza
@kasyaniTv
@kasyaniTv 4 дня назад
0783117785
@rahabukirigiti8514
@rahabukirigiti8514 3 дня назад
Pumzika kwa amani safari ya wote
@devisjoseph5787
@devisjoseph5787 13 дней назад
Sielewi lugha lakini nimenogewa sana
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 12 дней назад
SAFI SANA
@user-us7re2fi4s
@user-us7re2fi4s 12 дней назад
🔥🔥🔥
@YokobethMgohele
@YokobethMgohele 8 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RehemaMkwanda-m2d
@RehemaMkwanda-m2d 7 дней назад
Morogoro sehem gani katka Morogoro hìi?
@dorahsaria7708
@dorahsaria7708 7 дней назад
Wow!!! Safi sana!!!
@EsterDododo
@EsterDododo 14 дней назад
Mungu awe pamj nany sku zot🙏🙏
@janechengula2833
@janechengula2833 11 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@joycegeorge-mf5kn
@joycegeorge-mf5kn 7 дней назад
Efatha oyeeeee
@ContentPassengerShip-nh5bq
@ContentPassengerShip-nh5bq 12 дней назад
CAMERE MAN KAWAPENDEREA SANA INGAWA MNAWEZA SANA KTV HONGERA SANA
@AnnetiJakwesi
@AnnetiJakwesi 9 дней назад
Kwani kabiragani hao🎉😂🎉😂
@shalomkind4575
@shalomkind4575 5 дней назад
Kimasai ❤
@OsumalyShola-o9t
@OsumalyShola-o9t 13 дней назад
KTV TUNAKUSHUKURU SANA KUWAINUA WAIMBAJI WA MOROGORO ❤❤❤❤❤❤❤
@AbuuJaral
@AbuuJaral 13 дней назад
KIUKWELI BILA KTV TUSINGE WAJUA KABISA MJIFUNIE KUPATA TV YA KTV MOROGORO HONGERENI SANA MNAWESA KABISA DA MKO SUMATI HADI RAHA
@200Stella
@200Stella 9 дней назад
Swafi kabisa
@alizakayo3963
@alizakayo3963 11 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤
@mlobi-rj6jh
@mlobi-rj6jh 12 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
Далее
Каха и жена (недопонимание)
00:37
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
Просмотров 483 тыс.