Тёмный

Kwaya Katoliki - Nitume Mimi Bwana (Na Frt. Godfrey Masokola) 

ZILIPENDWA TANZANIA
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 246 тыс.
50% 1

Kwaya Katoliki - Nitume Mimi Bwana (Na Frt. Godfrey Masokola)
Lyrics:
Verse 1:
Eee Mungu naitika wito wako, Umenijua mimi hata kabla sijaumbwa _Kabla sijazaliwa mimi wewe uliinitakasa
Bwana, toka tumboni mwa Mamangu Ukanifanya kuwa nabii na mtumishi Wako Niko tayari Ee Mungu.
Chorus:
Nitumie mimi Bwana X 4
Naitika wito wako naja bwana unitume X2
Nitumie mimi Bwana X 4
Naitika wito wako naja bwana unitume X2
Verse 2:
Unitie nguvu na ushupavu nisimamie ukweli Na kutetea Imani tena niimarishe Mimi nihubiri neno lako.
Mimi,ni mtumishi wa Bwana na Nitendewe ulivyonena na naja kufanya Mapenzi yako niko tayari Ee Mungu.
Chorus:
Nitumie mimi Bwana X 4
Naitika wito wako naja bwana unitume X2
Nitumie mimi Bwana X 4
Naitika wito wako naja bwana unitume X2
Verse 3:
Nijaalie Roho Mtakatifu aniongoze katika utume Wangu ili nidumu daima milele katika kukutumikia.
Bwana, nitume mimi kutangaza mwaka Wa Bwana kuwahubiri masikini Habari Njema niko tayari Ee Mungu
Chorus:
Nitumie mimi Bwana X 4
Naitika wito wako naja bwana unitume X2
Nitumie mimi Bwana X 4
Naitika wito wako naja bwana unitume X2
___________END___________
nitume bwana
Nitume mimi Bwana
Nyimbo za upadrisho

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 140   
@LeonardCosmas-y5s
@LeonardCosmas-y5s 9 месяцев назад
Nyimbo nzury sana sinta choka kusicliz nyimbo za kwaya katoliki
@modestusinnocent458
@modestusinnocent458 Год назад
God bless you When listening this song i always remember my life at seminary 🏆🙏
@renatusmsofe1458
@renatusmsofe1458 Год назад
Thanks Lord for selecting me among many to be a Catholic your thrue church! Nitume Mimi Bwana
@imeldamatoju2735
@imeldamatoju2735 9 месяцев назад
@hortpeter5630
@hortpeter5630 9 месяцев назад
Mungu fundi. Acha kabisa
@lulukway1656
@lulukway1656 2 года назад
Najivunia kua mkatoliki wimbo huu unanibarik sana my god bless you
@JohnShigongo
@JohnShigongo 10 месяцев назад
Awesome it makes my vocation 🔥 up
@geraldmollel30
@geraldmollel30 2 года назад
Moja ya wimbo nisiochoka kuusikiliza maana huu ujumbe uliopo ndani yake unavuta hisia zangu ziweze kuishi katika ukuu wa Mungu...
@gloriamaganga9012
@gloriamaganga9012 5 месяцев назад
Mungu akubariki sana ulietunga huu wimbo huwa natafakari sana kuhusu uumbaji wa Mungu na namna alivyopanga tumtumikie ❤❤❤❤
@PriscaLuwanda
@PriscaLuwanda 3 месяца назад
Good song mungu aendelee kuwapigania katika utumishi siku zte katika kulitangaza jina lake ❤❤❤❤
@babuk.4066
@babuk.4066 2 года назад
Huu wimbo ukiusikiliza na kuutafakari una upako mkubwa sana. pia hauchoshi kusikiliza. Mungu azidi kumbariki Frt G.Masokola
@stevenkembo9808
@stevenkembo9808 2 года назад
Hakika wimbo n mzuri sana kwn kila niusikiapo unaipa faraja hata nikiwa na mawazo huwà napenda kuusikiliza huu wimbo nafarijika sana kazi nzur kwa mtunzi na waimbaji mungu awabaliki kwa mungu ni mwema kila wakati
@lucassaidy7503
@lucassaidy7503 2 года назад
Hii wimbo unanifundisha nisichoke kuifanaya kazi yake mungu bila yeye Mimi sikitu
@marthauisso5803
@marthauisso5803 Год назад
Kabisaaa
@KISAONIGENERALAUCTION
@KISAONIGENERALAUCTION Год назад
Huu wimbo ni mzuri sana, unatukumbusha utume wetu katika nyanja mbalimbali ktk kanisa la Kristo.Hongereni sana waimbaji na mtunzi👍
@PriscaLuwanda
@PriscaLuwanda 3 месяца назад
Mungu awazidishie aman yak ktk utume ❤❤❤
@simonmlelwa440
@simonmlelwa440 Год назад
You just made my Sunday proud to be a Catholic no doubt it was referred to as a Sacred Music
@immaculathangalison5595
@immaculathangalison5595 6 месяцев назад
Asante limbo naupenda naomba Mungu wa mbingu na dunia uwajarie wanangu wakutumikie wewe Mungu mkuu
@morinemuonja3382
@morinemuonja3382 4 месяца назад
❤❤❤ this song is something else
@RenatusMashenene-b2g
@RenatusMashenene-b2g 2 месяца назад
Asante kwa wimbo mzuri ❤❤❤
@jkass757
@jkass757 2 года назад
Wimbo mtamu sana huu. Najivunia Ukatoliki wangu
@AbdondDon
@AbdondDon 2 месяца назад
Ukatolik raha jaman❤❤
@justusngonyani165
@justusngonyani165 11 месяцев назад
Wimbo mzuri sana.Basi tutumike kweli kweli.Tuchunge bila kuchinja.
@Redmi13-k9k
@Redmi13-k9k 6 месяцев назад
Amina 🙏sana
@agripinaapolinary1362
@agripinaapolinary1362 Год назад
Mungu aendelee kuwatunza mapadre wote
@massiasinkala3478
@massiasinkala3478 2 года назад
Huu wimbo niliutafutaa sanaaaa,ahsanteniiii sanaaaa,MUNGU atubariki sanaa
@ZilipendwaTanzania
@ZilipendwaTanzania 2 года назад
Amina 🙏🙏
@florabenard5504
@florabenard5504 Год назад
Hongereni sana
@veronicamtitu8512
@veronicamtitu8512 9 месяцев назад
Naupenda sana
@ivynececilia9440
@ivynececilia9440 2 года назад
Mungu awabariki Sana kwa wimbo huu ,,,umenitia moyo sana
@mapachawetuamazingflaterna2657
@mapachawetuamazingflaterna2657 11 месяцев назад
Wimbo niupendao daima
@judithnjako2131
@judithnjako2131 2 года назад
Ee Mungu usiwaache watumishi wako kwa kupitia wimbo huu wafanyanyie wepesi katika kila hatua ya utume wao nawaombea mapadri wote na masisita ulimwenguni kote
@MwitaChacha-n5e
@MwitaChacha-n5e 20 дней назад
Nitumie mm bwana
@gidonicholasshayo9260
@gidonicholasshayo9260 Год назад
Hongera sana Frt. Godfrey kwa utunzi huu mzuri
@joynduta6512
@joynduta6512 2 года назад
Siwezi maliza kuusikiliza huu wimbo hakikaaaaa
@batholomeodonatus3274
@batholomeodonatus3274 2 года назад
Music is a natural healer
@thomassospeter2801
@thomassospeter2801 2 года назад
Kazi nzuli ya utume akika tunabalikiwa xana
@olivaellahenordm1742
@olivaellahenordm1742 2 года назад
Nimebarikiwa sana kupata hii version nimetafuta sana jamani,God bless you for uploading🙏🏿😍
@ZilipendwaTanzania
@ZilipendwaTanzania 2 года назад
Amen
@silladarema897
@silladarema897 2 года назад
Mungu awabariki xana
@gedariamandele5334
@gedariamandele5334 Год назад
i was after dis aong fir sure i love this song morw coz natafakari kwa undani
@godybully2708
@godybully2708 5 месяцев назад
Nyimbo inaongoza
@JohnnMuthui
@JohnnMuthui Год назад
I cant listen this for hours
@PharmacistGoodluckMdugi
@PharmacistGoodluckMdugi 2 года назад
Hakika nitume niende
@MwitaChacha-n5e
@MwitaChacha-n5e 20 дней назад
2:18 nitumie mm bwana
@lucysivili5305
@lucysivili5305 2 года назад
I like it more
@neeytemu
@neeytemu Год назад
♥️♥️
@imortal5354
@imortal5354 Год назад
Wekeni ata Link ya huu wimbo
@eliusmarekani8149
@eliusmarekani8149 2 года назад
Naweza pata nakala ya wimbo huu? Msaada tafadhari
@JoyceHaule-o7b
@JoyceHaule-o7b 2 месяца назад
Hata mimi nataka nakala yake napata wapi
@rayanzachariah1185
@rayanzachariah1185 2 года назад
Nyimboo hii takatifuuu nimeitafuta mnooo munguu ambarikii mtunzii wa nyimbooo hiii nyimboo kama hizii zinatuvuta vijana sisi katika witoo wa upadriii munguuu akubarikii sana.
@josephsuluo
@josephsuluo 2 года назад
May God bless you for uploading the full song. Nimeutafuta huu wimbo kwa zaidi ya mwaka baada ya kuondolewa youtube
@ZilipendwaTanzania
@ZilipendwaTanzania 2 года назад
Amen 🙏
@paulinaluambano9150
@paulinaluambano9150 2 года назад
Kwa Hakika, nami nimeutafuta Zaidi ya mwaka, Ubarikiwe sana
@glidewachiya1742
@glidewachiya1742 2 года назад
Same to me,I was just getting the photocopy
@demetriakabera177
@demetriakabera177 2 года назад
Nimebarikiwa mnooo. Mungu wa Mbinguni awatunze
@MarcelineJohn-ec4pb
@MarcelineJohn-ec4pb 4 месяца назад
Naombea uzao wa tumbo langu nipate mtoto wa kumtumikia Mungu
@Thedy-tp5ei
@Thedy-tp5ei 4 месяца назад
Ukatolik raha sana
@melisastephen2376
@melisastephen2376 2 года назад
Eee mungu umenijua hata kabla sijaumbwa ,kabla sijazaliwa ulinitakaza amen🙏.
@annmacharia9069
@annmacharia9069 2 года назад
Love it so much, watching from Rwanda.
@celestine2755
@celestine2755 Год назад
Hogera fr. Kwa uijilishaji mwema. Spiritually enriching. Be blessed and bless with many others.
@paulinaluambano9150
@paulinaluambano9150 2 года назад
What a song,unanibariki Sana huu wimbo Hongera kwa Mtunzi na wote wlioshiriki kuupamba
@michaelchriss8382
@michaelchriss8382 2 года назад
Huu wimbo nilikuwa nautafutag sna leo nimeupata daah nimefurahi sna
@kenabeachhotel5471
@kenabeachhotel5471 2 года назад
this is my first choice in all songs, thanks frt. and all participants
@lucytesha4191
@lucytesha4191 2 года назад
Mimi ni mtumishi wa bwana nitendewe ulivonena...kwa kweli ujasiri wa kuishi maisha mungu alonipa kwa shida na raha uko kwenye maneno haya..am a proudly catholic woman
@JuliusChacha-w6x
@JuliusChacha-w6x Год назад
Asante bwana nilinde katika maisha yangu nakuachya yote nitume mimi bwana
@anethpaul626
@anethpaul626 8 месяцев назад
Huu wimbo naupenda sana
@ErickShayo-m2l
@ErickShayo-m2l 4 месяца назад
Hii imekuwa ni faraja kubwa kwangu ,ninajawa na Furaha Mara zote ninapo usikia wimbo huu
@maureenajuang5314
@maureenajuang5314 2 года назад
Mpangilio wa hizo sauti zavutia sana,kazi nzuri sana.
@pauloptatmosha8115
@pauloptatmosha8115 Год назад
What a beautiful song! Love being a Catholic!
@AnnahAloyce
@AnnahAloyce 23 дня назад
Love❤❤❤❤❤ much thing cos unanibariki Mungu awabariki wote walio uimbaaa
@marthauisso5803
@marthauisso5803 Год назад
NAJIVUNIA UKATOLIKI WANGU EE MUNGU BABA NIONGEZEE IMANI NIDUMU KWENYE UKATOLIKI WANGU
@malk8152
@malk8152 2 года назад
Tumsifu Mungu wetu aliyeumba mbingu na nchi.
@lilianwillium8381
@lilianwillium8381 11 месяцев назад
Napenda sana hii nyimbo jamani Mungu awabariki sana wahusika wote wakiongozwa na mtunzi big up
@anyoliuscetrick2963
@anyoliuscetrick2963 2 года назад
Message well delivered 🙏🙏
@batholomeodonatus3274
@batholomeodonatus3274 10 месяцев назад
Feeling healed,blessed and uplifted every time I listening to this masterpiece 🙏🙏 Nitume mimi Bwana🙏🙏
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 2 дня назад
Nimebarikiwa nikiwa Italy MUNGU azidi kuwatunza mapadri wote
@Michael-ql3ni
@Michael-ql3ni 20 дней назад
Frt Godrey Masokola My classmate ulitulia sana kwenye utunzi wa nyimbo hii ya koroho
@graceatilio1386
@graceatilio1386 8 месяцев назад
❤❤❤
@yusterkapinga7102
@yusterkapinga7102 Год назад
Proud to be Roman catholic 🙏🤲 RC forever and forever
@imeldamatoju2735
@imeldamatoju2735 9 месяцев назад
❤ me too
@hanjimg8137
@hanjimg8137 2 года назад
May God bless you so much, love it
@AristoteExcuse
@AristoteExcuse Месяц назад
Merci bcp pour ces chansons édifiantes.
@enatanonga3048
@enatanonga3048 3 месяца назад
Wimbo mzuri sana🙏
@glidewachiya1742
@glidewachiya1742 2 года назад
I love it
@malakimisana8956
@malakimisana8956 2 года назад
Wimbo mzuri sana Utume wetu ukaguse maisha ya wanaomngoja kristu
@ZilipendwaTanzania
@ZilipendwaTanzania 2 года назад
AMINA 🙏
@prosistabasili1442
@prosistabasili1442 2 года назад
@@ZilipendwaTanzanianajivunia ukatoliki wangu
@prosistabasili1442
@prosistabasili1442 2 года назад
@@ZilipendwaTanzania nitume nitumex4unitumeeee
@simonmaige9903
@simonmaige9903 2 года назад
😭😭😭😭😭nimeitafuta sana hii nyimbo jmn asanteni xn kutuwekea huku! Hakika niusikiapo hupatwa na goosebumps!
@ZilipendwaTanzania
@ZilipendwaTanzania 2 года назад
Karibu sana ☺️
@HendisonShayo
@HendisonShayo 2 месяца назад
Kweli inyimbo ninzury sana
@RoseDaniel-oj4on
@RoseDaniel-oj4on 2 месяца назад
Nyimbo nzuri sana
@blandinamollo699
@blandinamollo699 Месяц назад
Hii nyimbo imebarikiwa
@MwitaChacha-n5e
@MwitaChacha-n5e 20 дней назад
Nitumie mm bwana
@swaummshana2265
@swaummshana2265 2 года назад
May God Bless you Catholics
@RuthNdirangu-iy2lr
@RuthNdirangu-iy2lr 3 дня назад
❤❤❤❤❤❤
@PhilidoPhilibertmutalemwa-l4w
@PhilidoPhilibertmutalemwa-l4w 20 дней назад
Tuwajibike
@JoyceHaule-o7b
@JoyceHaule-o7b Месяц назад
Ee Mungu nitume
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 2 года назад
Nitume Mimi Bwana ,Nitume Mimi Bwana
@SaluAlaika
@SaluAlaika 3 месяца назад
Mungu akubarik😢
@myllesstyllermyllesstyller9071
@myllesstyllermyllesstyller9071 2 года назад
Amina
@manguredjipaminessprl6862
@manguredjipaminessprl6862 2 года назад
Nice
@cantiuskabyazirutachulikwa3312
@cantiuskabyazirutachulikwa3312 2 года назад
Wimbo mzuri
@kananipius2649
@kananipius2649 2 года назад
Very much good
@karejimaure8870
@karejimaure8870 13 дней назад
Amen 🙏🙏
@BrendaKenzie
@BrendaKenzie Месяц назад
Nitume mimi bwana nije kwako nikutumikie miaka yangu yote catholic forever what a blessed song
@AnithaAinekisha-rk6re
@AnithaAinekisha-rk6re 2 месяца назад
GOD bless you
@JanethMbunda
@JanethMbunda 3 месяца назад
❤❤
@filotheampangala
@filotheampangala Месяц назад
Jaman wimbo nikitaka kudownload unanikatalia
@ZilipendwaTanzania
@ZilipendwaTanzania Месяц назад
@@filotheampangala 0674241847 whatsapp nikutumie
@VenanceSeni
@VenanceSeni Год назад
Wimbo ulio Bora Kwa muda wote kwangu hasa nikikumbuka upadrisho wa kaka yangu Fr. Sylvester
@JoyceHaule-o7b
@JoyceHaule-o7b 2 месяца назад
Mungu akubariki sana uliyetunga wimbo huu awabariki walioimba wimbo huu ni wimbo mzuri sana
@anjelanalianya3659
@anjelanalianya3659 9 месяцев назад
Walai huu wimbo hunitia moyo sana,asanteni sana waimbaji,mungu azidi kuwabariki sana
@SweegHMs2dio
@SweegHMs2dio Год назад
Naomba mipagilio ya sauti za chorus please, nimeupenda sana
@placidandunguru-pq6of
@placidandunguru-pq6of Год назад
Sijawahi uchoka huu wimbo Kazi nzuri San San Be blessed❤
@mihatamnyaturu9069
@mihatamnyaturu9069 2 года назад
bwana umenijua hata kabla sijazaliwa,nitume mimi bwana,niko tayari.
@mwadupanicko1329
@mwadupanicko1329 2 года назад
Niusikiapo wimbo huu hakika nafarijika sana hongera kwa mtunzi na waimbaji
@AnastaziaDaffi
@AnastaziaDaffi 4 месяца назад
Hongeren sana Kwa utume wenu mungu awabarik
@killianjustus307
@killianjustus307 11 месяцев назад
Sauti silizonyooka bana
Далее
NITUME MIMI BWANA - G. MASOKOLA
5:59
Просмотров 160 тыс.
КАК БОМЖУ ЗАРАБОТАТЬ НА ТАЧКУ
1:36:32
Это нужно попробовать
00:42
Просмотров 234 тыс.
Nitume Mimi Bwana | Godfrey Masokola | Lyrics video
6:05
Tupeleke vipaji by Mgandu Vs Ee Mungu Baba by Kauki
4:21
Anastacia Muema - Nitume Mimi (Official Video)
4:28
Просмотров 990 тыс.