Тёмный

KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | HAKUNA MUNGU KAMA WEWE | OFFICIAL VIDEO 

Uinjilisti Kijitonyama Choir
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 3,6 млн
50% 1

Hakuna Mungu Kama Wewe
Wimbo ambao umepewa kibali na Mungu, kuimbika na kusikilizwa na watu wa kila rika, kila dini, mahali pote duniani, kwa utukufu wa Mungu.
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama, inawakaribisha wote kuimba kwa kumsifu Mungu kupitia wimbo huu. Iwe katika Furaha, Majonzi na hali yoyote ile, kumbuka HAKUNA MUNGU KAMA YEYE, ANAWEZA.
ANGALIZO:
Mtu yeyote anaruhusiwa kuuimba wimbo huu, bila kuvunja sheria za haki miliki. Lakini zaidi ala na maudhuri ya wimbo huu, yasitumike kwenye ujumbe tofauti na malengo yake. Imba, cheza, sifu lakini tunza maana na makusudi ya ujumbe wa wimbo huu.

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@emanueldanstan8904
@emanueldanstan8904 4 месяца назад
2024. Gather here write Amen😊
@hosealutangilo5058
@hosealutangilo5058 22 дня назад
We are here
@HeñianCrochetiñgHouse
@HeñianCrochetiñgHouse 4 часа назад
here
@beatricemachok2684
@beatricemachok2684 4 месяца назад
Hakuna mungu kama wewe Yesu yahweh ❤️ 😍 💖 ❣️ 💕 thank you jesus.. i love you. ❤️ 😍 💖 my Lord my God, my saviour, deliver, my strength, power, love, rock, fortress, my everything ❤️ 💖 ♥️
@parksonmsukwa2849
@parksonmsukwa2849 4 месяца назад
Amen
@joaani
@joaani 9 месяцев назад
Asante Mungu kwa 2024, surely hakuna Mungu kama wewe, we exalt your name God
@ZiporaMsulwa
@ZiporaMsulwa 6 месяцев назад
Wimbo huu ni mpya kila siku...MUNGU AWABARIKI MNOOOO❤
@jarantinekyania2201
@jarantinekyania2201 3 года назад
From generation to generation the song still rocks coz there is truly no one like God. Sifa zote kwa Yesu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 3 года назад
🙏🙏🙏🙏
@janethfelix9411
@janethfelix9411 3 года назад
Amen🙏
@edwardlufungulo9532
@edwardlufungulo9532 3 года назад
Nyimbo zote za dini nimuongozo kwa Kila mwanadam
@wambuimuturi2662
@wambuimuturi2662 3 года назад
Dancing along in bed 🛏
@micthovertelecoms3564
@micthovertelecoms3564 2 года назад
For sure I love this song
@barakavictor1296
@barakavictor1296 3 года назад
The legendary choir and the legendary song HAKUNA MUNGU Kama Wewe. God bless you 🙏🙏🙏.
@luthermwamkoa7041
@luthermwamkoa7041 2 года назад
Hakuna MUNGU
@ceciliakashila6913
@ceciliakashila6913 2 года назад
It's 2022 still listen to it thank you Jesus for this powerful blessed song ❤️🔥🙏
@paulynemwende4210
@paulynemwende4210 Год назад
🇰🇪 this song is so POWERFUL...songs inspired by the HOLY SPIRIT never fades away... KIJITONYAMA TO THE WORLD🌍
@patrickngeli4245
@patrickngeli4245 3 года назад
From Zambia, I listen to this song everyday Ni mushindi Yaweh (God is a Victor)
@judyroth8928
@judyroth8928 3 года назад
Sifa kwa yesu🧐💃💃🕺🕺🕺🙏🏽🙏🏽🙏🏽👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 .na mpenda yesu Amen Amen
@favourwisdomug1037
@favourwisdomug1037 3 года назад
I play this song every night when am going to bed and I first Praise the Most High God Hakuna Mungu Kama Wewe Yaweh. I love the song much love from uganda 🇺🇬
@kkjulius168
@kkjulius168 3 года назад
🇺🇬🇺🇬👏👏
@jamecjohn7318
@jamecjohn7318 2 года назад
Sebhenee hiloooo
@journeywithjesus
@journeywithjesus 2 года назад
I woke up with this song today in my spirit. 💃💃💃💃
@adhiambootieno
@adhiambootieno 3 года назад
Dear Choir ya Uinjilisti ya Kijito Nyama. 17 years ago, your DVD and this song in particular, took me through one of the hardest ever times of my life. Singing and dancing to these songs restored my hope and faith. Gave me the strength to wish and work for a better future. Seeing you do this video over is a huge God moment for me. Kwa sababu Mungu ananiambie nipige brakes za maisha nitazame umbali alikonitoa na nimpe Shukrani. Kweli Ebenezer. You all might never know what this choir means for some us. Thank you. Thank you. Thank you. God bless you so much Lutheran Church of Kijitonyama. Ebenezer.
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 года назад
Ubarikiwe sana mpendwa, na kwa pamoja tunamshukuru sana Mungu ambaye ameendelea kutenda kati ya watu wake kupitia wimbo huu kwa njia mbali mbali. Sifa na utukufu ni kwa Mungu wetu aliye juu Mbinguni.
@sinzasoundbandtanzania6200
@sinzasoundbandtanzania6200 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-7yH8wLIO5d0.html
@blessedlifecentreonline4745
@blessedlifecentreonline4745 2 года назад
@@UinjilistiKijito ninaomba namba ya simu ya huyu ndugu.
@nicodemusngeta2541
@nicodemusngeta2541 Год назад
Wapi wenye tunapenda rhumba , ringala,,,, central Republic of Congo, Zaire and the whole Africa May Allah bless our Land.
@LizzyKay-cr3gj
@LizzyKay-cr3gj 3 месяца назад
Yesu ni mu falme waba falme.
@davidmoyo3593
@davidmoyo3593 3 года назад
Wimbo huu kwanza ulipigwa kwa viwango vya juu sana kuliko sasa maoni yangu ni kwamba mnapofanya re mix ya wimbo muangalie viwango vya kabla.
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 года назад
Tunaheshimu sana mawazo na ushauri wenu wapendwa wetu, maana nye ndio walaji wa kazi zetu. Tunaendelea kufanya kila linalo wezekana kwa mapenzi ya Mungu kulitangaza neno lake. Mawazo yako tunayafanyia kazi. Ubarikiwe
@furahageofrey6959
@furahageofrey6959 3 года назад
Mmefanya remix ya viwango sana sana,sisi tunataka huo ujumbe wa kumtukuza YESU wetu masuala mengine ya kuweka manjonjo mengi yanaharibu..Hii imekaa mahali pake na kazi yenu ni njema sana..Keep it up.Nawapenda sana,mpe hi morgan.
@TheWorshipIntimacy_Joshua.O.R.
@TheWorshipIntimacy_Joshua.O.R. 3 года назад
@@UinjilistiKijito hello Shalom.... Hongereni Sana... Nahitaji kuwasiliana nanyi
@fondationbaraka4877
@fondationbaraka4877 3 года назад
MZURI SANA ! KWELI, HAKUNA MUNGU KAMA BWANA WETU YESU KRISTO, MWEZA YOTE ! PAMOJA NA YEYE KWA KIPANDA ZETU, USHINDI NA BARAKA NI YETU KWA MILELE ! AMINA ! MERVEILLEUX ! VRAIMENT, IL N'Y A POINT DE DIEU COMME NOTRE SEIGNEUR JÉSUS-CHRIST, LE TOUT-PUISSANT ! AVEC LUI DE NOTRE CÔTÉ, LA VICTOIRE ET LA BÉNÉDICTION SONT À NOUS POUR TOUJOURS ! AMEN ! WONDERFUL ! VERILY, THERE IS NO GOD LIKE OUR LORD JESUS CHRIST, THE ALMIGHTY ! WITH HIM ON OUR SIDE, VICTORY AND BLESSING OUR OURS FOREVER ! AMEN ! KITOKO MINGI ! YA SOLO, NZAMBE LOKOLA NKOLO WA BISO WA NGUYA NYONSO YESU KRISTO AJALI TE ! NA YE NA NGAMBO NA BISO, ELONGA NA MAPAMBOLI EZALI YA BISO MPO NA LIBELA ! AMENA ! BIMPA BE ! BULELELA, KAKUENA NZAMBI BU MFUMU WETU WA BUKOLA BONSO YESU KRISTU ! NI YEYA KU LUSEKA LUETU, BUTSHIMUNYI NI MABENESHA BIDI BIETU TSHIENDELELA ! AMENA ! VITAL✍🏻 .
@josphatkibet9278
@josphatkibet9278 2 года назад
This is the song you would listen several times without getting bored..a blessing indeed
@augustinomashallo8943
@augustinomashallo8943 Год назад
Best song zitoigwa ngoma kibao la sio kwa mdundo huu popote pale lazima nitanyanyuka
@augustinomashallo8943
@augustinomashallo8943 Год назад
Lazima ninyanyuke By heavenlucky
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm 3 года назад
We request a reprise of SIMBA WA YUDA pls Kijito
@justicekibe1362
@justicekibe1362 3 года назад
Me too waiting for it from Kenya
@misheckgithaiga8798
@misheckgithaiga8798 3 года назад
Me too, waiting it from Kenya 🇰🇪
@helleneouma3024
@helleneouma3024 3 года назад
Kabisa, refreshed Voices
@helleneouma3024
@helleneouma3024 3 года назад
Wow! Refreshed and refilled Voices. Barikiweni wapendwa
@esperanceuzabakiriho6206
@esperanceuzabakiriho6206 3 года назад
I second that
@LizzyKay-cr3gj
@LizzyKay-cr3gj 3 месяца назад
In praise of the God of 2024,the one who was, who is and is to come, thank you lord Jesus, ❤
@samuelshikanda3993
@samuelshikanda3993 3 года назад
My late Uncle made sure this album was in all his sibling's houses, so that when he visits, there's no excuse of not playing the album. He made us all fall in love with this album. Very legit Kingdom Music. Barikiweni sana people of God
@safariv.a1162
@safariv.a1162 3 года назад
😅😅😅hilarious. May he rest well
@mattamichael9570
@mattamichael9570 6 месяцев назад
Hii album irudiwee aisee!! Mungu atukuzwe kabsaa
@mtawalatv
@mtawalatv 3 года назад
Nawapongeza Sana Kwa kutuletea huu Wimbo upya maana tulipata shida kuupata.ahsante Sana
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 года назад
Mungu yu mwema. Barikiwa sana
@humphreyluhana8364
@humphreyluhana8364 Год назад
Makofi na vingelele kwa Yesu Christu,i love this song
@noeljoseph7638
@noeljoseph7638 3 года назад
You always never let me down kkkt k'nyama choir mpaka naringa Kuwait mkristo
@magynzioka1122
@magynzioka1122 2 года назад
Hakuna MUNGU kama wewe unaweza ni waupendo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥺🥺❤️❤️❤️❤️😍😍😍
@kollo90ful
@kollo90ful 3 года назад
Greetings from Kenya. One day I'll come to Kijitonyama Lutheran Church and listen to this annointed choir. Your songs, especially Simba wa Yuda and Masia Wanyi have taken me through some of life's darkest moments.
@nsabimanagaspard620
@nsabimanagaspard620 Год назад
MUNGU NI MWEMA🙌🙌🙌 👍👍👍
@kuteesaaidah3050
@kuteesaaidah3050 3 года назад
I always listen and listen over and over listen, but cannot get enough of this sing may God bless you Bishop ,love from Ugandans
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 года назад
Thanks and God bless you too
@kuteesaaidah3050
@kuteesaaidah3050 3 года назад
@@UinjilistiKijito Amen
@apostlefanuellukuwi3224
@apostlefanuellukuwi3224 3 года назад
Hakika yesu WA upendo hakuna mwingine
@lucyjepchumba7419
@lucyjepchumba7419 3 года назад
My favorite choir from years back, the song is so uplifting, may God bless you
@nabarwaeva4335
@nabarwaeva4335 6 месяцев назад
This is a better video but the old version is gold though I love the song from Uganda
@ruthmmambwe5244
@ruthmmambwe5244 3 года назад
Indeed there is none like Yahweh, I have seen how faithful He has been to me.. a happy 2021 family.. What a beautiful piece 😍
@mwemwe1776
@mwemwe1776 Год назад
From Malawi; Indeed there is none like God 🙌
@dinojulioamade7483
@dinojulioamade7483 Год назад
Aleluia. Sou de Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Glória a Jesus
@SilvestreMoises-uo2hn
@SilvestreMoises-uo2hn 9 месяцев назад
mocambique
@wycliffeaoro9865
@wycliffeaoro9865 Год назад
Thank you soo much kijito nyama choir, I was a little boy when I used to sing the song in our church, Jesus celebration church mombasa, I must confess that this was an inspiring song and thanks giving song att the times,
@Harerimanairene2
@Harerimanairene2 6 месяцев назад
Unaweza yeyeye
@janeminoo1804
@janeminoo1804 2 года назад
Kumbe mpooo..mwapendeza..utukufu Kwa mungu
@rainamuriithi6440
@rainamuriithi6440 3 года назад
i promise you, this song will be played at my wedding!
@loighamasuru6504
@loighamasuru6504 3 года назад
Amen
@harryjohn5096
@harryjohn5096 3 года назад
I claim this
@violakiwelu6894
@violakiwelu6894 3 года назад
Mine too 😁
@emmapsalms2878
@emmapsalms2878 3 года назад
Me too in Jesus Christ name Amen 🙏
@rhodamakena9099
@rhodamakena9099 3 года назад
I join you in this declaration
@mustafalameck5903
@mustafalameck5903 Месяц назад
Alaf wapendwa nani aliimba wimbo ule ,heri walio mpokea bwana yesu wana uzima
@p2p700
@p2p700 3 года назад
IM IN 2021 TO WIN IT. 🎶Hakuna Mungu Kama Wewe Bwana Yesu Kristo. KIJOTO🔥
@deswittmary-jane5528
@deswittmary-jane5528 2 года назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️I was searching for this song ❤️❤️❤️
@armstrongabala
@armstrongabala 3 года назад
This was one of my best childhood songs and choir. Great to see the song redone
@cheletv7847
@cheletv7847 3 года назад
In God we trust mmeturudisha miaka ya nyuma aise
@brendaaluoch2642
@brendaaluoch2642 3 года назад
Praise the Lord I love all their song hakuna kama wewe.
@fredrickmutinda1897
@fredrickmutinda1897 Год назад
Nakumbuka hio miaka ya 2002, wakovu ulikuwa na taste, we enjoyed this songs
@mwilimanamasiku4064
@mwilimanamasiku4064 2 года назад
I use to play this song in 1998 when I was in grade seven up to this time am still enjoying it.Amen Asante Sana.
@claymwaifwani6451
@claymwaifwani6451 3 года назад
Glory be to the Lord in the highest. This is literally a song of all times.
@Joseph-ot5ws
@Joseph-ot5ws 3 года назад
ALILILI ALILILI ALILILI ALILILI ALILILI ALILILI ALILILI ALILILI HALLELUJAH HALLELUJAH HALLELUJAH HALLELUJAH... SASA LETA SIMBA WA YUDA
@graceshimba1442
@graceshimba1442 3 года назад
Hakika hakuna Mungu kama wewe Yaweh
@diaray79birukila
@diaray79birukila 3 года назад
Amina nimebarikiwa nipo ili kishinda
@cruiseasphotographer
@cruiseasphotographer 3 года назад
hii video mngefanya live ingekuwa nzuri zaid ya hapo maana huu wimbo watu ndio wanaupena sana kuliko nyinyi so mngewapa watu nafasi ya kuimba 😂😂
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 года назад
Asante kwa mawazo haya. tutayafanyia kazi mpendwa
@godwinchristian5252
@godwinchristian5252 3 года назад
Hakika mlibarika twendeni digital sasa Mungu awabless
@olgadivenga9805
@olgadivenga9805 3 года назад
Waoooh eh mayangi mena kala kuna ah ah eh mayangi eh eh eh mayangi mena kala kuna ah que Dieu vous bénisse
@davidb.assumani3390
@davidb.assumani3390 2 года назад
Woow , Nakumbuka wema wa Mungu maishani mwangu through this legendary song... from zero to hero 😭 Still blessed 🙏
@noelamtesigwa6819
@noelamtesigwa6819 3 года назад
Mungu azidi kuwatunza.. Muongozaji na wengine wote..2021
@afmabeat9567
@afmabeat9567 3 года назад
Original ni kali zaidi kuliko hii. Hii ni kama chakula kilichowekewa viungo vingi mpaka kikapoteza ladha. All in all, ni utukufu kwa Mungu.
@LABANIREVOCAT
@LABANIREVOCAT 7 месяцев назад
Mimi nakuunga mkono yaanai kama ulikuwa❤moyowagu hasa wimbo wa simba wa yuda anaunguruma...🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kiswantatv3817
@kiswantatv3817 Год назад
one of the best song of the years Bakoyoka Nzambe na ngai...
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 Год назад
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah Amen Amen Amen 🙌🙌🙏🙏
@benardbarasa5206
@benardbarasa5206 Год назад
Amen zinatubariki zirudiwe na wale guitarist wawe tunabarikiwa sana
@nancycherop7210
@nancycherop7210 2 года назад
Amina sana. Hakuna mungu kama wewe Mungu. Asante sana kwa kuwa was baraka kwetu Airways Utawala Kenya
@stellahamoding2120
@stellahamoding2120 2 года назад
Actually it's the best kuna tu vile unaniguza may you people prosper.God bless u
@danielarunga8790
@danielarunga8790 2 года назад
It was really hot when we use to go railway to dance and acra road Tom mboya, muhubiri production God bless all people I use to dance with.
@mutesamacline7160
@mutesamacline7160 3 года назад
Hakuna mungu kama wewe, sifa,sifa we clap 👏 our hands to you Lord,we always praise you Lord we never give up on you Jesus Christ. Amen 🙏
@Cyrusyego
@Cyrusyego Год назад
i love this song very much`hakuna mungu kama wewe
@beatricekamamaa209
@beatricekamamaa209 3 года назад
Sifa nautukufu kwa Yesu 🙏
@IanKarani-hf3wg
@IanKarani-hf3wg 4 месяца назад
Everytime I hear of this song it reminds of pastor pius muiru back in the days
@martinwahome8153
@martinwahome8153 3 года назад
aisee miziki timam! Sifa kamili hamna tashwishi. asanteni ngome nzima. lakini yule jamaa wa lead guitar, ametesa kweli, signature riffs.
@mercyjashons2139
@mercyjashons2139 Год назад
Just from church and this song kept ringing in mind and pap am here..sincerely touching the Heart of God. Am blessed
@joycemuyesu5973
@joycemuyesu5973 Год назад
Ninaunga mikono, and if these guys r still a live let them b blessed n their families
@johnelford1572
@johnelford1572 3 года назад
Ahsante sana watumishi kwa kuirudia video mbarikiwe
@lydiafrancis8855
@lydiafrancis8855 2 года назад
Mordest morgan na choir ya kijitonyama...huwa wanibariki nikiwa hapa kenya
@stevensikapizye95
@stevensikapizye95 2 года назад
From Zambia this song will not expire genalation to genalation
@auswardvincentmnyimbiri8795
@auswardvincentmnyimbiri8795 9 месяцев назад
The best gospel song 🔥 It seems Tanzania is the African Giant when it comes to gospel songs
@karikikennedy4310
@karikikennedy4310 3 года назад
Mpo vizuri saaana wana wa Mungu hongereni sana
@BonnetAbedi-l7l
@BonnetAbedi-l7l 19 дней назад
Wimbo huu ningaliki napenda Adi Léo
@washingtonndeda4051
@washingtonndeda4051 2 года назад
This choir is just something else...Amazing
@ruthsithole9657
@ruthsithole9657 Год назад
Feel blessed with this song🇿🇼
@iddyally1029
@iddyally1029 3 года назад
Jisong pambe hili ...linadamshi kinoma ukiwa vitu
@EdgarMzembe-om5cj
@EdgarMzembe-om5cj Год назад
Beautiful song,,,, from Malawi
@stevonyaashishkey6416
@stevonyaashishkey6416 2 года назад
HAKUNA MUNGU KAMA WEWE motoooooo
@KuteKute-zi5ti
@KuteKute-zi5ti 3 года назад
Much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@mchenry2360
@mchenry2360 3 года назад
Wee enzi zile jamani....... Asenteni kwa kuja tena love you from Kenya
@lydiangugi4196
@lydiangugi4196 2 года назад
Mungu wa baraka🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shewr4664
@shewr4664 3 месяца назад
Amina amenitendea 2024
@beatricekirigo4147
@beatricekirigo4147 3 года назад
So happy to have this song on video,been looking for it for quite some time.Oh hakuna kweli kama Yahweh ikiwa nimeupata wimbo huu hapa.And why are the old songs so sweet I keep going back to them.
@modestmorgan4359
@modestmorgan4359 2 года назад
We thanks you so much ,tunawapenda sana Kenya ,Uganda ,Zambia lesa amipale ,sana Shaibumba eh kashinde wesu,,mbote mingi bana Congo zambe apambola Congo mobimba amennn
@benonzungu8399
@benonzungu8399 3 года назад
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri
@KanyonLupungo
@KanyonLupungo 8 месяцев назад
Kamawewe bwana❤
@augustinomashallo8943
@augustinomashallo8943 Год назад
Bariki Gloria laswai, Bariki nyakato, Bariki ndachuo, Bariki nasra, Bariki magret nyonyo Bariki Viktoria temba, Bariki ratifa iddy , Bariki head girl Bariki Beatrice Bariki neema Bariki Zahara lugha Bariki Evelyne Stewart msengi
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Год назад
Hii wimbo ni ya kitambo but still powerful...kweli hakuna mungu kama wewe baba wetu wa mbinguni
@KanyonLupungo
@KanyonLupungo 8 месяцев назад
❤asanti mungu from Malawi
@natalisaid5414
@natalisaid5414 11 месяцев назад
Hakika hii nyimbo ni ushihuda kwangu hakuna Mungu kama wewe aliniponya nikakumbuka kuna nyimbo inaimbwa hivi lazima nimtukize Mungu
@digostjafety6070
@digostjafety6070 2 года назад
You the best ,,,i dont think kama itatokea choir nyingine kama hii
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 года назад
Ikiwezekana nyimbo zito zirudiwe, kuna ule unasema taa nyekundu
@shemgodwill2671
@shemgodwill2671 7 месяцев назад
Naomba warudie ile ya Simba wa Yudah
@julianamalemba35
@julianamalemba35 2 года назад
I remember this song when I was young it's the best....from Kenya I love you.
@donatiencamelitha6804
@donatiencamelitha6804 3 года назад
Je suis Haïtienne j'aime beaucoup cette chason
@nsubugashemnelson3646
@nsubugashemnelson3646 8 месяцев назад
so beautiful up to now. God bless.
@estherdennis7762
@estherdennis7762 3 года назад
Nabarikiwa sana n nyimbo zanu Mungu wa Mbinguni hawabariki sana
@eunicenalungwe4202
@eunicenalungwe4202 2 года назад
Mbarikiwe na Mungu wambinguni
@oktagonmw3340
@oktagonmw3340 Год назад
Good songs don't find us ...we search for them...my childhood right here 💪
Далее
Kijito Choir - Simba wa Yuda (Official Video)
9:44
Просмотров 1,2 млн
KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | JEHOVA BABA WA UPENDO
11:27
11 ming dollarlik uzum
00:43
Просмотров 494 тыс.
Hakuna mungu kama wewe/Cha Kutumaini Sina-The Mwauras
11:34
Solomon Mahlangu - Siyabonga Jesu
5:52
Просмотров 3 млн
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 62 млн
KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR/TOYELELOO
10:13
Просмотров 154 тыс.