Waambieni wale wasafi waje wajifunze hapa umeona sky na Creez wanavyouliza maswali kwa mpangilio hadi jide mwenyewe katabasamu anahisi raha kuhojiwa sasa wale wasafi kelele kibao mpka ile interview jide Amefanya wasafi alikuwa amekasirika you guys are the best
jaydee nakupendaga sana ndg yang unajiheshimu sana tangu nikujui sijawahi sikia masikendo ya hovyo.big up.ila sasa napenda uolewe sasa nakuombea sana uolewe amen
Me ni shabiki wako namba moja nimeanza kumpenda músic yako toka nasoma elim ya msingi mpk sasa Nina miaka 31 naipenda saut yko huchuji dadangu natamani hata sku moja tukutane hata nikuone live make skuwahi kukuona live nakupenda sana jide piga kazi na uendelee kujiheshim ss mashabiki wako tunakukubali
Jide alipokuwa wasafi interview haikunoga hata kidogo ila hapa mambo ni noma mmejianga Vizuri sana SNS kwanza maswali ya tofauti sanaa Big up Sky & Creez
Alieykupa Jina la Ezekiel alikosea sababu hata kuona huoni dhahiri una chuki binafsi Eti Huyu jamaa wewe mgeni alafu ni mgeni ambaye huna adabu utamuitaje Chris jamaa. Please if you want peace leave our Creez and Go, we do respect him in here, and I have watched the whole interview na sijaona kosa lolote so hater you better go