Huyu ndie mwanamziki katika wasafi..wengine ni wasanii...wimbo umevutia bila watu wenye uchi , vifua vitupu na mavazi ya mararuraru wala hata densi Kali ila sauti , melody na utunzi pamoja na ujumbe bora tu.I love your talent Lava
Oooi Ali..nina bonge la ishu nawe mwanangu..naomba tuvibe vile..sijui nikupe sifuri za kwangu kam hutomind vile ...mchongo kuhusu kufanya kazi pamoja vile....nina ladha flani naomba kuongezea kwa michongo zako..tafadhali kama hutomind nijuze
2.28 "Ah, najiamini niko peke yangu, ndio maana natamba Sina shaka hofu kwa raha zangu, hata mkinichamba Wenye roho za kwanini, nitajijua zangu niko naye sambamba Mi' napenda yake anapenda yangu, kuilamba lamba"
Huyu kiumbe wamemtusi sana sasa kakasirika, Haya ni majibu ya kina mwijaku ambao kila siku wanamuweka midomoni kuwa kafulia. Huyu jamaaa anaandika sana mondi hakai na mtu asiekuwa na kitu huoni queen hatumuoni.
Tanzanian music is really good...even though we don't understand swahili, we always vibe with the rhythm..I recently came across Lavalava and I love his music so much....keep it up.
I ALWAYS LOVE IT WHEN NOTIFICATION SAYS SOMEONE LIKED YOUR COMMENT AND YOU HAVE A NEW SUBSCRIBER THIS MOTIVATES ME AND MAKES ME WORK TIRELESSLY GOD BLESS YOU🇰🇪🇰🇪KINDLY SUPPORT KENYAN TALENTS