Тёмный

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI" 

Подписаться
Просмотров 577 тыс.
% 2 618

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: wasafitv || wasafifm
TWITTER: wasafitv || wasafifm/
FACEBOOK: wasafitv/
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

1 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 707   
@KipazaOfficial
@KipazaOfficial Год назад
Nikiziangalia hizi sura naona Kabisa kuna siku zitachoka maisha magumu na propaganda za watawala na kuaminishwa umaskini ni haki yao…naomba siku hiyo Mungu asimame upande wa wananchi🙏🏿🙏🏿😢😢
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Год назад
Eti ... Nimerudi Kwa wito wa kuipigania nchii.....Eti nikampigia Kikwete.....Eti wasiliana na Mama.... Siku Moja mtamtaja tu aliye..muua JPM... Katika maneno ya siasa zenu za kutaka kuiiba Tz... Iwe heri Kwa watz
@abbiecox1
@abbiecox1 Год назад
WATASEMA TARATIBU
@neemamwandoto8293
@neemamwandoto8293 Год назад
Wauwaji hao hawana lolote wenyewe naona walitaka wamuue mapema alivowagundua walitaka atafute mbinu gani wanabahati hao ipo siku yao
@teddyshedafa2940
@teddyshedafa2940 Год назад
Pole baba mungu akupe maisha marefu zaidi sipo kilimanjaro bali nipo pamoja na bawacha wenzangu toka kanda ilala kata segerea pepooooossss
@dickaugustino8238
@dickaugustino8238 Год назад
Ila lema unapaswa kuja na mipango mizuri ya namna ya kuikomboa nchi kiseera na sio kusema habari za magufuri, coz he was the best than ever to most of tanzanian 75%
@japhetkasenga8686
@japhetkasenga8686 Год назад
Hujawahi kuwa humiliated ndio maana unaongea huu upumbavu
@ibrahimsengo2506
@ibrahimsengo2506 Год назад
Kwann cdm mtu akiwa tofauti nanyi lazima neno mpumbavu, mjinga nk yaan mnataka uhuru ambao amtak wengine wawe nao
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
@@japhetkasenga8686 humiliated? tunaelewa uzito wa hilo neno? watanzania wengi wamekuwa humiliated kiasi cha kutosha. hivi utasamaje mtu anapochukua hela za walipa kodi anazichezea na familia yake na watu wake? mtu unalipa kodi halafu ukienda hospital unadhalilika huduma hakuna mara dawa hazipo wakati kodi unalipa. halafu unawaona wengine wakiugua kidogo wanakimbilia nje ya nchi kutibiwa kwa pesa hizo hizo za wananchi wengine. hayo si yainatokea na yanaeleweka? huo ni nini kama siyo udhalilishaji? yapo mengi ya udhalilishaji yanafanywa hatuwezi kuyataja yote hapa. jamani tuacheni wengi wetu tumevurugwa. tunauguliwa na mzazi wetu mzee halafu ameenda hopt matibabu hakuna.....unataka mtu tujisikiaje? wakati kodi na hela za miamala tunakatwa kila siku. si afadhali huyo yuko ughaibuni na family wanakuja raha na matibabi ya bure?
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Год назад
Yaani wewe ni mpumbavuuuuu natamanigi wafuasi wa magufuli nao wamfate huko aliko wakachomeke pa1 na mshenzi yule
@chundabadsingasinga3130
@chundabadsingasinga3130 Год назад
Huna akili
@robinsonrespicius2713
@robinsonrespicius2713 Год назад
JOHN WAS A DECISIVE MAN A HIGH CALLIBER MAN NO ONE IN CHADEMA OR IN CCM HAVE THE STRENGTH THE RITHLESSNESS OF JOHN JOHN MAGUFULI IS AFRICA ITSELF KUJARIBU KUMSEMA ETI NI MWENDAZAJE SIJUI NI NINI NA HUKU MAMBO YAMEBADILIKA MIFUMUKO YA BEI KUSHUKA THAMANI KWA SHILLING , MAISHA MAGUMU HUWEZ KUICHAFUA OIL CHAFU ULISHAAMBIWA NA KONK MASTER VIVA JOHN
@mokiaolenaputu7648
@mokiaolenaputu7648 Год назад
Pole sana kamanda Lema. Herode amekufa, Yesu amerudi Galilaya injili inaendelea
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
watanzania wamechoka maneno matupu wanataka maisha bora yenye uhakika wa chakula, elimu bora, mavazi na matibabu bora. Porojo hazisaidii lolote zimeweza kusaidoa wewe kuishi vizuri na familia yako ughaibuni. watu wengine nao wanataka maisha mazuri pia. Lets sera zenye ubora na ubunifu kaka Lema. Tumechoka hadithi.
@allenmmari6327
@allenmmari6327 Год назад
Ongeana serikali sio huyo
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
ulishafanikiwa kujenga nazingira ya kwenda nje kupata ukimbizi wa kisiasa na familia yako mko poa saa hizi...elimu bure chakula na mavazi bure na malazi bure. Wengine hapa kwetu wanateseka namna ya kupata milo miwili kwa siku. Njoo na sera zenye ubunifu wa kupata unafuu wa maisha. watu wamechoka maneno.
@mahnalamry
@mahnalamry 3 месяца назад
Hadi leo mke na watoto bado wako Canada
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Год назад
Muacheni RAISI WETU KIPENZI MAGUFULI apumzike kwa amani ukweli huwa unachelewa ila uongo ni rahisi kutapakaa mnamuhukumu mtu pasipo jua,kwa kazi aliyoifanya magufuli hawezi kukosa maadui kwasababu ni mtu alikuwa na maamuzi bila kuyumbishwa na kupelekeshwa pls mmeshamuua basi mwecheni Apumzikr time will tell R.I.P MAFUFULI😢🙏
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Год назад
Nawaza sana enzi za uhai wa gadafi, Wananchi walikua hawalipi kodi, umeme,ada ya shule na vyuo,na matibabu ni bure,na ukitaka kuoa unapewa pesa ya mahari na unapewa nyumba bure,na pesa ya kujikimu hata kama hauna kazi, ila pia libya walikua hawana huu ujinga za siasa za kihayawani! Lema punguzeni ulevi,kabla hamjaongea na watu! Maana watanzania wengi wana akili sana siku hizi!
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Akili? Gan 😂😂😂
@truthnafact9081
@truthnafact9081 Год назад
Watz wote wanazo ila zako umeziacha chooni
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
@@truthnafact9081 ww ndio ulinipelekea
@evancemapunda9512
@evancemapunda9512 Год назад
Na walipojaribu siasa za kihayawani ikala kwao mazima.
@truthnafact9081
@truthnafact9081 Год назад
Moto hapana ulipelekewa na watz wengine
@nice58765
@nice58765 Год назад
Did not know Prof W was involved in helping him, God bless you Prof.
@khatamiyusuphsakala-wi8sc
@khatamiyusuphsakala-wi8sc Год назад
Hapo Kwa kikwete na lema na mama Kuna jambo katikati yaan unapigiwa simu kuambiwa mwenda zake ameenda nataka kurudi nyumbani hayo maneno yana ulakini ndani yake mtalipwa kama mlimfanyia rais wetu sisi wanyonge
@japhetkasenga8686
@japhetkasenga8686 Год назад
Liseme hilo jambo, unalolijua acha porojo,
@ibrahimsengo2506
@ibrahimsengo2506 Год назад
Mungu atalipa
@neemamwandoto8293
@neemamwandoto8293 Год назад
Wauwaji hao wewe kuwapa kula hao Bora ni sawa na umempa kula simba
@mustaphamasobe8343
@mustaphamasobe8343 Год назад
Hata Yesu alikimbiziwa misri mpaka Herode alipo kufa
@profs.a5412
@profs.a5412 Год назад
Duuu!!! Wajakoya ni mwamba saanaaaa , Asante Prof wajakoya
@happymwaluko8779
@happymwaluko8779 Год назад
Prof Wajackoya salute kwako
@jeradbendiliba3828
@jeradbendiliba3828 Год назад
Gwajima he is man of God
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 Год назад
No he is a man of sattan
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Are u sure?😅
@jeradbendiliba3828
@jeradbendiliba3828 Год назад
@@mbwanarajab4756 😂😂😂 Oky time will tell us
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Год назад
@@ahz6907 Ok What about you 🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️
@mwitawambura2548
@mwitawambura2548 5 месяцев назад
Chadema mnatakiwa mmteuwe God bless lema awe karibu wa itikadi na uwenezi wa Chama chenu Huyu jamaa ana madini mengi kweli kumzidi yule mlie nae Huyu ndo ataweza kupelekeana moto na makonda
@turabiturabishekilindi1210
@turabiturabishekilindi1210 Год назад
Wote njia moja.angalieni Mambo ya kujadili maisha magumu huku hatutaki hayo Mambo yenu tena mnatutonesha vidonda r I p uncle magu tutakukumbuka daima, dad ata mungu alimwambia mtume ole wako upendwa na kila mtu
@victorsanga2229
@victorsanga2229 Год назад
Unamkumbuka Magufuli kwa lipi? Ni maisha gani Magufuli aliyafanya kuwa rahisi?
@japhetkasenga8686
@japhetkasenga8686 Год назад
Hutaki ukweli wewe
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 Год назад
Pumbavu kabisa.
@murtarakhalfan8179
@murtarakhalfan8179 Год назад
Tulia weweee
@Majembe12
@Majembe12 Год назад
Kufa mfuate ukapate maisha mazuri
@modycadabra8721
@modycadabra8721 Год назад
Tupe maneno achana na Jpm mana cc hatutakuelewa hata kidogo
@cavonboyblogger1995
@cavonboyblogger1995 Год назад
Akili huna
@modycadabra8721
@modycadabra8721 Год назад
@@cavonboyblogger1995 yah inawezekana nikawa cna ila tunataka Sera co kumsema marehemu
@sirkingsky108
@sirkingsky108 Год назад
@@cavonboyblogger1995 asee
@bockerbocker8495
@bockerbocker8495 Год назад
Ukiwa na ubongo wa Kuku hautamuelewa
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
Hakika cc hatumwelew
@marygregory7566
@marygregory7566 Год назад
Yaan kwa sasa hv ukitaka kuwatibua watanzania mkashifu magufuli
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 Год назад
CHADEMA bana, unaweza kuwasikiliza na ni sawa na kuangalia OTTOMAN 😝😝😝😝😝😝
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
ASALI MMELISHWA NYIE USITUPIGIE KELELE SI UMERUDI WALIOKUITA WAMEKUAGIZA UJE KUTUPIGIA KELELE. KWENYE MAJUKWAA YA SIASA MAGUFULI NI KIPENZI CHA WATANZANIA WALIO WENGI ACHA KUMCHAFUA JINA .
@lukemelyemposola885
@lukemelyemposola885 Год назад
Hawa ndiyo wanafiki kweli nahisi ndo waliyo muua kwanini mnazungumza na mtu ambaye Wala hayupo halafu Dunia nyie hamjaona mataifa yaliyo mwaga damu hayo mbona utani sana maendeleo nikazi kubwa sana siyo hivyo vimaneno acheni kutudanganya magufuli hata afufuke Leo tunampa kura siyo nyie mwacheni rais Samia aongoze nchi nyie Bado hamjakomaa yenu makelele tu hamnajipyaaaaa Hanna sera njaa tu
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Год назад
Lema aya unayo yasema usizani magufuli akuacha watu hapa inchini ipo siku nyie na uyo kikwete wako mtaondoka
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Год назад
Lema kwa maneno hayo hauna rorote unabwatuka turetee siasa ulio jifunza uko
@kilalamuhumba4612
@kilalamuhumba4612 5 месяцев назад
Kama mnataka uongozi ombeni kistaarabu acheni uongo bwana! Mama anafanya kazi vizuri mbona! CCM OYEEE
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 5 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@luganojohn2673
@luganojohn2673 Год назад
Leta mpango kazi wa kutatua matatizo ya watanzania acha story nyingi mambo yamebadilika
@abbiecox1
@abbiecox1 Год назад
LAZIMA APIGE KITU KIZITO KWANZA VICHWANI MWA WAJINGA KISHA ALETE POROJO SIASA
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Kaa na matatizo yako mbwa ww mbn ww hutaki kusikiliza matatizo yake
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 Год назад
😂😂😂😂😂
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
@@jeunajuatv817 hayatuhusu
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
@@mohammadoman8963 yenu pia hayamuhusu
@BGHaule
@BGHaule Год назад
Professor Wajacko is the real man
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Год назад
Dah! Hivi kumbe baada ya Magu kufa Rais alibaki kikwete? Ukiunganisha haya ya Lema na ya Kikwete msibani chato unapata maruweruwe... Bora waanze ukurasa mpya, kuendelea kumtaja JPM watajikuta wamesema yote waliyoyafanya na nchi itakuwa ya moto
@philipngeso8883
@philipngeso8883 Год назад
Mungu bariki wajakoya
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 Год назад
Wewe Unazengua jambo Moja tuuuu kushambulia watumishi wa Mungu
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Год назад
Watz hapo wanasikiliza story
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 Год назад
Story Gani za kipuuzi TU?
@ramadhanimtambo6755
@ramadhanimtambo6755 Год назад
Watu wamepata taabu sana halafu wakiambiwa ubaya uliopita hawakubali. Tuombe mungu sana tuwe na amani
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
Na mkiambiwa uzuri hamuamini Jpm Shujaa wa Afrika Acheni kumchafua jina Kauzeni madini mdanganye ni Mchanga KAUZENI BANDARI YA BAGAMOYO KWA WACHINA WATANZANI SIO WAJINGA
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Год назад
​@@kawiche4911 wewe ni mjinga kuliko mwendazake
@joegemihayo8625
@joegemihayo8625 Год назад
@@marcokaroje8980 Sio mjinga tu ni mpumbavu wahedi
@otmanmbwilo9117
@otmanmbwilo9117 Год назад
@@marcokaroje8980 ww unaakili kwahiyo
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 Год назад
Wanao kataa kazi za MAGUFULI, wanalinganishwa na mzimu ulio hai
@lovierlion-vs9rn
@lovierlion-vs9rn Год назад
Ila mbowe n jasiri na ana Mungu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
Jamani chadema hivj like neno lenu mliloanzisha la UFISADI limeishia wapi? Mbona huo msamiati umetoweka kabisa midomoni mwenu. Habari yake ikoje? Kwanini mnaliogoa kulitamka hilo neno? Au mnataka kusema ufisadi umeisha? Tupeni majibu jamani hatujasahau. Ilikuwa neno lililowapa umaarufu nchi nnzima. Sasa limeishia wapi? mnatuacha na maswali tutayafufua kipibdi cha uchaguzi sababu hamjatoa majibu.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
wanajipoteza sababu wao wenyewe ndiyo ma..... wenyewe. neno limewageukia wenyewe
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Год назад
🤔, makubwa pole, Mungu ni mwema 🙏
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
MNAJISUMBUA HAMUWEZI KUFUTA LEGACY YA NYERERE +JPM LAANA ITAWATAFUNA. NA HUYO BI TOZOOOO WENU.,NONSENSE
@omaryidd4373
@omaryidd4373 Год назад
lema mungu akuongoze
@emmanuelkateba3545
@emmanuelkateba3545 Год назад
Very touching
@abednego3876
@abednego3876 Год назад
NYIE NA MAMA SAMIA NA KINA KIKWETE NI KITU KIMOJA, HI MIKUTANO MMERUHUSIWA ILI MUMMSEME JPM ILA TAMBUENI MWAKA MMOJA WA URAISI WA JPM NI SAWA NA WA SAMIA MIAKA 10
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Год назад
NImepata picha kwann raisi wetu alikufa ila Mungu atatulipia
@rajihijarajihija8371
@rajihijarajihija8371 Год назад
Polesana kaka yetu
@phinah9728
@phinah9728 Год назад
Wasafi hakuna dogo.# no .1 on trending
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 Год назад
Hata mumseme vibaya vipi magufuli wetu au magufuli wangu hamuwezi mkamfuta ndani ya moyo wangu
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Mbn cijasikia Magu akisemwa
@owagatonny6558
@owagatonny6558 Год назад
Magu Alikuwa muuwaji😭
@francistesha4115
@francistesha4115 Год назад
Watuache
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Год назад
@@owagatonny6558 alikuulia mama yako au baba yako shuwaain
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 Год назад
Hii nchi bwana! Mlikosea sana kumkabidhi rungu chizi. Shukuruni Mungu aliwaona watanzania akamlaza pema peponi.
@rechalbarama6758
@rechalbarama6758 Год назад
kila mamlaka yatoka kwa MUNGU ,,, ukituliza akili utagundua una matatizo ya kuto fikili vema na kutoa majibu sahihi
@gilmangeorge366
@gilmangeorge366 Год назад
@@rechalbarama6758 acha zako ww unataka kusema iddi amini,adolf hitler,benito musoni,wale madikteta walioua watu nao mamlaka zilitoka MBINGUNI
@tichamawani6953
@tichamawani6953 Год назад
Kunguru mwoga ukimbiza bawale ! Pole sana dogo
@anisabassedondi5513
@anisabassedondi5513 Год назад
Poleni sana,kwa yote yaliyowapata.
@gangmore9091
@gangmore9091 Год назад
Ukitaka kujua Watanganyika wengi Mazezeta soma comments Ukitaka kuwatawala watu wanyime elimu bora watie umaskini 🤣🤣🤣😅
@margrethvegula-wc7px
@margrethvegula-wc7px Год назад
Kuwa na elimu haimaanishi una busara Kuna watu wengi tu Wana pesa na elimu ila bado ni bogus
@gangmore9091
@gangmore9091 Год назад
@@margrethvegula-wc7px umefahamu nilichokiandika??
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Год назад
Wameruhusiwa mikutano ya hadhara wanaongea upuuz hiyo ndio dhamila ya kulilia mikutano ili muhadisiane utopolo kweli nyie bure kweli
@kelvinmaisa8763
@kelvinmaisa8763 Год назад
Hujalazimishwa kusikiliza
@robinsonrespicius2713
@robinsonrespicius2713 Год назад
yaaani sema vyote ila ukimsema JPM hapo unaonekana hauna kitu chochote
@WildStanley01
@WildStanley01 Год назад
Asiseme kwamba alikuwa anaonea upinzani?
@robertzingu9889
@robertzingu9889 Год назад
Mmh😯😯😯😯!! Ni kweli haya??
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Год назад
NABII NA MTABIRI AMERUDI NYUMBA.WEWE NI YUSUFU MUNGU YUKO PAMOJA NAWE.SAUTI YA WANANCHI MAMBO YAMENOGA.MAMA OYEEEE MUNGU AKUPE ULINZI KWA WEMA WAKO.IRON LADY
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Daah aisee kumbe huyu jamaa ame ponea kufa😭 magu alikua katili mno
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
Usiwe kama benders fuata upeo bana. fikiria kwanza. Mbona wengine hatukufa? Sanasana tulifurahia tupata haki zetu mahakamani, polisi, mitaani ziilizokuwa zimeporwa na wajanja wenye nguvu. miajali ilipungua baranarani? hospitalini huduma bora na dawa zilikuwepo Nile ubaguzi, ujambazi ulitoweka na vifo vilipungua sana tena sana. Masikini na sisi tulifurahia kula chakula milo mitatu kwa siku. Matabaka ya wenye pesa na wasio nazo yalipungua kwa kiasi kikubwa haijawahi kutokea....uonevu kwa wasionacho uliondoka, maofisini nidhamu ilikuwepo huduma kama kazi. Unadhani hiyo ilikuwa kazi ndogo? Au hiyo kwa kutafsiri yako ni uonevu? jamani fikiti na utumie akili kabla ya kutoa comments. tusiwe kama "maji fuata mkumbo"
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
Janja yenu hiyo ya kwenda kutafuta maisha mazuri na familia zenu ughaibuni. kule mkimbizi nyumba bure, matibabu bure, chakula bure na elimu za watoto wenu bure. Mbona hamarudishi watoto wenu hapa kwenye vumbi? mnawapeleka kupata maisha bora halafu nyie mnarudi kutupiga pororjo tupu watanzania. Tuna macho na akili zetu jamani.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
Ama kweli siasa ngumu. Yaani JPM ameondoka miaka miwili sasa lakini watu bado wanaweweseka hawaachi kutafuta namna ya kupanda ngazi kwa kutumia mgongo wake. kweli JPM hutaweza kufa akilini mwa watu...utaishi milele.
@dostovan5142
@dostovan5142 Год назад
Mmh maovu hayasauliki, hawa pia ni watanzania
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Mtu kuwa mzuri kwako haina maana ni mzuri kwa wote. Je maguful hakutoa tamko vichomw vifaranga
@innocentmtashobya1257
@innocentmtashobya1257 Год назад
Wajinga ni wengi nchi hii..mtu anaelezea yaliyomkuta ww unaleta mahaba uchwala..ma Rais wamepita wangapi?.kwa nn ni Magufuri ndo anasemwa vibaya peke yake..acheni uzuzu..Tatizo ni ukayumba..haya ni masuala yanayoitaji uelewa
@godsson5954
@godsson5954 Год назад
mtoto wako akibakwa utasahau aliyembaka hata ikipota miaka kumi? omba Mungu tunapaswa tuipende sana nchi yetu na Raisi wetu wa sasa ana upendo wa dhati sana na sana tofaut na aliyepita
@troyano_22
@troyano_22 Год назад
Ataishi kwako tu.
@emmabrownmissana6996
@emmabrownmissana6996 Год назад
Kumbe we ni zaidi ya mjinga!
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Год назад
Huyu Mzee ana akili zilihama au ukimwangali hivi hayuko sawa
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Год назад
Kumbe wewe ni zaidi ya kahaba
@prudencemushi6948
@prudencemushi6948 Год назад
Tumetoka Mbali Mungu anaipenda Tanzania
@enocepaulkumba9362
@enocepaulkumba9362 Год назад
Pole sana kamanda!
@nicholauspeter6278
@nicholauspeter6278 Год назад
Mnachefua sana yaan watu wazima hovyo sana hv hamuoni aibu mnayoyazungumza hapo mnajifanya watu wa Mungu kumbe utopolo tu
@charlesmazigo8106
@charlesmazigo8106 Год назад
Lakini Cha ajabu lissu mwenyewe aliulizwa kuhusu kuambiwa na gwajima kwamba asiende Dodoma na atapigwa risasi ,na alikana kuambiwa jambo hilo,so Mimi sielewi
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
Uongo wa kuwadanganya wananchi, hakuna jipya.
@aminimushi6945
@aminimushi6945 Год назад
Na hutaelewa.
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 Год назад
TATIZO HAMJAJUA JINSI YA KUWATEKA WATANZANIA.WATANZANIA HAWATAKI STORY NA NGONJERA ZA KUONA ETI UMETESWA,UMEDHURUMIWA NK..WEWE WAMBIE UKICHUKUA HATAMU UTALETA MAENDELEO GANI.NA SI KUHUBILI NGONJERA NGONJERA.MAANA KILA MTU ANA HISTORY YAKE.
@joezeno8
@joezeno8 Год назад
Siasa za kutafuta huruma kwa Watanzania, ajenda zao wakati wa Kikwete mzee Magu alizimeza zote
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Год назад
God bless God bless lema
@fredyosokoni7672
@fredyosokoni7672 Год назад
Pole Sana mpingania haki Mungu Amubariki Sana muteeesi yawengi
@juliusjames4768
@juliusjames4768 Год назад
Acheni kutumia hisia na matako kufikiri kwenye mikutano yenu...someni alama za nyakati,..Njooni na strategies mpya za kuwakomboa watanzania..Mkikaa kumuongelea magufuli mtaangukia pua.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Год назад
God bless inform national on his living Tanzania to Canada on his arrive has spoken reality what happened on his pressure of late John pombe makufuli leadership under exelence president Samia sluu Hassan allowed them back to Tanzania now this is what God bless inform Tanzania Pablic what was happening wajacoa has play big part to solve God bless lema his life for run away from late John pombe makufuli leadership to Kenya for short time process traveling to Canada short information how he saviviving
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
yaani kwenda kote nje tulidhani amrkuja na habari za maana atupe maarifa ya kuboresha hali zetu za kimaisha kumbe karudi kama alivyoondoka ni maneno yaleyale yasiyo na mpango kwa wananchi. Hizo story zake sisi zianatuhusu vipi jamani? Lete sera za maendeleo ulizojifunza huko kwa wenzetu.
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Год назад
People's power nichama kilichotupa uhuruna kilichopomadarakani hadisasa kwaridhaa yawanachi walio wengi wenyekusema power....naonimbumbukama kamahuyo heis likemoving shedow.
@meddymushmaz551
@meddymushmaz551 Год назад
Wewe ukianza kungea mambo ya JPM hapo ndipo mnapokwama shenzi, kwanza sisi hatuwatambui nyinyi ni matapeli wakisiasa
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Год назад
MUNGU HAONGWI WALA HATUKUZI MWANADAMU
@Omary_Mjema
@Omary_Mjema 3 месяца назад
Kweli ujinga mwingi sana aisee yani mmeanza kuabudu watu sasa na mabaya yao aiseee
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Год назад
Siasa za masimulizi..... Hii ni Tz bro..... Acha maneno... . Maisha yanaendelea... iwe heri Kwa watz
@jacksongabriel4693
@jacksongabriel4693 Год назад
Lema we nitapeli tu hamna lolote unavo mwongelea magufuli aliye acha alama kwenye nchi hii we umeacha nn kwenye nch hii zaidi ya utapel kumbe ww na kikwete lenu moja
@muhidiniabdur2382
@muhidiniabdur2382 Год назад
Tatizo munatumia muda wote kueleza matatizo ya utawala wa magufuri , kasha kufa uyo mbona nanyinyi mawazo yenu yemekufa jpm,ngumu kuchafua magu
@edgartz3367
@edgartz3367 Год назад
Duh😭😭😭😭
@samsonmsomi8330
@samsonmsomi8330 Год назад
Kwahiyo unadhani ukimsema JPM ndo tufanyeje, ngoja tukuambaie kitu ahsante kwa kuropoka, kikwete na Gwaji sio!? ngoja inyeshe tuone panapovuja
@Jal210
@Jal210 Год назад
Kikwete enzi ya JPM aliufyata sasa kamtawala mama
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 Год назад
Jiwe alikuwa nyoko wallah! Kiukweli kabisa kama angekuwepo hadi sasa wapinzani wengi either wangekuwa jeala maisha au wameaga dunia!
@BGHaule
@BGHaule Год назад
Inawezekana nchi ingechafuka,watu wangechoka
@BGHaule
@BGHaule Год назад
Mambo yalishafika shingoni
@adrianalex5546
@adrianalex5546 Год назад
@@BGHaule uvn0l Ll
@yawepetro2049
@yawepetro2049 Год назад
Jpm kumbe ulikufa kwa Sababu yetu alikufa mtetezi wetu wawanyonge😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 Год назад
Mtetezi wa wanyonge haui wenzake
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Год назад
Muuaji mkubwa yule na huko aliko kama hakutubuuu moto unamuwakia mshenzi kabisa magu
@solomonpeter1824
@solomonpeter1824 Год назад
Hapa ndo utajua mbivu na mbichi. Na kukimbia kote kama unavyotudanganya, hakuna ulilojifunza umerudi kwenye nchi yako bado unamtukana na kumdhihaki Hayati Magufuli. Mungu hadhihakiwi cha msingi ukipata nafasi ya kutoka kujifunza nenda jifunze rudi tuambie cha maana na nn cha kusema. Huo umati wote wanakushangaa sana kaa chini tafuta namna ya kuongea na watu. Pia epuka kuwachonganisha viongozi wastaafu kama walikusaidia ni jambo la kusema asante na siyo kuweka hadharani, mm cyo mwana siasa bali mzalendo naipenda nchi yangu but sipendi kusema uongo na nawaheshimu viongozi waliopo na waliotangulia
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 Год назад
Pole
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Год назад
Mfuate Chato kama unamtaka.
@WildStanley01
@WildStanley01 Год назад
@@samwelimoshi5614 Amekudanganya nini sasa..kwenye hii dunia kunamtu ambae hajui kua mwendazake alikuwa anaonea upinzani ?
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 Год назад
Hawawezi kukuelewa hawa bado watakupinga sana
@simonballu1124
@simonballu1124 Год назад
nenda chato mpumbavu wewe na usenge wako.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
Sasa wewe kaka Lema muda woooote umetumia hujaongea sera yoyote mpya ya maana ya maendeleo unakazania kumpaka JPM matope. unatufanya kama wambea wa saloon za nywele vile. watu tunataka sera mpya ulizokuja nazo kumbe wala hujabadilika kuwa bora zaidi. Tumeshavhoshwa na mambo ya umbea tunataka sera zilizoenda shule. Unatumalizia bando zetu bure
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 Год назад
Mlikuwa mkiuza siri za serikali kwa mabeberu ndio maana mlikimbia baada ya kushtukiwa, ongea ukweli!!!!
@phaustinendumbashi
@phaustinendumbashi Год назад
We ndo choko kweli,,,hizo siri za serikali wamezipata wapi au walishawahi kuiongoza nchi au unaropokwa tuh
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Ipo trending no one duuuh
@josh_versal8180
@josh_versal8180 Год назад
I wish Magufuli angekua hai na akasikia alichokua anakifnya angelia sana wanasema ukitaka kumjua mtu mpe Mamlaka,pesa na unyumba
@josh_versal8180
@josh_versal8180 Год назад
Vijana huku chuo tunawakubali Chadema sana
@abbiecox1
@abbiecox1 Год назад
wengi mtakubali ushoga pia huo ni mwanzo wanakuja na haki mpaka za kuwaruhusu vijana kutumia makalio yao
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 Год назад
Chuo Gani hicho aisee?
@abbiecox1
@abbiecox1 Год назад
@@stephanokaaya1881 TUSUBIRI YA KENYA VIJANA WENGI WANATAFUTA KAZI KWA KIGEZO CHA ELIMU PASIPO UBUNIFU. KUKIMBILIA SIASA NI KWA MAANA YA KUPATA SULUHISHO LA AJIRA TU
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 Год назад
Zero akili chuo kinapokea hata vichaaa
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 Год назад
Pole sana chuo
@hussainmaulatz6758
@hussainmaulatz6758 Год назад
MAMA SAMIA MUNGU AKUWEKE SANA MAMA ETU UMEKOMAA KIDEMOCRASIA UPINZANI UNA HAKI YA KUWEPO NA KUA MPINZANI SIO ZAMBI WALA SIO LAANA KWA KUA WOTE TUNAJENGA NNCHI 1 .
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Год назад
Karibu Lema
@SuperCamle
@SuperCamle Год назад
Kama Movie hivi. Ulifanya vizuri kumpigia kwanza baba, lakini hata ungemtwangia mama mmoja kwa mmoja kusingekuwa na tatizo kwani sisi tumeshaelewa kuwa Mama Samia ni Mama wa wote. Huku umalila sisi tunasalamu yetu isemayo. Mama Samia Mama wa Wote. Ukianza na : Mama wa Wote, jibu Mama Samia! Karibu nyumbani bro...Hakuna Matata
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Год назад
Tumechoka Marudio yaleyale miaka nenda miaka rudi....we leta sera za maana za kujenga taifa na kuondoa matatizo yanayotukabili. mambo yako binafsi ambayo hata hatuwezi kuyathibitisha hayatuhusu jamani. sisi tunataka mipangokazi mipya ya kimarndeleo
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 5 месяцев назад
Professor j kimya acha huyu mwenye nguvu sa hivi aseme ataujua mchango wawatu yakimkuta😊
@jumaedward7110
@jumaedward7110 Год назад
Mungu ni mwema
@goodluckkamaghe3871
@goodluckkamaghe3871 Год назад
Pole Sana kwa mapito
@soloartist_ivanvespalusind1609
Hahaha! But all in all Watanzania tunamhitaji kiongozi kama Magufuli kwaajili ya maendeleo ya Taifa letu. Mungu tujalie
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 Год назад
Pole sana
@mariamakoye9066
@mariamakoye9066 Год назад
SIRI imeanza kutoka. mlishangilia na kuambizana aaa Lema Kikwete Samia. Mmmmm RIP JOSEPH POMBE MAGUFURI. MUNGU AKUPE RAHA YA MILELE KIPENZI CHA MIOYO YA WATANZANIA.
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 Год назад
Ninasema kuna watu wanakufa lakini kwa matendo yao na mateso waliyosababisha historia lazima iandikwe🤔
@user-ly9ul6lo4t
@user-ly9ul6lo4t 5 месяцев назад
🎉❤🎉❤ wajakoyaa good bless
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Год назад
Hawa jama ukiwasikilixa hawasemi nini chamaaana zaidi yakupigia watu stor zawalitaka kuuwawa yan Lisaa lizma anatoa stor duu nakunawatu wanasema sema baba
@emmansabu9300
@emmansabu9300 Год назад
Na u_prophet jina wako unashindwa kusema yanayosemwa ni kweli au Ni uongo.. ondoa iyo prophet kwanza hapo ndo u comment
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Год назад
@@emmansabu9300 nisamehe ila ukweli nikwamba hawa mnao washabiki ccm wala chadema hakuna wakuleta maendeo fanya kaz zako maana naona wapiga kelele tu mm nilikuwa chadema nahata sasa nichadema ila spend hii yamtu ananiletea shidazake kunielezea alikuwa anataka afanywe hiki nakile mm hainihusu namzalendo hakimbii nch yakee et anaogopa kufa wangap wamekufa hapa au siasa za mdomo tu mzalendo hakimbii nchi yake UNATAKA KUSEMA MIKUTANO ISINGE FUNGULIWA NA LAIS HAKUNA MPIGANIAUHURU WAPIGANIA UHURU WAMEKIMBIA NCH ZAWATU HARAFU TUNAWASHANGILIA ET WAMELIDU DA NCH INAWATU WAAJABU HIInyny wengine niwashabiki
@patrickjohn4135
@patrickjohn4135 Год назад
prophet islael hunaakili futa prophet yko
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Год назад
@@patrickjohn4135 wewe mwenyeakili imekusaidia nini zaidi yakushabikia vitu visivyo namaana
@mialanomangobo9356
@mialanomangobo9356 Год назад
Magu aliwanyoosha vizuri na uwongo na udanganyishaji watu Tazama Tz ya Mangu na ya leo Magu Alifanya mambo makubwa ya kimaendeleo Tz
@jeradkanyuru5745
@jeradkanyuru5745 Год назад
Mbona mama..ukaruusi..siasa..mambema..mbona ivo..mama
@paulseleman0604
@paulseleman0604 Год назад
Hayo ndo wanayohitaji watanzania simulizi za matukio ndo kukijenga chama Sera hakuna jamani elezeni basi mambo ya muhimu
@neemamwandoto8293
@neemamwandoto8293 Год назад
Hawana la muhimu hao zai ya uchonganishi
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
13:23 ..... Kikwete ! Mama why ????????? Ukiwa na akiliii utaelewa achana na siasa chadema+ ccm ni wamojaa
@johnnyoni3976
@johnnyoni3976 7 месяцев назад
NAKUELEWA SANA LEMA
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 Год назад
Now we know!!!!, nyie wote mlikuwa kwenye mipango ya kumuua JPM pamoja na muheshiwa uliyemtaja!!! Hatutaki watu wanao seek sympathy kutoka kwetu, tupeni Mipango mtawatoa vipi wananchi from where they are???
@evaristimramba9047
@evaristimramba9047 Год назад
Tunategemea Sera za maendeleo lakn kila mkikimbia mkirudi Sera kupigwa risasi jmn hayo ndio tunayoyahitaji au tunahitajk Sera za maendeleo jmn mnatuchosha
@hamphreyhamad4971
@hamphreyhamad4971 Год назад
Ukifatilia kwa haraka unaweza kusema lema mwongo ila ,ukifatilia siasa vizuri ,ukiangalia utekaji na unyanyasaji ulofanyika kwa kipind cha miaka 5 ilopita ,nchi ilikuwa inaenda kuwa kama sudan kulikuwa hakuna aman kama saivi ,pia saiv maisha yamekuwa magumu kutokana na system ilishaanza kuharibika toka nyuma ,huwez fukuza tz bado nch ambayo inahitajika kuwekezwa sana hasa raisi ambae ww msimamizi tu unafukuza matajiri ambae tajiri mmoja katika system yake ameajiri watu zaid ya lak 5 ,mfano dangote atoke hawa watu waloojiriwa wanaenda wapi umaskin unatengenezwa na mfumo mbovu saiv analaumiwa rais wa saiv akat aliyeharb hayupo ,mnafurahia kuambiwa wamachinga na mama ntilie kweny kila mkutano
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 Год назад
😭😭😭😭😭😭
@konderaeriasi6251
@konderaeriasi6251 Год назад
Pore sana mweshimiwa rema ww nije Simba wa arusha
@wadudi2741
@wadudi2741 Год назад
Huna akili
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 6 месяцев назад
Hapo unapiga ngoma ya kiziwi JPM ukimsema vibaya wanainchi ata awakuelewi tupe mipango mipya ya kuitoa ccm 2025
@micheluplift3291
@micheluplift3291 Год назад
uyu ndo katoka canada or kuna mwengin ?