Тёмный

LIJUE SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM - DSE. TBC 1 EP 05 

FEDHA UCHUMI
Подписаться 590
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Mr. Patrick Mususa. Meneja Miradi na Biashara toka Soko la Hisala Dar es Salaam (DSE) akielezea kwa kina kuhusu Hisa, nini hufanyika katika Soko la Hisa, Taratibu za kujiunga na namna ya kununua Hisa, faida za kuwa na Hisa na namna Hisa zinavyoweza kuza pato lako na Taifa kwa ujumla.

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@BiasharaKUBWA
@BiasharaKUBWA 4 года назад
Bahati mbaya watu hawaangalii haya mambo, kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
@jitendradivecha4410
@jitendradivecha4410 6 месяцев назад
Keep it up for your Education of DSE !!!!!
@davidkagenzi7973
@davidkagenzi7973 Год назад
Elimu nzuri sana, hongera kwa kazi nzuri
@hddhhddhdhhd7466
@hddhhddhdhhd7466 4 года назад
naombeni kujua jinsi ya kujiunga nikiwa nje ya nchi
@godfreyngowi6434
@godfreyngowi6434 4 года назад
Elimu nzuri sana hii...hongera sana kaka kwa maelezo mazuri
@eliudimwigi8368
@eliudimwigi8368 6 лет назад
Ahsanteni sana kwa Elimu hii ya Soko la Hisa. Nimejifunza na Kupata majibu ya Maswali yangu niliyokuwa najiuliza mwenyewe mara kwa mara.
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 года назад
Safi sana
@noramajubu5783
@noramajubu5783 Год назад
Naomba kujua pia, agent anapata faida gani?
@kelvinmassawe9629
@kelvinmassawe9629 Год назад
Ninamna gani Kama kijana mdogo naweza. Kujiunga na kuweza kupata hisa
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 года назад
🙏
@frankmedek4086
@frankmedek4086 4 года назад
Namba za anaehojiwa kutoka DSE
@jitendradivecha4410
@jitendradivecha4410 6 месяцев назад
Please educate also in English
@sylivesterm.mazigo2440
@sylivesterm.mazigo2440 5 лет назад
Nimefrahia Elimu juu ya DSE, naomben contacts zenu plz
@abdullahaldhawi4413
@abdullahaldhawi4413 2 года назад
Vipi tutavipata namba za mawakala wa hisa naomba nijulishe
@brightmshana148
@brightmshana148 Год назад
Name for those agents please......!? And in Arusha sub Agent were their located
@nesphorycharles2993
@nesphorycharles2993 4 года назад
Nataka kufanya register mnipe proces zake
@kasigahamisi354
@kasigahamisi354 3 года назад
Mawasiliano
@noramajubu5783
@noramajubu5783 Год назад
Niko Manyara naomba kumfahamu wakala wa Eneo langu?
@roddybob6871
@roddybob6871 3 месяца назад
Nenda CRDB Bank iliyopo jirani yako
@nishan-129
@nishan-129 4 года назад
What is this language?
@godfreyngowi6434
@godfreyngowi6434 4 года назад
Kiswahili
@annahockson1427
@annahockson1427 3 года назад
Swahili from Tanzania in Africa ( Kilimanjaro mountain )
@dannyjacob7444
@dannyjacob7444 3 года назад
Mbona ni kama hio huduma ya simu kupitia *150*36# haipatikani kwa maana kwamba haipo
@elizabethbk5065
@elizabethbk5065 3 года назад
Ukipiga unaambiwa haipo
@aishaomar4318
@aishaomar4318 4 года назад
Kwa zanzibar wakala yupo?
Далее
Fahamu Kuhusu Soko La Hisa Dar-es-Salaam (DSE)
17:49
Просмотров 1,6 тыс.
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 3,1 млн
Holding Bigger And Bigger Dogs
00:18
Просмотров 19 млн