Тёмный

LIVE: AHMED ALLY ANAONGEA MUDA HUU | NI FEITOTO.? | HATMA YA AYOUB SIMBA SC | KUHUSU PRE SEASON.. 

Ayoma Media
Подписаться 267 тыс.
Просмотров 86 тыс.
50% 1

Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Спорт

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 101   
@AbdulhazizHasani
@AbdulhazizHasani 3 месяца назад
Mungu ibariki simba wafike salama wote wajiandae vzr na waendelee kuwaa na afya njema warudi wafanye kazi yao ipasavyo simba nguvu moja
@Agnesssefu
@Agnesssefu 3 месяца назад
Wanasimba wote wenye mapenz na timu yet tusikose kuiombea timu yet jmn❤❤❤❤
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад
Wasafir salama wachezaji wetu mungu awape wepesi
@JosephTibu
@JosephTibu 3 месяца назад
MUNGU IBARIKI CHAMALANGU AMBALO NAMBA 6 BARANI AFRICA ,SIMBA NGUVU MOJA
@joanchuma4903
@joanchuma4903 2 месяца назад
Mungu walinde simba yetu katika safari yao
@SarahOlesendeka
@SarahOlesendeka 3 месяца назад
Naipenda Simba daima
@AnjelaPhilipo
@AnjelaPhilipo 2 месяца назад
Mungu naomba watangulie Simba katika safari yao Wasari salama na warudi salama wote wakiwa na afyanjema
@MwanakomboDaud
@MwanakomboDaud 2 месяца назад
Mungu wabariki wachezaji wasimba wawe namuunganiko mzuri naipenda Simba daima milele
@tiffan2807
@tiffan2807 3 месяца назад
Munguu awatangulieee🙏🙏🙏
@AllyswalehAllyswaleh
@AllyswalehAllyswaleh 3 месяца назад
Amin mungu aibariki simba yenye mafanikio
@ramadhannjolesti
@ramadhannjolesti 3 месяца назад
Bora ange baki mgunda tu🏃🏃
@ShagyMadenge
@ShagyMadenge 3 месяца назад
Nakukubar kaka
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi 3 месяца назад
Simba nguvu moja💪💪💪 semaji la dunia
@BellaTuyi-hd7tw
@BellaTuyi-hd7tw 2 месяца назад
Simba nguvu moja ✍️ Mabetu &Co
@salimukiluwa
@salimukiluwa 3 месяца назад
mungu ibaliki simba yetuuuuuuu ❤❤❤❤
@zarinatv2024
@zarinatv2024 2 месяца назад
Simba yangu jaman, ligi ianze tu😊🔥🔥🔥
@bin.Ali_boy
@bin.Ali_boy 3 месяца назад
Ayoma kwa video hii 😢😢😢 hamna mlichofanya kabisa
@salmaally8461
@salmaally8461 3 месяца назад
Bwege wewe subir kazi
@lemamolelilemamoleli7740
@lemamolelilemamoleli7740 2 месяца назад
Munguibariki simba
@OptimisticHusky-fg6mn
@OptimisticHusky-fg6mn 3 месяца назад
God bless 🙏
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 3 месяца назад
Aaaaah rama mbona unawahii😂😂😂
@AmeirhajjRamadhan-e1h
@AmeirhajjRamadhan-e1h 3 месяца назад
😂😂😂😂😂Rama ana haraka kama kimbunga hidaya🙌🙌
@MomopauloKetoni
@MomopauloKetoni 3 месяца назад
❤ wewe unaongea utopor mshon mwa lig utazaa kuomba raziii
@PaschalYohana-ub7mu
@PaschalYohana-ub7mu 3 месяца назад
Nawatakia maandaliz mazur
@SuleimanNgware
@SuleimanNgware 2 месяца назад
Dr nlopokaji kazini.. 7 toa 2..pale pale
@Malack-p7j
@Malack-p7j 3 месяца назад
Simba nguvu moja
@FadhiliMbuluta-m9k
@FadhiliMbuluta-m9k 2 месяца назад
Vp kuhusu kramoo kaka
@PanthonyBahati
@PanthonyBahati 3 месяца назад
Naipenda Simba
@MosesIsack-jb7ti
@MosesIsack-jb7ti 3 месяца назад
Sauti haieleweki kabisa inakata sana
@francisphilipo5749
@francisphilipo5749 3 месяца назад
Simba ya msm ujao haitafungika itamaliza lig bila kufungwa
@WinnersonMahali
@WinnersonMahali 3 месяца назад
Hongereni viongozi wote na Boss Mohammed ...Ila muwape viapo wachezaji wasituletee malinji linji ,hatutaki kuumizwa tena kama mapenzi bhanaaa 😅😅😅😅😅 . Mufike salama
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 2 месяца назад
Kwa timu hii labda mvunje mikataba ya wachezaji wenu mliosajiri na msajiri tena ndo kidogo mtapunguza kuumia😂
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 2 месяца назад
Shida hapo ni kuvunja mikataba ya kina jobe....Sasahivi tajiri anaprocess mkopo ndo muwape thenkyuu😂
@GASPARYALEX-mc6kj
@GASPARYALEX-mc6kj 2 месяца назад
Tajiri wetu Mo amsajiri FEI toto afu ndo aje atambulishwe Simba days na sio kwenye mtandao kama hivi iwe ni surprise kwetu
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 3 месяца назад
Isogezee hii kidgo nitailaa😅😅😅😅
@KidoBanks
@KidoBanks 3 месяца назад
Kwani yanga hamuogopi jamn 😂😂 ❤simba
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 3 месяца назад
Tunaogopa
@KidoBanks
@KidoBanks 3 месяца назад
@@salumualoyce5620 😂😂😂
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 3 месяца назад
Anarecord gani huyo kocha.
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@fiedogameslinks2833
@fiedogameslinks2833 3 месяца назад
❤❤❤❤
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 3 месяца назад
Tu nashukuru chama usaliti wake umezaa matunda
@JemaChoga
@JemaChoga 3 месяца назад
kwani Chama ndo aliesajiri Hadi apewe shukrani?
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 месяца назад
Kuondoka kwake kumeboost
@fiedogameslinks2833
@fiedogameslinks2833 3 месяца назад
Safari njema
@nikky4757
@nikky4757 3 месяца назад
Channel kumbwa mnashindwa kuwa na mfumo wa uhakika wa sauti tena channel ya habari mnatoa aibu
@saidbakari7998
@saidbakari7998 3 месяца назад
😂😂😂ila Ahmed ally
@barackmoses7003
@barackmoses7003 3 месяца назад
Muwe mna edit video kabla hamja Post
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 3 месяца назад
Kramo vp au ndo mnataka kupoteza bahati jamani simba tusifanye ujinga kumuacha kramo
@DaruweshAkida
@DaruweshAkida 2 месяца назад
Kero saauti
@zarafimnyamafitv
@zarafimnyamafitv 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉
@magesadani9058
@magesadani9058 3 месяца назад
Kumbe hakuna cha fei toto wala mpanzu hapo
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 2 месяца назад
Semaji la muungano ulituambia mmemuuza Inonga FAR Rabati hebu tudanganye mlimuuza sh..ngapi?😂
@SophiaWanene
@SophiaWanene 3 месяца назад
HUYO NI LAIGWANANI WA SIMBA
@taucdulle7460
@taucdulle7460 3 месяца назад
Sasa mnaupload video ina saunti mbovuuu….halaf seem muhim za semaji hazipo😢
@AmerJuma-e1w
@AmerJuma-e1w 3 месяца назад
Tunawasubri mukirud kichapo kipo paleple😂😂
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 2 месяца назад
Wala usidanganye kama mwalimu alishiriki kusajiri mlishasema mo ndo anasajiri na istoshe ligi ikianza tu basi tutajua nani kasajiri😅😅😅😅😅
@zuwenamlaponi-cu1df
@zuwenamlaponi-cu1df 2 месяца назад
Shida yako ni nini
@AmanAbdalah-cx5fq
@AmanAbdalah-cx5fq 3 месяца назад
Charles mpogolo😂😂
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 3 месяца назад
Lamek law Ni mchezaji wetu Halali Wa coastal union Na tuko njiani tunakija nae Dar kwajili ya michuano ya kagame twasemaje Hyo imeisha nyie endeleeni kuwadanganya wandishi Wa habar😂
@HassanSadiki-l5c
@HassanSadiki-l5c 3 месяца назад
Kw hvyo walio sajiliwa sio chaguo la mwalim bali ni nyiny mlimchagulia mwalim.... Hyo ni tabir mbaya mwalim ndio anafaa apendekeze kisha management itoe donge asijiliwe .. Baadhi ya klabu umchagulia wachezaji wakt wa kusajili ama mwalim asajili wachezaji kisha klabu iseme huyu anafaa kucheza huyu hafai. Yote kw yote watani wetu tunawaombea kila la kheir.... Hakuna hutani mzuri kama wa Comedian wa Caf Ahmad Ally na msemaji wa Caf Ally shaaban kamwe...
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 3 месяца назад
Wewe kundu kako
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 3 месяца назад
Vp kramo yupo kwenye kikosi au
@Thelouismalekan
@Thelouismalekan 3 месяца назад
Sauti inakata kata kunashida gan
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 3 месяца назад
Koshotoni kwa semaji Jamaa lenye kipara linainjioy Ahmed unapoongea
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 месяца назад
Umeona ee
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 3 месяца назад
Hawa wakirudi ni kuwagonga goli zakutosha 😂😂😂😂
@smartgangempire6136
@smartgangempire6136 3 месяца назад
Mic inakatakata
@JamesNashon-l8w
@JamesNashon-l8w 3 месяца назад
Kibu dens sijamuona
@Bigkassim
@Bigkassim 3 месяца назад
Simba timu yetu naitakia mafanikio
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 3 месяца назад
Anaitwa Debora bhana nac kusoma tunajua.
@muniramtoy8280
@muniramtoy8280 3 месяца назад
Kuna shida gani akiitwa Deborah,mbona yanga Kuna joice Lumalisa
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 3 месяца назад
@@muniramtoy8280 Umeangalia kikosi cha Yanga ukaona kuna Joice.Mwambieni ajiangalie watu watanyandua,watu hawawezi kukaa na ukwio muda mrefu kambini wakati kuna binti Debora🤣🤣🤣🤣🤣
@Nufaila442
@Nufaila442 3 месяца назад
😂😂😂 ila ahmed wewe 😂😂😂😂
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 3 месяца назад
Mbona inakatakata?
@geofreymwamengo
@geofreymwamengo 3 месяца назад
Hv jaman nauliza kramo ameonekana hapo
@JonhEmanuel-ld6hl
@JonhEmanuel-ld6hl 3 месяца назад
Ayoma mbona hamumulizi kuhusu kramo
@taseleli9181
@taseleli9181 3 месяца назад
Kramo ameachwa
@alitante4279
@alitante4279 3 месяца назад
Mike zenu mbovu au mnazingua
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 месяца назад
Mpira hauna rongorongo, mpira ni mchezo wa wazi.
@MackrinyDonard
@MackrinyDonard 3 месяца назад
Litakufa jitu msimu huu😂
@elickemanuel8393
@elickemanuel8393 3 месяца назад
Achana na simba yetu ww
@jumahamad9463
@jumahamad9463 3 месяца назад
SIMBA YENU AU SIMBA YA MOO NA MANGUNGU
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад
Sawa semaji letum la fifa hunabaya
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 3 месяца назад
Mashine ya kusaga maji au.
@jumahamad9463
@jumahamad9463 3 месяца назад
NDIO HIVYO NIMASHINE YAKUBOWA MAHINDI
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 3 месяца назад
Mbona saut inakata
@JonhEmanuel-ld6hl
@JonhEmanuel-ld6hl 3 месяца назад
Vp kuhusu kramo
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 месяца назад
Wewe shangilia tuuu.
@salmaally8461
@salmaally8461 3 месяца назад
Fei vp????
@allykeys5939
@allykeys5939 3 месяца назад
Kpotezeni pesa yanga tam
@taseleli9181
@taseleli9181 3 месяца назад
Wakipoteza si za kwao wewe unateseka nini?
@chidampiri1012
@chidampiri1012 3 месяца назад
Elia mpanzu
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 2 месяца назад
Mnafikia tena kwenye yale madarasa mweeh😂
@TwalibuSaidi-w6s
@TwalibuSaidi-w6s 3 месяца назад
uyu mwaka hamzinduwi jezi au mtaavaaa kamwanya
@AbdulhazizHasani
@AbdulhazizHasani 3 месяца назад
Mungu ibariki simba wafike salama wote wajiandae vzr na waendelee kuwaa na afya njema warudi wafanye kazi yao ipasavyo simba nguvu moja
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi 3 месяца назад
Simba nguvu moja💪💪💪 semaji la dunia
@AbdulhazizHasani
@AbdulhazizHasani 3 месяца назад
Mungu ibariki simba wafike salama wote wajiandae vzr na waendelee kuwaa na afya njema warudi wafanye kazi yao ipasavyo simba nguvu moja
@AbdulhazizHasani
@AbdulhazizHasani 3 месяца назад
Mungu ibariki simba wafike salama wote wajiandae vzr na waendelee kuwaa na afya njema warudi wafanye kazi yao ipasavyo simba nguvu moja
@AbdulhazizHasani
@AbdulhazizHasani 3 месяца назад
Mungu ibariki simba wafike salama wote wajiandae vzr na waendelee kuwaa na afya njema warudi wafanye kazi yao ipasavyo simba nguvu moja
@AbdulhazizHasani
@AbdulhazizHasani 3 месяца назад
Mungu ibariki simba wafike salama wote wajiandae vzr na waendelee kuwaa na afya njema warudi wafanye kazi yao ipasavyo simba nguvu moja
Далее
BABA ((FULL MUVIE))
56:54
Просмотров 397 тыс.
MBAPPE VS iStephan #shorts
0:12
Просмотров 3,7 млн
Bro Had Them Like It's Nothing 💀
0:11
Просмотров 6 млн
Coldest Pictures in Football🥶☠️
0:23
Просмотров 9 млн