Ndugu wafatiliaji wetu,tunawashukuru kwa kuendelea kua sehemu ya familia yetu THAURIA
tafadhali endeleeni kua na moyo wa ufatiliaji wa kazi zetu kila zinapotoka
Aidha tunapokea oda za shuhuli kama vile harusi uradi nadhiri maulidi birthday n.k
kwa mawasiliano zaidi tupigie
0776 133 303
AU
0779 048597
6 сен 2024