Тёмный

#LIVE 

BAYYINAT DM TV
Подписаться 39 тыс.
Просмотров 1,4 тыс.
50% 1

Kumekuweko na mjadala mkubwa siku za hivi karibuni. Kuna makundi mawili, moja linasema Biblia inaruhusu, huku kundi jingine lisema siyo halali. Karibu kwa mdahalo huo

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola День назад
Safi sana baba yangu Simbaulanga. Maana his doctorate zingine bana ni aibu sana
@Cliford-f1x
@Cliford-f1x День назад
Zembedayo ubalikiwe sana
@barakampunga8121
@barakampunga8121 2 дня назад
Asikofu fata misingi ya Mungu achana na mifumo ya kidunia unapinga had maandiko ya Mungu
@pwezapwezafelix7222
@pwezapwezafelix7222 2 дня назад
Sio mbele ya wanaume mungu akikataza musipinge na paulo ni mpotoshaji minanii wote waliowa wake wengi
@ligangapaojoeli7819
@ligangapaojoeli7819 2 дня назад
Wewe pia ni mzinzi 😂
@denismugisha2
@denismugisha2 День назад
Wewe hata jina unalotumia linakufunua akili zako
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 дня назад
Nyie sasa munatafuna Bibilia kwa midomoyenu namaalifa haba mambomengine yanahitaji akilitu dini ni imani wala hahIhitaji 2×2=4 huo nikuchanganya mambo mwenyewe unataka uchanganya nawengine wenye kufanananawewe.kitu ambacho si sahihi kabisa wenzenu mbonawanasoma hayo maandiko.zaidi yamiaka 15 auzaidi yahapo ndiyomaana kanisalakwanza lamitume lipo .halijayumba hadisasa huo nimfano halisi kwadunia walahalina ubishi kuchokonoachokonoa kilakilichoandikwa nawaandishi waBibilia nikosa kuoadada huoniwakati ule .hatawatoto waAdamu walizalishana waokwa wao kwakuwa ndiyo ulikiwa uzao wakwanza waMungu tafisiri yautambuziwa ndugu hiyo imekuja baadaya ustaarabu.wamwanadamu hivyotutumie maalifa yahistoria yamwanadamu hadi jinsisisi tulivyo tukozaidi yaenzi hizo hatamara Iooo.
@ligangapaojoeli7819
@ligangapaojoeli7819 2 дня назад
Huyu jamaa ni muongo hajui maudhui na dhamira ya pauolo pia huyu askofu ni mzinzi
@christopherchisuligwe512
@christopherchisuligwe512 2 дня назад
Mafundisho ya mashitani
@YoabuNdabhaha
@YoabuNdabhaha 2 дня назад
Jaman hapa mripofikia ni kwenye kupotosha mdaharo huu hautofautian na wanao halalisha ushoga jaman tumetuma kuhubli injili iletayo uzima wa milele Kwa kilaaaminiye siyo hii midahalo
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 2 дня назад
Kwa hiyo wewe ulipenda Askofu asiulizwe amepata wapi maandiko yanayomtaka aoe mke zaidi ya mmoja?
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 День назад
Inaonekana wewe kama ni mkristo hata kanisani kwenu hakuna majadiliano ya kuyachungunza maandiko pole ninyi hapo kanisani kwenu mnapelekeshwa tu
@bernardmwenda5186
@bernardmwenda5186 2 дня назад
Ndugu zangu, hapa hamtaelewana kwa sababu kuna roho mbili zinazopingana. Mtu bila kuokoka huwezi kulielewa Neno, huyo wa wake wengi hajaokoka, hajamjua Kristo. Angekuwa ameokoka, angeshuhudiwa na Roho wa Kristo mwenyewe.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 2 дня назад
Ila tunapaswa tumwambie ili ajue Neno la Mungu katika Agano Jipya halifundishi hivyo
@bisagakaboboye8060
@bisagakaboboye8060 2 дня назад
Wakristo acheni kusinzia. Mnadanganywa sana hapo.
@pwezapwezafelix7222
@pwezapwezafelix7222 2 дня назад
Kuowa mke mmoja ni sheria ya paulo ili wakristo wasizaane wasiwe wengi
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 День назад
Yeye ni bishop harafu anaoa wake wangi alikua hajasoma hiyo Timothy 3:1
@AMKENIKWAYAGospelmusic
@AMKENIKWAYAGospelmusic 2 дня назад
WAKRISTO MUWE MACHO KAYENGERA HAJAWA MUKRISTO NIMWONGO
@AareMjungu
@AareMjungu 2 дня назад
moja ya Makristo ya uongo ni huyu mwenye hii Chanel.
@binseif2216
@binseif2216 2 дня назад
Kabisa Huyu Daniel siku Tamaa za kudunia zikiisha atakuja kwenye uislamu sababu haki anaijua lkn tumbo ndo shida
@ligangapaojoeli7819
@ligangapaojoeli7819 2 дня назад
Exactly
@ligangapaojoeli7819
@ligangapaojoeli7819 2 дня назад
Narudia huyu hajui maudhui ya paulo,huyo ni mzinzi tuu alafu u doctor alonao ni feki
@binseif2216
@binseif2216 2 дня назад
Huyo simba ulanga mpka kazeheka hajatoa andiko ukristo ni dini ya kweli😂😂
@cecilsimbaulanga
@cecilsimbaulanga 2 дня назад
Aya kaitoa Allah katika kurani
@binseif2216
@binseif2216 2 дня назад
@@cecilsimbaulanga Naomba hiyo Aya
@Smart_jarm
@Smart_jarm День назад
​@@cecilsimbaulanga Kwaio unaikibali Quran kimyakonya😂😂,Mimi kama mtu mzima nimekuelewa
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 День назад
Uislam peleka msikitini
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 14 часов назад
Mbona hata wewe hujatoa Aya ni wapi mtume wenu Muhammad Alivua viatu kabla ya kuingia msikiti ni?
@binseif2216
@binseif2216 2 дня назад
😂😂Hivi Mungu anapokataza kitu aio dhambi???duh
Далее
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Просмотров 17 тыс.
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Просмотров 3,6 тыс.
MAFUNDISHO -- JE UNGETAKA KUTOA NA KUBARIKIWA?
53:52
Просмотров 26 тыс.