Mchambuzi Friji Bovu piga kazi baba usikatishwe tamaa na hao Mafelia ukiwapa Maiki waongee hawana lolote zaidi ya matusi na mapenzi ya timu zao. Firiji 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 unatisha..
Mnafiki balaa,linamchoma moyoni, hasa kumuona CHAMA akifanya vizuri! Wagogo husema,,He is eating His own words! Mungu hujua kuwahaibisha wanafiki!@@ghareeb9787
Kwa Young-Africans hii hata wachambuzi mchongo ni ngumu kuwaponda Young-Africans na wao Yanga huwasikilizia wachambuzi mchongo baada ya hapo majibu ya Young-Africans ni uwanjani, kunabaadhi ya wachambuzi wamekuwa wa baridi mno na wanafahamika