Тёмный

#live 

Carrymastory
Подписаться 482 тыс.
Просмотров 4,8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@onekisstv8412
@onekisstv8412 2 часа назад
Carry mastory unafeli kuweka vitu randomly inafanya hata ufatiliaji wa account yako inakua chini weka vitu vyako kwa mpangilio
@yangaMwananchimedia
@yangaMwananchimedia 5 часов назад
Mnao furahishwa na povu za wazee wa kibwela gonga like mpaka yafe mwaka huu😂😂😂
@osumsafi2095
@osumsafi2095 5 часов назад
Mpaka msemeeeeee makolo
@tanzanitetv
@tanzanitetv 6 часов назад
Simba mmesahau kuwa mnauza Madawa ya kulevya na kocha wenu msaidizi yuko mahabusu hadi leo
@AshaAlliy
@AshaAlliy 5 часов назад
Amna Akili Nyote
@PaulinaJoseph-q3k
@PaulinaJoseph-q3k 5 часов назад
Mnakata kata maneno wekeni yote Ili wajue nn wanakosea wanereta maneno machafu kweny serikal yetu hawa kenge blue
@stanastana3199
@stanastana3199 3 часа назад
Wazee wanepanik sio,yanga bingwa
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 6 часов назад
Kolo zee 😂😂😂😂
@FrancoBeda
@FrancoBeda 8 часов назад
Mimi kusema ukweli ni simba damu lkn kwa upande wa mamuzi ya marefa ni kawaida ata ulaya tunaona kuna siku unafaidika wewe kuna siku anafaidika mwingine japo kuna VAR mimi kinachoniuma katika mpira wetu wa tanzania ni TFF kuacha GSM kuzamini timu 8 katika ligi kuu huu ni utoto sana lazima upangaji wa matokeo utakuwepo tu kwanini TFF mnakubali hichi kitu
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 часов назад
Ww sio Simba kilaza uto Simba hawana viraza wasio jierewa
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 6 часов назад
Kwa hiyo wewe unawafundisha hawa wazee kwamba wanachoongea hawakijui au siyo... Sasa nyinyi endeleeni na kucheza na hisia za watu... Mtaona mwisho wake
@janejoel2465
@janejoel2465 6 часов назад
Sasa kumbe mliona wanatoa hela mlinyamaza, mli subili mechi ichezwe , badala ya kushtaki, 😅😅😅😅😅 hapo nimecheka
@MasoudMganga
@MasoudMganga 5 часов назад
Wewe franco muongo nakujua harafu wewe ni shoga
@MasoudMganga
@MasoudMganga 4 часа назад
@@janejoel2465 kuchekakwenyewe unaweza ukucheka unajamba
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 4 часа назад
Yanga ina nguvu zaidi ya nyuklia
@YugoAlly
@YugoAlly 6 часов назад
Kaongea point
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 3 часа назад
Chakushangaza yanga ikifungwa huwa hailaumu mtu Ila inajilaumu wenyewe .samahani wazee mkubali matokeo GSM nimfabiashara achaneni naye
@allynasri7544
@allynasri7544 7 часов назад
Mzee namkubali anaongea point
@samwesupa6906
@samwesupa6906 5 часов назад
Umelewa ww
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 8 часов назад
Mkiitwa takukuru mnaweza kuthibitisha hayo ya kutuhumu mawaziri ?
@BenedctSangoda
@BenedctSangoda 4 часа назад
Nyie yanga wote kimatuuu sungedere mnajua bahasha
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 4 часа назад
Kuma nyie mazeee hayana akili
@jofreymhagule7505
@jofreymhagule7505 4 часа назад
Awa utopolo yanabebwa sana Simba Sc imekua timu yatima apa Tz kumbe mpaka viongozi wa serikali waingia kuihujumu Simba duuuh!!!
@AshaAlliy
@AshaAlliy 5 часов назад
Mzee.unautubia Injil
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 4 часа назад
Ulivyokua unachukua ubingwa mara Nne hamkuandamana mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu uchungu
@chemstry409
@chemstry409 8 часов назад
Mlipowafunga Azam hamjaja na kuitisha Press na Azam walinyamaza maana ndio mpira lakini lakini mmefungwa mnaanza kuchongoa midomo,...MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU UNAUMA....😂😂😂
@uzurihalisilukumay2957
@uzurihalisilukumay2957 Час назад
Yanga itaendelea kuwanyanyasa mtasema na bado hamjasema!!!!! mpaka mseme!! 😂😂😂
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 часов назад
Niko nawazee mnaongea madini na mnachosema nikweli huwezi kua bingwa ndani njee ziro na selekali inachangia kuua mpila wabongo sema nimecheka kusikia kanyoko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 4 часа назад
Njaa mbaya tengenezeni timu acheni mdogo timu mbovu
@anuarymzee9898
@anuarymzee9898 9 часов назад
Gsm kawakosea Nini
@BrunoKaimukilwa
@BrunoKaimukilwa 7 часов назад
Makongoro yup ww mzee acha ushamba mjinga wew
@PaulinaJoseph-q3k
@PaulinaJoseph-q3k 4 часа назад
Mngeeandika na namba za hao wazee Ili tiwapigie manake hakuna mweny hakili hata m1 hapo alafu utackia alifika kwake anajiita kichwa Cha familia
@jumabaranyikwa1833
@jumabaranyikwa1833 8 часов назад
Mawaziri wametumwa na boss wao
@eliaszephania3115
@eliaszephania3115 6 часов назад
Bado amjasema mpaka msemeeeeeeee
@AnthonySafari-rv5wf
@AnthonySafari-rv5wf 7 часов назад
Nakula hatupigi wakapige yanga
@BrunoKaimukilwa
@BrunoKaimukilwa 6 часов назад
Unaushahid huo
@alexndihokubwayo8010
@alexndihokubwayo8010 7 часов назад
Mutakufana na presss
@linuslusian-d5w
@linuslusian-d5w 9 часов назад
leo kafungwa simba yameuma hee kumbukeni 2020 wazee
@YugoAlly
@YugoAlly 6 часов назад
Akuna kitu kama hicho GSM kudhamini timu nane haipo
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ 8 часов назад
Mnakataje kataje habari kama darasa la kwanza banah wekeni habari kama ilivyo mtu kama hana bando la kuingalia yote aiache.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 часов назад
Hata kanyoko sawa tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila kanyoko katuweza kabisa😂😂😂
@venancemalima1181
@venancemalima1181 7 часов назад
Hamjawa na kikosi cxha kuahindana na Yanga kwa kikosi hiki cha Simba dhidi ya Yanga zaidi ya kupunguza magoli.
@LoxJuma-r8u
@LoxJuma-r8u 8 часов назад
Mmekata kata kwanini tunaoumia niwanasimba Mpira uchezwe adhalani asibebwe MTU yyte
@jumabaranyikwa1833
@jumabaranyikwa1833 8 часов назад
Aliyetoa Ndege ndio kawatuma
@onekisstv8412
@onekisstv8412 2 часа назад
Acheni mambo ya ajabu wazee azamu akijitoa kwenye ligi kisa mambo yenu ya hovyo mtafanya ligi hii ishuke
@BrunoKaimukilwa
@BrunoKaimukilwa 6 часов назад
Manara haj nakuamin hebu jibu hawa wazee haraka
@AnthonySafari-rv5wf
@AnthonySafari-rv5wf 7 часов назад
Kura wakapige yanga na kayoko
@gwakisagedion457
@gwakisagedion457 6 часов назад
Wazee wana hoja za msingi sio za kupuuzwa kuwa makini kuwasikiliza kuliko kutumia,zaidi hisia zenu baadhi ya wachambuzi katika kujadili
@onekisstv8412
@onekisstv8412 2 часа назад
Hawa wazee wakipelekwa maakamani watajua hawajui
@chemstry409
@chemstry409 8 часов назад
Hawa Wanaojiita Wazee, Serikali itashangaza sana sana kama hawa wasipo chukuliwa na kuhojiwa na ikiwezekana hatua kali zichukuliwe na maneno wanayotoa ni ya kichochozi na uvunjifu wa Amani, Mpira ni Furaha,Upendo...Yanga na Simba ni watani wa Jadi msitake kutuletea Uvunjifu wa Amani....
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 7 часов назад
Sjawahi skia wazee wa Madrid wala Barcelona, tz ni nchi yakishamba sana
@YugoAlly
@YugoAlly 6 часов назад
Wazee wameongea kwel hawa sio wajinga kaka yanga mmezoea kubebwa tuu hakuna timu ndimana ata ranking ya caf simba anaongoza haiwezekani mtu adhamini timu nane hakuna hyo kitu
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 6 часов назад
We unadhani ni masihara eeh... Sasa endeleeni na ujinga wenu nyinyi vyura.. Ila kumbukeni Amani ikipotea kuirudisha ni shida
@nuruosward8161
@nuruosward8161 6 часов назад
Nyoko zako unaongea nn ww matako iv unajua maaana ya kudhulumiwa huku unaona matokeo mmpewa bure inaumaaa wanasimba tuungane kweli tuwanyooshe wanahujum mpira wa tannzania
@chemstry409
@chemstry409 6 часов назад
@YugoAlly Kaka yangu tuacheni USHABIKI MAANNDAZI NA USIINGIE KWENYE USHABIKI HUO, mkiwa mnashinda huwezi kusikia swala la GSM kudhamini timu laikini ukifungwa tu ndipo swala la udhamini linapoanza huo ni Utoto kaka...
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 6 часов назад
Ongeen siasa msifanye wananchi wanaishi kwa mpira siasa hamuongei wote ni ccm mnalalmika nini
@ramadhanlipendelee3496
@ramadhanlipendelee3496 8 часов назад
Mbkna mnakatakata taarifa
@NOVATISIYAME-t3x
@NOVATISIYAME-t3x 6 часов назад
Akuna dunian kote mzamini mumoja akazamini vilabu Zaidi akuna akuna popote dunian
@ibnmoses979
@ibnmoses979 8 часов назад
Mmekata kata clip Hata mkikata ujumbe utafika tu
@onekisstv8412
@onekisstv8412 2 часа назад
Hawa wazee wametoka wapi mbna wamepauka 😂😂😂😂
@NOVATISIYAME-t3x
@NOVATISIYAME-t3x 6 часов назад
Utopolo wanaalibu Amani ya nchi yetu kama viongozi mnaona nikawaida izoo kula mtapiga utooo pekee yenuu
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 6 часов назад
Kufungwa mech moja tyu tayal mmeanza kulalama
@daughterofthemoon680
@daughterofthemoon680 7 часов назад
Hawa wazee wa simba wanahitaji wazee wa kuwashauri
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 9 часов назад
Hujielewi
@issapagali1330
@issapagali1330 8 часов назад
BADO HAMJASEMA NG'OMBE NYIE.😮
@ezekiamaluma6091
@ezekiamaluma6091 7 часов назад
Hivi ile pen dhidi ya Dodoma ilikua hàlali kweli?
@mycotv2020
@mycotv2020 7 часов назад
Hii video ume-upload vibaya mkuu
@phabianmagesa1039
@phabianmagesa1039 8 часов назад
Mlipoifunga azamu magoli hamkusema kitu wala azamu hawakulalamika mkakaa kimya leo mfungwe nyie muanze malalamiko mikia
@fj8317
@fj8317 5 часов назад
Kwani wewe Azam tulia
@mcmwasha9668
@mcmwasha9668 5 часов назад
Nyie mnapopewa magoli ya mchongo mbona huwa hamlalamiki??? 😂😂😂
@BrunoKaimukilwa
@BrunoKaimukilwa 7 часов назад
Jinga ww
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 6 часов назад
Timu ya tisa ni simba, nyie pia ni tawi la Yanga? Mtafungwa tena mara sita.
@treyvissy9854
@treyvissy9854 9 часов назад
Kwann kipande cha azam mmekitoa kiwekeni ili washitakiwe maboya hawa😂
@gwakisagedion457
@gwakisagedion457 6 часов назад
Wazee wasipuuzwe. Uchunguzi wa kina ufanyike katika baadhi ya hoja na tuhuma zilizotolewa kuliko kuwaona kama wanaongea pumba
@treyvissy9854
@treyvissy9854 9 часов назад
Jitoeni tu 😂 mkapigane na ngumi zenu😂
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 6 часов назад
Pumba nyie, salungi hammukumbiki?
@piuslugata4931
@piuslugata4931 5 часов назад
Ponti zuli sana
@nurdinngalo-hj1ow
@nurdinngalo-hj1ow 6 часов назад
Kwo ushahidi upo nendeni mahakamani shenzi.nyie afu sio kanyoko ni kayoko kanyoko ni wewe fara ww
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t 7 часов назад
Gsm kama anadhamin team 8, mwambien Mo nae adhamin hizo 8 zilizobaki kama hizo hela anazo Tz ina club 16
@BrayanKavishe
@BrayanKavishe 7 часов назад
Acha ujinga ww
@YugoAlly
@YugoAlly 6 часов назад
Wewe mpumbavu boss mmoja awezi kumiliki timu nane
@BrayanKavishe
@BrayanKavishe 6 часов назад
@@LutenganoCharles-d7t mpumbavu mwenyewe,, GSM anazamini timu ngap
@anuarymzee9898
@anuarymzee9898 9 часов назад
😂😂😂😂 ww mzee kubuka Yanga ni taaaasisi sio club ya Mchangani ndio mana ina Raisi na Makamo wa Raisi
Далее
DIY Pump Solutions
00:18
Просмотров 1,1 млн