Тёмный

Liwalo na liwe by Mathias A. Mwanyamaki 

MATHIAS MWANYAMAKI
Подписаться 1,6 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Mathias Mwanyamaki ni mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amekuja kwa style ya aina yake. Watu wengi wamevutiwa na huduma yake mikoani na nchi za nje kama vile Kenya ambako ameenda mara kwa mara kwa huduma hii, yuko tayari kwa mialiko mbalimbali ya kiungu. Waweza wasiliana naye kwa simu +255 767 910 912

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@barnaba3172
@barnaba3172 6 месяцев назад
Unanikoshaga Sana nahuu wimbo God bless my brother from kiromo bagamoyo makedonia church🔥
@lencerakinyi9170
@lencerakinyi9170 Год назад
Yes Busia Kenya tunasema ubarikiwe tunaingia yes,,FAITH IN CHRIST MINISTRY..MORE THAN CONQUERORS BUSIA KENYA...Mbinguni ni kwetu lazima niingiie
@MjapaneseKaseke
@MjapaneseKaseke 4 месяца назад
Tunataka kazi kama izi ndugu mungu akubaliki❤🎉
@GloryHappy-l9m
@GloryHappy-l9m 10 месяцев назад
Nabarikiw sn kaka ningependa hz baraka zitufikie na sisi❤
@veromagesa6561
@veromagesa6561 11 месяцев назад
Waooh very powerful and educative
@macriss2857
@macriss2857 Год назад
Mungu akubariki mtumishi
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 4 года назад
Hallelujah!! Amen!
@fadhilikaminyoge9625
@fadhilikaminyoge9625 2 года назад
Safi sana Rafiki yangu.
@samuelludamila1883
@samuelludamila1883 3 года назад
Kazi iendeleeee
@catherinembughi3379
@catherinembughi3379 4 года назад
Waoooo
@joelshokolo1384
@joelshokolo1384 4 года назад
Shwahiba naomba nafasi ya kushiriki nawewe kwenye nyimbo zangu nikushirikishe kamanda rafiki yangu wa kila day.
@mathiasmwanyamaki980
@mathiasmwanyamaki980 2 года назад
Karibu sana 0767910912
@emgotailoring
@emgotailoring 4 года назад
Hongera sa kaka hii video nzuri sana.
@mathiasmwanyamaki980
@mathiasmwanyamaki980 2 года назад
Asante boss
@yusterminga7448
@yusterminga7448 5 лет назад
barikiwa sana mtumishi, kazi yako nzuri. unanikumbusha TAG Lango la Baraka nilipousikiliza kwa mara ya kwanza.
@edsonhope9765
@edsonhope9765 5 лет назад
Niliitafuta sana hii daah Ubarikiwe
@pilidamiani2747
@pilidamiani2747 5 лет назад
Inafudisha sana mtumishi liwalo na liwe mbinguni lazima niingie
@neemajosephatneemajosephat32
@neemajosephatneemajosephat32 5 лет назад
Aminaaa Sanaaa
@GloryHappy-l9m
@GloryHappy-l9m Год назад
Waooooo❤
@danielmassanja8867
@danielmassanja8867 5 лет назад
Hahahahahahaah hahahahahahaah Kaka umeniacha hoi kwa cheko hahaha ii script ni balaaa Mungu akubariki inafundisha
@HOPEMEDIATZ
@HOPEMEDIATZ 5 лет назад
Nyimbo nzuri sna hii
@mathiasmwanyamaki980
@mathiasmwanyamaki980 4 года назад
Barikiwa
@stellamwesiga8432
@stellamwesiga8432 5 лет назад
Vedio imependeza
@stellamwesiga8432
@stellamwesiga8432 5 лет назад
Mungu azidi kukutumia mtumishi. Unanibariki sana
@pastordaudimwanisenga715
@pastordaudimwanisenga715 5 лет назад
Haya kaka mwanyamaki
@daudchilengaofficial4692
@daudchilengaofficial4692 5 лет назад
Kweli kaka hapa ni kusonga mbele
@bonifacefrancis51
@bonifacefrancis51 5 лет назад
Mbingunirazima niingie
@mathiasmwanyamaki980
@mathiasmwanyamaki980 2 года назад
Kabisaaq
@christophersukari5915
@christophersukari5915 5 лет назад
Liwalo na liwe mbinguni lazima niingiee👍🙏💋💋
@alenmwandila8596
@alenmwandila8596 5 лет назад
NC
@mathiasmwanyamaki980
@mathiasmwanyamaki980 4 года назад
Asante
@berthakoshuma8002
@berthakoshuma8002 4 года назад
@@mathiasmwanyamaki980 upo poa sana na vizuri
Далее
Mathias Mwanyamaki - Mzee wa Siku (Official Video).
9:09
Wainaina wa kiandege kuga andu matigane na Samidoh
16:37
Mathias Mwanyamaki - Shikamoo Yesu (Oficial Video)
7:34
Treni mbovu   Mathias Mwanyamaki
7:13
Просмотров 10 тыс.