Тёмный

LOCAL CAGE ya Mbao KIBAHA Banda la kisasa KUKU 3000 (JENGA KWA GARAMA NAFUU KWA TUMIA SLIDE EGG) 

Charity Farm
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 1,1 тыс.
50% 1

Kalibu Charity Farm, Leo tumewaletea video inayoonyesha ni kwanamna gani unaweza kujenga Banda Bora na lakisasa kwa garama nafuu zaidi, na Banda hili linajengwa hatua kwa hatua. Fuga kisasa iwezekupata kipato kikukwa katika ufugaji wakuku kwa kutumia slide eggs, okota mayai kwa urafisi bila kuchafuka #layer #vifaranga #banda #kuku #mayai#cage #fursa #ufugaji #fursa #biashara

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 10 месяцев назад
Nimependa banda zuri sana,
@charityfarm1226
@charityfarm1226 10 месяцев назад
Pia ni Banda Bora sana, unaweza kuangalia design tofauti tofauti kwenye video zetu nyingine
@taifaali7418
@taifaali7418 10 месяцев назад
Mfano niko zanzibar nikihitaji fundi kutoka huko kuja huku kwa ajili ya kujenga lakini material's nikatowa mwenyewe .vipi inawezekana?
@charityfarm1226
@charityfarm1226 10 месяцев назад
Pia tunafanya hivyo, ukiwasiliana na sisi tutakupa mchanganuo wa garama zote, then utanujua vitu tukujengee kulingana na uhitaji wako
Далее
KILIMO:-MBINU NA FAIDA ZA UFUGAJI WA KUKU
20:10
Просмотров 38 тыс.
SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
24:48
Просмотров 188 тыс.
GADDAFI AWADH - MFUGAJI SAMAKI
10:31
Просмотров 81 тыс.
BANDA BORA LA KUKU 1500 KEREGE BAGAMOYO
8:54
Просмотров 47 тыс.
MAMBO YA KUZINGATIA  KWENYE UJENZI WA BANDA LA KUKU
14:51