1.It's not what you think 2.He/She was just a friend 3.Babe you don't trust me 4.My friend was using my phone 5.Babe let me explain All these ☝️ excuses shld be considered as a cult
I used to think that the worst thing in life was to end up all alone. It’s not. The worst thing in life is ending up with people who make you feel all alone."
Nowadays, BMS, have alot of COURAGE 👍👍,,, Mostly ata siku hizi hakuna mambo ya 12k... Ujue tunakumulika sana, tangu yule dame wa Australia atume 50k, umebadilika sana...
Miaka mbili mnalala pamoja mnakulana Kama Bibi na bwana na ati hamjaona 🤔🤔🤔hii ndio nini kama sio umalaya,, anybody analala na mwanamme na mwanamke na hawajaoana wawachane katika jina la Yesu,Kila mtu arudi kwa mme na mke wake
😂😂ati wanaume wananitaka wengi..women kindly know tunataka kukula tu na urudi kwa bwanako.usitoke kwako ati watu wanakutaka ju ukiachwa na mzee tunahepa pia
It's not what u think,I can explain,just a friend Tu,.....wueh it's time "we" start " just a fuck mate,hatujakulana sana,etc.......kubali makosa 😂😂😂😂😂😂
When BMS meets two players🤣😂🤣😂🤣😂! I enjoyed this one. Two children joking with fire. The maturity in BMS is on another level. "endeni tuu nyinyi wote mko soko" ....
BMS: Unapenda huyu ama Frank? Dem: Napenda huyu. BMS: But unalala na Frank? Wewe unapenda huyu ama Liz Boy: Napenda huyu. BMS : But unalala na Liz 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
No wonder ni 90's Babies.... Wanapeana tu kaswende 😢😢😢 hata hawajui kitu inaitwa protection na mzazi ushago anajichocha vile mtoi ako campus hajazaa kama rika yake ya ushago 😂
waah na venye they look innocent,but nlishuku something wakati waliambiwa they should speak to each other,they were really struggling to find words especially the boy child,saa zingine unayempenda hakupendi said otile
Is it that hard to find someone whom you love unconditionally n the love is reciptocsted, hakuna pure love yaani hii Kenya, lazima mmoja arundishwe soko