Ni moja ya waimbaj wa kisukuma nawaelewa Sana wanawakilsha tamadun yetu kuanzia kwenye muonekano yaan uvaaji Hawa wengne wanaotuvalia sulual zilizochanika magotin sjui tuwaweke wap au ndo kusema tumeimprove but tuko pamoja sana.viva LWENGE STUDIO🖐️🖐️🖐️tuendelee kujikinga na korona 😷😷😷