Тёмный

Lukamba: Nimebeba CHUKI Nyingi sana za Diamond, 'Tupunguze Roho Mbaya' Mmwagie mtu Maua yake! Part 1 

LilOmmyTV
Подписаться 545 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Lukamba aongelea Mahusiano yake, Uigizaji, Kufanya kazi na Diamond Platnumz na Kuingia kwenye Muziki. Pia afunguka kulelewa na wadada!
Tazama full interview ya Lukamba Part 1 hapa, Subscribe, Like, Comment & Share!
Jipime Virusi vya UKIMWI kujua Afya yako, Jali Afya, Tumia Kinga kwenye mechi zako, walinde uwapendao! Acha makando kando! Sitetereki

Развлечения

Опубликовано:

 

30 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@kimah9855
@kimah9855 20 дней назад
Lukamba ni noma😂😂😂😂Nakubali ❤from europe
@joesplatnumz
@joesplatnumz 21 день назад
Lukamba kinachokuponza..mdomoooo
@fadhiliisaacruchogeza
@fadhiliisaacruchogeza 20 дней назад
Uyu jamah anavutanga nini 😅
@suleydamour4059
@suleydamour4059 21 день назад
Niseme ukweli, mimi ni shabiki wa konde.lakini kama angefeli alivyotoka kwa diamond.mimi ningemshauli aludi aombe kulejea wcb...Sasa huyu jamaa asilaumu sana kama vipi aluminum
@zidaneibrahimbizimana814
@zidaneibrahimbizimana814 19 дней назад
Lukawiseeeeee😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
@cdeleo9336
@cdeleo9336 9 дней назад
Tatizo una mdomo sana ndomaana unashindwa kukaa na watu vizuri
@toneboytz6655
@toneboytz6655 21 день назад
Nakubal lukamba 😂😊
@AlexApronary
@AlexApronary 21 день назад
Choko uyu mtoto
@AlexMumoMalonza
@AlexMumoMalonza 22 дня назад
Kizazi sana!
@MonarqueMso-YaJr370
@MonarqueMso-YaJr370 17 дней назад
Kitoko yaya
@tumishogodfrey7899
@tumishogodfrey7899 21 день назад
One day I will understand Swahili. Getting there
@The_Hu.
@The_Hu. 19 дней назад
kaveve kazoze😂
@AlexApronary
@AlexApronary 21 день назад
🎉
@joesplatnumz
@joesplatnumz 21 день назад
Unalewa siiiifa kweli na bado uko underground...hujakua kwa trend tu hapa tz je nje?
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 19 дней назад
🎉😊
@jackloxley2865
@jackloxley2865 21 день назад
😂😂 huyu jamaa Hadi chiz anacheza mziki wake
@malkavoice2570
@malkavoice2570 21 день назад
Lkn Lukamba anajikweza sana sijui anafelishwa na kitu gani,ujue ukishapitia wcb ukaondoka huna kipingamizi cha kutoboa bali nafsi yako ikikunja unajikunjia mwenyewe. Fanya kazi kama Chui nenda bila nongwa unaenda,mmakonde kafeli 7bu yake yeye na ww ndio unakoelekea hebu kataa hizo mingo bro
@fahmyisco2912
@fahmyisco2912 21 день назад
Mmakonde gn alofeli mtaani kwenu au
@malkavoice2570
@malkavoice2570 21 день назад
@@fahmyisco2912 hata kwenu kama huamini muulize yeye
@machimc-uu4oq
@machimc-uu4oq 21 день назад
Alokutowa nani kama sio mondi sawa ulianza music mda ulifika wapi nauvo enda wcb ukafika wapi achamambo mbaya dingii wanyamwezi atupoivo mani
@hakimdaudi5262
@hakimdaudi5262 20 дней назад
We bangi
@cdeleo9336
@cdeleo9336 9 дней назад
Umeandika nini? 🤣🤣🤣
@djjackdjjack5055
@djjackdjjack5055 21 день назад
Lukawisee
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 11 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@Chibuwest606
@Chibuwest606 20 дней назад
Yaani aliachana na his dreams juu ya ex
@simbamnyama2589
@simbamnyama2589 21 день назад
Huyu kalewa huyu
@LatifaHashim-rn1ip
@LatifaHashim-rn1ip 20 дней назад
Acheni kuipa hate airtime. You glamorize it alot. Focus on positive topics it’s more respectful for the artist. Rihanna haulizwagi what you think about hater flani….! (It’s irrelevant)
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 19 дней назад
😂shida mwana unamasifu ya kijinga
Далее
Камень, ножницы, нейронка
00:33
Просмотров 540 тыс.
🤔
00:28
Просмотров 709 тыс.
Baba Lao Behind The Scene Part 1
26:30
Просмотров 879 тыс.