NOTHING COULD APPEAR ON MY WAY IF YOU DON'T DECIDE AND LET IT HAPPENS @NAYE AKAMWAMBIA,KAMA NIMEPATA KIBALI MBELE YA MACHO YAKO, BASI NIONYESHE ISHARA,YAKUWA WEWE NDIYE UNAYESEMA NAMI.waamuzi 6:17
Habari za uzima wateule wa Mungu Kama yasemavyo maandiko kwamba tazama ilivyo vyema nakupendeza ndugu kukaa pamoja kwa umoja na kushirikiana kwapamoja. nami Nachukuwe fursa iyi kutoa shukrani zangu zadhati kwa ushirikiano wenu mkubwa juu ya kazi ya Mungu. Baba Mungu tumtumikiaye awabariki sana zaidi.lakini pia naamini kuhusu NEXT, yeye alie tufanya kuwa vipaza sauti vyake ,basi atahagiza roho wake mtakatifu kuleta ujumbe kwangu iliniupaze kama apendavyo.AMEN
Kitu ambacho uwezi tegemea bubu. Kutoa sauti. Na kuli taja jina la MUNG. KWA SAUTI NA KUSEMA. HASANT EEEEEH. IMETIA UTUKUFU NA MAMLAKA. YA MUNGU KUJULIKAN. KWA MATAIFA.