ALLAH awaziduwe wapite ktk njia ilio sahii .shukrain sn shekh wetu kwa kutufuza ALLAH atulinde kwa sote ss na vizazi vetu kwa ujumla ALLAH azidi kukupa afya njema sheikh wetu
Mashāallah mashāallah Tabarakallah 🙏🙏🙏 kipenzi chetu Sheikh Nurdin Kishki ❤️❤️❤️ twakupenda Sana🥰🥰🥰 Allah akuongezee heri na baraka na umri ulio mrefu Jamani🙏 Very Crucial Lecture there, for today's world.