Тёмный

MAAJAABU YA ANKO IDDY ALIO FANYA SOYA KWENYE KHARUSI YA SHEM WANGU MAHZOUM 

SAMIU MUSSA TV
Подписаться 2,7 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@harrishussein6992
@harrishussein6992 Год назад
Huyu jamaa ni namba one kwa sasa haipingiki Allah ampe kila lakheri lakin sasa mnaorecord mnafeli sana kelele zenu zinaharibu
@FirdausiSuleimani
@FirdausiSuleimani 11 месяцев назад
Mashalhaaa ❤❤❤ mwenyezimungu ampe umri mrefu nawenye manufaa zaidiii
@mohammedchuo4069
@mohammedchuo4069 2 года назад
Uyu ndo Tanzania one kweny kusoma qur_an han mamb meng mwenyew mashaallah Allah amlipe kheri 🙏
@rashid966
@rashid966 Год назад
Huyo sheikh idinamkubalisana ila TANZANIA one tumwachie Rajai inshaallah Allah awajaze subira
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Год назад
Mashaallah
@amadouba8090
@amadouba8090 Год назад
Machahla ya Habibi cheikh eidi shaban ❤
@asharamdan363
@asharamdan363 Год назад
mashallaaah ❤ mashallaaah ❤ ❤
@MussaFakua
@MussaFakua 4 месяца назад
Allah akulinde na kila baya Anko iddy Shaban
@samiumussatv8558
@samiumussatv8558 Год назад
Nawashuru sana kwa ushauri wenu mzuri allaah atawalipa tutaunyia kazi Ushauri wenu inshaa llaah
@NizarymahmudyMohamedy
@NizarymahmudyMohamedy 11 месяцев назад
Hayo maneno yalosomwa ni mazito alafu nashangaa waislaumu wala hayatugusi zaidi tunaishia kuzomea yaani ningekua nauwezo ningeifuta hii ila ndo hivo wallahi nimekerwa sana nahili ila allah namuomba awasemehe inshaallah
@AdamuMpoto-dl5dg
@AdamuMpoto-dl5dg 2 месяца назад
MashaAllah
@NajbuLupapulo
@NajbuLupapulo 8 месяцев назад
Mashallah kazi kubwa
@fadhiliosuta1719
@fadhiliosuta1719 8 месяцев назад
Mashallah
@SadamuSadamu-tq6rf
@SadamuSadamu-tq6rf 4 месяца назад
Mungu akubark
@saidjuma3129
@saidjuma3129 2 года назад
Mnashabikia nini nakilele.mbona mnakuwa kama hamjielewi
@leilasaid3623
@leilasaid3623 Год назад
Mashaallah lkn mnatakiwa msipige kelele sikilizen tyu huku mkiwa kimya qur an haizomewi kiivo haifai
@abdallahmaboma469
@abdallahmaboma469 Год назад
Asalaam alaykim msomaji namkubali lakini kumbe wssikilizaji hatupo mana ukiwaskiliza ni kama inasomwa atwir utulivu haupo kamahuyo mwenye kiremba cha kijani meno inje muda wote
@zaujiaiddy8647
@zaujiaiddy8647 Год назад
Mashaalah
@kheirahmad4064
@kheirahmad4064 Год назад
Kuna madhambi mengi hutokea kwa kufanya Istihizai pind Qur'an ikisomwa. Hakukua na maana ya kua na vicheko vya kishaitwani na maik kutumika mbili. Kama unahtaj kusoma ungelisubr amalize kusoma naww usome. Kisomo kimependeza ila wasikilizaji wamekijaza makosa chungu mzima.
@altaafkassu2171
@altaafkassu2171 Год назад
وَإِذَا قُرِئَ ٱلْقُرْءَانُ فَٱسْتَمِعُوا۟ لَهُۥ وَأَنصِتُوا۟ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ Na pindi isomwapo Qur'ani basi isikilizeni na mnyamaze kimya ili mpate kurehemewa.
@amirimkonda5270
@amirimkonda5270 Год назад
صدقت
@amani1316
@amani1316 2 года назад
Mashallh
@rashidabuu9406
@rashidabuu9406 Год назад
Hamna adabu na quran kuna haja gani kupiga kelele siku ingine msifanye hivyo
@ismailnasibu49
@ismailnasibu49 Год назад
Mnapiga kelele tu qur an inasomwa intakiwa muwe na utulivu na sikivu.. Muwe na nidham na maneno ya Allah
@mohammedchuo4069
@mohammedchuo4069 2 года назад
Na nyie mnao record mkae mbali na cm mnaharibu record kwa madadi yenu
@rashidikanyama2357
@rashidikanyama2357 Год назад
Yani mimi wamenikera ila inshaallah watafahamu kwamba si vizuri
@SalimChoyo-zo8cr
@SalimChoyo-zo8cr Год назад
Huyo bwana harus mbn Hana haya anajichekea tu kama mwehu
@IssaJuma-jj6jx
@IssaJuma-jj6jx Год назад
hhhhhhhh😂😂😂😂😂
@NizarymahmudyMohamedy
@NizarymahmudyMohamedy 11 месяцев назад
Warangi bhana huwa mnafanya quran kama maneno yakawaida tu inaposomwa huwa mnapiga makelele tu kama machizi heshima na maneno ya Allah wala khofu hamna
@stumay-wx9rp
@stumay-wx9rp Год назад
Subuhannah llah quran inasomwa lakini mtu anacheka stafiru llah mtihan walah
@salimhamad4363
@salimhamad4363 5 месяцев назад
kwanza kamvisheni nguo biharusi
@AbdulrahmIbrahim-y5g
@AbdulrahmIbrahim-y5g 8 месяцев назад
Allah anasema inaposomwa qur,ani iskizeni na nyamazeni ili mrehemiwe sasa hapo kuna kurehemiwa ??? Anko iddi Allah amekujaalia isome kabisa Quran hiyo inshaallah atakulipa Allah
@IssaJuma-jj6jx
@IssaJuma-jj6jx Год назад
mnapiga makelel to qran inasomwa
@leilasaid3623
@leilasaid3623 6 месяцев назад
Makosa yanajitokeza wakati qur ani inasomwa kucheka kuogea haikatiwi sauti yeyeto mpk mwisho wa quruan watu wanacheka ni sawa na kuzomea maneno ya allah kaani kimya mpk.akimaliza halfu tumone maneno ya kumpogrza msomaji
@rashidikanyama2357
@rashidikanyama2357 Год назад
Kwa iyo watu wengine wakiambiwa quran ikisomwa tunyamaze ndio hawaelewi au makusudi
@allyhassan8357
@allyhassan8357 Год назад
Acheni kelele hambadiliki kwann
@salimmbega7916
@salimmbega7916 11 месяцев назад
Yan Hawa watu wanopiga makelele niwaislam kweli mbona washamba hii nikuran tukufu inasomwa tuwe watulivu sio tarabu wanamshushia hadh shekh wetu,huyu nispashel dunian waislam tubadilike
@leilasaid3623
@leilasaid3623 Год назад
Mashaallah
@rashid966
@rashid966 Год назад
Mashallah
@sarhahassan8846
@sarhahassan8846 2 года назад
Mashaallah
Далее
GONE.Fludd, ЛСП - Ути-Пути (official video)
03:37
Распаковка Monster High Potions #monsterhigh
01:00
Anko Idi Aonyesha ufundi mkubwa
16:45
Просмотров 11 тыс.
GONE.Fludd, ЛСП - Ути-Пути (official video)
03:37