Тёмный

MAAJABU MAZITO MAKABURI KATIKATI YA BAHARI/MASHARIFU WOTE WAWILI/MAOMBI YANAFANYIKA HAPO 

Thinkers TV Online
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 105 тыс.
50% 1

#THINKERSTV
#RIPOTIZAKITAA

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 168   
@alhabibsudi7997
@alhabibsudi7997 5 месяцев назад
Subhana Allah M Mungu atuepushe na mitihani hii ya shirki huyo mzee kwa milo nae karibu hebu mpeni dawa Kabla umauti haujamkuta
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Kasome dini kwanza
@alhabibsudi7997
@alhabibsudi7997 2 месяца назад
Mnafiki wewe
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
​@@alhabibsudi7997 mnafiki baba ako na mama ako wasiokufundisha adabu
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 23 дня назад
Ndumi huko tumeshakula sana mapera huko enzi za utoto wetu murch love from Germany 🇩🇪
@maninisamwel8657
@maninisamwel8657 Год назад
😢😢😢 waomba wafu wakuomba ni Allah pekee
@hamadalikhamis
@hamadalikhamis 18 дней назад
Mzee wangu achakuwapotosha waislaam na kuwaingiza kwenye shirki wakumuomba ni mmoja tu simwengine ni Allah pekeee achauchawi eji imeenda tubu kabla yaumauti kukufikia
@takrimumakame2271
@takrimumakame2271 19 дней назад
Historia nzuri ya afrika, ila viumbe wa Karne hii tujiepushe na shirki hii ya kuomba kwa asiyekua Allah
@aishahashim.5079
@aishahashim.5079 2 года назад
Hao huenda walikuwa kweli ni watu wema isipokuwa waliofuata baada yao ndio waliozama katika shirki kinyume na Mapenzi yao
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 8 месяцев назад
Hapana aliezamishwa ila ndipo ulipokua mji Bahari inatabia ya kujisogeza. Kinachiniudhi ni watu kwenda kufanya ushirikina.
@zeyanakharoub
@zeyanakharoub Месяц назад
Hao ni waja wema Ila hao watu wanafanya shirki
@sihamjamal2234
@sihamjamal2234 Год назад
SubhanaAllah Astagafirullah watu wamepoteya yarabby tuongoze umaa wako
@rukiafaraj1400
@rukiafaraj1400 2 года назад
Hao waliomo makaburini wanahitaji dua ya waliohai! SubhanaAllah waliohai wanawaomba wafu!
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 дней назад
Du imani hizo zinapoteza watu,neno linasema baada ya kifo ni hukumu, Mungu anasikia maombi ya mtu aliye hai siyo alikuyekufa.mwanadamu unatakiwa kutengeneza njia zako ukiwa hai na usitegemee kwamba kuna huruma ya Mungu baada ya wewe kufa kwamba utaombewa.Mafundisho ya mtume wenu Muhammad yamekuja kuwapoteza watu wa Mungu kwamba unaweza kumuombea muovu aliyekufa na Mungu akasikia jambo ambalo siyo kweli
@issaomari7244
@issaomari7244 3 года назад
Subhanallah allah awaongoze huo niushirikina allah awaongoze
@amanafi1288
@amanafi1288 Год назад
Nawe Sheh Issa yako ni siri yako
@mamyh5738
@mamyh5738 4 года назад
Subhanallah hii ni shirki ya hali ya juu Allah atustiri na shurki
@muhaajiryhassan4325
@muhaajiryhassan4325 3 года назад
allah awasamehe woote wanaokwenda kuomba na awaongoze hawajui watendalo
@saidhamad6065
@saidhamad6065 Год назад
Dunia mataau,kwa Allah atupe husni njema
@josephinekicheleri860
@josephinekicheleri860 16 дней назад
Najivunia kuwa MKRISTU.YESU KRISTU PEKEE NI NJIA YA UZIMA WA MILELE.YESU KRISTU UKIMFUATA UTAPATA UZIMA WA MILELE (PEPONII UTAISHI UTAUNGUA NA MOTO)
@SalmanRazaKhanTz
@SalmanRazaKhanTz 7 месяцев назад
Subhaan'Allah! ❤❤❤
@rahurselektor9850
@rahurselektor9850 Год назад
Shirki akbar mzee Allah akuongoze
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 Год назад
Subuhana Allah WA kuombwa ni Allah pekeake ndio anaetoa kumuomba kiumbe mwezio HAIFAI NA NI USHIRIKIA HUO MUOMBENI ALLAH PEKEE NDIO ANAETOA
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 11 месяцев назад
ALLAHU AKBAR Allah anamlipa Mema Kila mtenda Mema ❤🔥🙏🙏🙏🙏
@nyenyeonlinemedia9543
@nyenyeonlinemedia9543 2 года назад
Mzee alikosea kidogo.c kuwaomba hao masharibu.bali ni kutawassal kupitia hao masharifu.YAANI UNAMUOMBA MUNGU KUPITIA HAO MASHARIFU KWA MAANA WAO WALIKUA WATU WEMA,WALIPOKUA HAI WAKIOMBA MUNGU HUKUBALIWA HARAKA DUA ZAO.INABIDI NASI PIA TUKIWA NA HAJA ZETU TTUMUOMBE MUNGU KUPITIA WAO. HATA UKIKUTA MTOTO WAKO AKIOMBA MUNGU,DUA ZAKE HUKUBALIWA HARAKA.BASI FANYA KUTAWASAL KUPITIA YEYE
@sajumahege4903
@sajumahege4903 2 года назад
Unachanganya haki na batili
@mariamshaban4518
@mariamshaban4518 2 месяца назад
Hata ww umekosea pia unamuombaje allah kupitia maiti?
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
​@@mariamshaban4518 sio ushirikina
@Izonecommunity
@Izonecommunity Год назад
Hii ni shirki iliopindukia, kikubwa wanahitaji daawa kubwa.... Maana kma umesikiliza vzr anasema, wanakuja kuwaomba masharifu kama wanavyomuomba m/mungu... Innalillah wainna ilyhi rajuun....
@nureenshamba8243
@nureenshamba8243 2 года назад
Subhana Allah! Hio ni shirki kubwa mno! "Allahumma Inn wa Min dhuuriat Audhubika minal Mushirikina"
@babyrukia3643
@babyrukia3643 2 года назад
Jamani babu yangu almarhum mzee jangwa Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti
@mishigwan6598
@mishigwan6598 11 месяцев назад
Ameshafariki Huyu Mzee Jamani M'Mungu Amjaalie Pepo Jannat Firdaus Ameen
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 3 месяца назад
kuomba maiti ni haifai ni kumshirikisha ALLAH
@Kimochatv
@Kimochatv 7 месяцев назад
Allah waongoze wasiombe makaburi
@AbassJYahya
@AbassJYahya 4 месяца назад
Sadakta aamin aamin yaa rabbal a'lamin
@Mashkuramuhidini
@Mashkuramuhidini 2 месяца назад
Assalaamu A'laykum warahmatullaahi wabarakatuh wa kuombwa na kuabudiwa ni Allaah Subhaanahu wataa'la na si vingine kwani tofauti na hapo kumshirikisha ALLAAH SUBHAANAHU WATAA'LA. Tunamuomba ALLAAH atujaalie uongofu na mwisho mwema
@manfredykomba8227
@manfredykomba8227 20 дней назад
Adi he e
@paulwambua4956
@paulwambua4956 2 года назад
Waliokufa hawana sehemu katika walio hai... Yesu Kristo Ndiye njia kweli na uzima wa milele
@emmanuelmichael8019
@emmanuelmichael8019 2 года назад
We nae hujui chochote kaa huko
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
@@emmanuelmichael8019 hahaaaa
@user-xm2rm7wn6h
@user-xm2rm7wn6h Месяц назад
Sogea huko sisi tupite
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 дней назад
​@@emmanuelmichael8019Unachobisha ni nini, ukweli wa biblia ndiyo huo baada ya kifo ni hukumu.Unaitwa Emmanuel lakini kumbe hujui lolote nyie ndiyo wakristo wa kufuata mkumbo,tengeneza njia zako ukiwa hai maana hakuna nafasi nyingine baada ya kufa
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Год назад
Subuhanallah mtihani
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 6 месяцев назад
Mungu kwaza kwani dua zote utoka kwa mungu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Inalillah wainailahi rajuun Babu kamabodo hupo Hai rudi kwa Allah Acha shilki nawe jitahidi ufanye mema iliupate mwishomwema
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Hakuna ushirikina someni dini hapo haombwi sharifu anaombwa Mungu
@AsiaKassim-vb5yl
@AsiaKassim-vb5yl 2 месяца назад
Kweli Hao masharifi
@hajjisanga789
@hajjisanga789 11 месяцев назад
Mnaomba dua njema kwao ili allah awape maghfira ila kutawasl sio mbaya lakini watu kutawasl Hawa jui wanachanganja kuomba na kutawasl
@MichaelHakme
@MichaelHakme 19 дней назад
Mulipanyafa kama mizimu utaomba vipi makaburini shetani ndie mnae muomba simungu
@halmahashim2864
@halmahashim2864 Год назад
Subhanallah Allah peke ndio wakuombwa hiyo ni shirki
@annamussa185
@annamussa185 7 месяцев назад
Mungu awahurumie,ila waislamu mnavitu vya ajabu hv mifupa mikavu ndani ya kaburi inaweza kukusaidia nini jamani badilikeni huo ni ujinga mashetani yamewavaa nyinyi
@user-xr5wg3hm6p
@user-xr5wg3hm6p 6 месяцев назад
Ww amn unachkijuwa nyamaza wewe kafili
@annamussa185
@annamussa185 6 месяцев назад
@@user-xr5wg3hm6p wewe na Muhammad wote ni 🐕
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
​@@annamussa185 mbona unatukana
@Kabeya410
@Kabeya410 Месяц назад
​@@annamussa185sasa nyie we mkristo MTUME KAINGIAJE HAPO AU HUJUI MAANA YA KAFIRI NI ANEPINGA UWEPO WA MUNGU MMOJA NA ANAESEMA MUNGU ANA MTOTO HUO NDO UKAFIRI JIANGALIE KAMA UNATUKANA MTUKANE MTU SIYO MTUME MUHAMMAD SWALALAHU ALAYH WASALAAM. ALLAH AKUZINDUE KUTOKA KTK UKAFIRI UMJUE ALLAH NA MTUME WAKE NA MITUME YAKE YOTE. USIDHANI KWA KUMTUKANA MTUME MWISLAM ATAMTUKANA ISSA AU YESU LAA BALI UISLAM UNAMUHESHIMU ISA AU YESU KUWA MTUME WA ALLAH KWA BANI ISRAEL TU.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 28 дней назад
​​@@Kabeya410Kwahiyo anaye abudu Krishna au Buddha huyo ni mwislam mwenzako maana nayeye anaabudu mungu mmoja kama wewe, Mungu wakweli ni yule aliye abudiwa na wayahudi siyo waarabu 0:00
@swalahuomar9654
@swalahuomar9654 2 года назад
MMI ni twalabul ilm niko kenya inaruhusiwa kutwasal ndo mana mtu akienda makka unamwambia akuombee na wwe dua akifika sababu ile n sehemu bora ssa dua inaeza kubaliwa sababu ya mji wa makka na kwa masharifu n hvo hvo sababu n watu wema
@Wastara001
@Wastara001 2 года назад
Kama uko Kenya ndio tuamini hizo shirk.
@SleepyBeach-qs9mf
@SleepyBeach-qs9mf 6 месяцев назад
Hapo nimekuelewa na ninakushukuru sana.
@allyabdallah4679
@allyabdallah4679 2 месяца назад
Wewe Acha kupotosha watu
@FatmaJ-v7f
@FatmaJ-v7f 26 дней назад
Mzee ameshindw namna ya kuelezea ,kufanya waswila, mait ,amefarik roh zipo hai, hat wew unaweza kumtumia mtu mwengin kukuombea kit pahal usipo weza kufika. Tusomen zaid.
@cornelytv2839
@cornelytv2839 9 месяцев назад
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 25 дней назад
Makaburi hayaombwi hyoo ni kufuru nyie ndio manafaa kuwaombe walikufa msamaha kwa mwenyezi Mungu wacheni kufuru huo niushirikina
@mamanabdoul4397
@mamanabdoul4397 Год назад
Inna lillah wa inna ilayhi rajiun.uwo ni ushirikina.awo ni watu.siyo Allah
@salhkasmm558
@salhkasmm558 Месяц назад
Subhanallah si majini lakini hao
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 12 дней назад
Babu wa hovyo Anaharibikia ukubwani kama mun'gunya kila linavyokua linazidi kuharibika
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 25 дней назад
Hicho ni kisiwa kidogo kimeinuka maji hayapandi ww mzee wacha ushirikina huo wkuomba watu walikufaa
@abboubarnesful
@abboubarnesful 4 года назад
Inna Lillahi Wainna IlaYhi Rajioon... Allahumma Gh'FirLahum War'hamhum...
@samwaoo995
@samwaoo995 4 месяца назад
Sasa unashida alafu unaweka ng'ombe kwa nn tusimuombe asie itaji ujira uo ni ushirikina hakuna sharifu anae ombwa kama allah huo mi uzushi
@SilaMinanda
@SilaMinanda 7 месяцев назад
Mtangazaji hujielew fungua kipingi kwa kueleza upo wapi, kuanzia mkoa, wilaya, kata mpka kitongoji, tujuwe ni wap
@mohamedabdiyussuf3874
@mohamedabdiyussuf3874 Год назад
Shirki kubwa sana hio allah awaongoze njia ya haki
@msarama5406
@msarama5406 2 месяца назад
Ndumi yetu tuliyoondolewa na mkapa kwa ajili ya ujenzi wa bandari mpaka leo hakuna kinachoendelea inatuuma sana maeneo walikozikwa mababu zetu😢
@NoraKedir
@NoraKedir 26 дней назад
Wewe mze muombe mungu aca kuumbo maiti
@user-qv8uo3bc6o
@user-qv8uo3bc6o 4 месяца назад
KAMA KUKOSEA BASI ILO NIKOSA KUBWA KUMSHIRIKIAHA ALLAH NA MASHARIFU HAKIKA ALLAH HUAKBAR NDIO WAKUOMBWA KWANI ALLAH NDIO ALIE WAUMBA HAO MASHARIFU NA MITUME MA WALII NA VIUMBE WOTE DUNIANI NA AKHERA NDIE PEKEE APASAE KUABUDIWA.
@MashauriissaMohamed
@MashauriissaMohamed Месяц назад
Dunia inamaajabu yake
@ShamimWanjiru-bm6ve
@ShamimWanjiru-bm6ve 3 месяца назад
Hao Masharifu walienda zao kwa kuwa walikwisha kumridhishaAllah but hilo la kuwenda makaburini kuwaomba ni shirki kubwa,Iblis alikwisha kuwapambia wamsahau Allah,Subhana Allah
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 Год назад
SHARIFU SIO WA KUMUOMBA HUYO NI MFU TU WA KUMUOMBA NI ALLAH PEKEYAKE
@aliseif2691
@aliseif2691 2 года назад
Kutembelea makaburi na kuwaombea dua marehem wako ni sawa.lakin kwenda kuomba shida zako haifai ni shirki kubwa.
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 12 дней назад
Babu najua huwez hata kusoma coment ila naamini wajukuuzako wataziona Em muwahini babu yenu kabla hajafa hali yakua mshirikina kwani nihatar zaid mbele ya Allah nidhambi ambalo Allah hatolisameh mja akifa akiwa na dhambi hilo naliko waz kuomba makabur nishirki kubwa
@HaznaAbdallah
@HaznaAbdallah Месяц назад
Subh'anallah subh'anallah
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 8 месяцев назад
Shetani anambinu nyingi sana yakuwapoteza watu nakuwaanisha vitu watu nakuanza kuvifanyia ibada kanakwamba ni mungu watu wanaamini makabuli ya masharifu nakuanza kufanya ibada na maombi makabulini duu hii ni hatali
@user-tf3vs4bl8c
@user-tf3vs4bl8c 7 месяцев назад
Sio watu wamepotea ila wafrika ndo wamepotea kwa kufata Imani na asili tamatulin desturi za kiafrika izo ni asli ya wafrika sema wafrika wengi ni jinga Afrikaans maana asili yao wanaona niushezi kama walivyo potoshwa Kwa ile Iman ya kuaminishia waache chao wafuate visivyo vyao mungu ibariki Afrika
@assaasharif963
@assaasharif963 5 месяцев назад
Jamani anaesitahiki kuombwa ni Mungu tu pekee
@ibn_maleeqqeibraheem_188
@ibn_maleeqqeibraheem_188 2 года назад
Omba alafu mungu nae akupa uzidi kumshirikisha,acheni ushenzi wenu huo ,shirki tupu hizo zenu sharifu ndo nn wacheni kupotosha umma hpa
@sofiahassani5185
@sofiahassani5185 Год назад
Tunawaomba mashehe na masharifu watupe elimu ktk ya kutosha kuhusu Jambo hili limetuweka njia panda je lafaa au halifai kuabudu makaburi hayo kWa namna yoyote
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Ndio linafaa hakuna ushirikina yani haombwi maiti anayeombwa ni Mungu yani mfano ww unaweza kuomba km wazee wako wamefariki ukaomba Mungu nina shida hii niondolee kwa baraka za wazee wangu au sharifu au swahaba au shekhe fulani hakuna ushirikina ni halali inaitwa taswaufu
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Месяц назад
Ni Haramu kumuomba binaadam awe hai awe amekufa na hizi Imani potofu sijui wamezitoa WP 😢hao masharifu na Mtume wetu bora nani na mbona watu hawaruhusiwi kuomba achane shirki jmn
@Khanmkulu
@Khanmkulu Месяц назад
Tupeni elim
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 4 месяца назад
Pelekeni ujinga huko badala ya Mungu unaomba maiti km walikuwa Wacha Mungu ni wao na ww tafuta ucha Mungu wako acheni shirki
@SwidikiKabemba
@SwidikiKabemba 3 месяца назад
Tujikingeni na Jambo la shirki
@zulekha3028
@zulekha3028 Год назад
Astaghfirullah...mnaacha kumuomba mungu..mnawaomba binadamu mwenzio yeye mwenyewe kaumbwa kama wewe..Allaah awahid..inshllh mumuombe yeyetu asiye na mshirika.
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 9 месяцев назад
Tena anaomba maiti
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Sio ushirikina kasome dini kwanza
@user-hw1vd8qk1q
@user-hw1vd8qk1q 28 дней назад
Ewe mola wetu tuongoze waja wako kwenye njia za heri na sahihi na utunusuru na tamaduni za kishirikina😂😂
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Год назад
Mapepo hayo jamani
@ibrahimungombo932
@ibrahimungombo932 Месяц назад
SHIRKI HIYO
@alifakimati9614
@alifakimati9614 Год назад
Hiyo ni shirki kubwa sana haifai kabisa kumuomba binadamu.
@HaruniHaruni-jy7hw
@HaruniHaruni-jy7hw Год назад
Ndumi hiyo
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 Год назад
FANYENI YOTE TUMUOGOPENI ALLAAH KWENYE NAFASI YA KUMSHIRIKISHA ALLAAH
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 года назад
Cameraman mbona huoneshi hayo makaburi ??
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Месяц назад
Ni kisa kwa muisilamu kuomba mizimu na kuomba wafu na kuombwa binadamu yoyote yule bali wakuombwa ni Mungu peke yake
@khamissalum9285
@khamissalum9285 2 года назад
Walio kufa hawana makosa wenye kuomba wanakosea
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr Месяц назад
Washirikinaaa haooo
@abdisalan7515
@abdisalan7515 3 месяца назад
Nyiye mawahaabi hawa elewi diini kila kiitu shirki ndio mna hawaja sooma diini hiyo mzee an seema maitwa tawasul nyinyi mawahaabi nim jiinaga saana
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 3 года назад
Ushirikina tu
@marypartson8409
@marypartson8409 Год назад
Yako wapi
@simbaomar3405
@simbaomar3405 7 месяцев назад
huo ni ushirikina sharifu anapaswa kukuombea kwa mungu amiwa hai akishafariki yake yanaishia hapo
@mdungimdungikhamis7779
@mdungimdungikhamis7779 2 года назад
Acheni kutupotosha
@tvdawuurobarawe7846
@tvdawuurobarawe7846 2 года назад
Please hiyi message kama huyo mze Yuko hayi basi umambie Rudi Kwa Allah akusamehe madambi yako Kwa Sababu umemshirikisha allah na niyeye mwenye anae stahiki kuabudiwa na kuombwa na hawo wenginewe kama Bado wako wanao muomba mayiti bas Kwa hisani yako wafikishie hii message shukran
@mpwani3523
@mpwani3523 2 года назад
Shirki ya wazi kuomba hivyo wala sio tawasul
@jamuhurialiwazir4685
@jamuhurialiwazir4685 Год назад
INNALiLAhi WA INNA ILAhi RAAjiuna. SS ndiyo tuwaombeee dua siyo ss Tuwaombe waoo apana, Kwani wao na manabii Nani nani zaidi kipenzi chá alha?
@ramadhaniomary9241
@ramadhaniomary9241 7 месяцев назад
Kweli kiyama kipo karibu nyote wachangiaji mmeshindwa kuelewa kwa Nini Hawa watu wameacha makaburi yote wakaelekea hayo makaburi mawili .halafu mmewaingiza moyoni hao wanaokwenda kutawasal nyinyi mnaita kuabudu haya hivi ni kweli hao watu wameshindwa kutofautisha baina ya mungu na masharifu waliokufa.kwa Nini mnatoa fatawa Hali ya kuwa nyinyi si wajuzi.Na pia kwa Nini hamuendi kuwanusuru badala yake mnawatia moyoni ndiyo Nini Sasa hiyo
@omarjumaan3061
@omarjumaan3061 2 года назад
Nimakosa kuomba sharifu bid3ah
@salummohd4971
@salummohd4971 Год назад
Hao msimbe wanadam
@jailaninkya8978
@jailaninkya8978 3 года назад
Kutawasal kwa masharifu siyo ushirikina
@sajumahege4903
@sajumahege4903 2 года назад
Ushirikina ni upi ss
@wasilaahmad7913
@wasilaahmad7913 Год назад
Huo ni ushirikina
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
Najiuliz kabur walichimbj ila km iliwezekn bas ni watu Wema
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Год назад
Mh mizimutuu na mashetani
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 Год назад
Lakin hamon kuw kuomba kuwaomb waliokuf ni Shirk uslm Haukubal hay mnayatoa wapi jaman
@nimbetebwangabwa8521
@nimbetebwangabwa8521 Год назад
Wajukuu wa mtume .ni Hassan and Hussein,, hizo zingine shirki,,
@lisaamosi7297
@lisaamosi7297 2 года назад
Mimi Bado sijaelewa walichimbaje hayo makaburi ndani ya Maji?
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 12 дней назад
.
@muhiddinrashid5049
@muhiddinrashid5049 3 месяца назад
Kuomba asiyekuwa Allah ni shirki Allah awaongoze na awafahamishe kabla ya umauti
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Sio ushirikina kasome dini kuomba dua kupitia utukufu wa mtu au kitu sio ushirikina yani unaomba Mungu naomba unikubalie duwa hii kwa utukufu wa swahaba au fulani hapa hakuna ushirikina
@mohammedmataucar66
@mohammedmataucar66 Месяц назад
​@@AbdullahOmar-be4wyacha ushirikina kijana Allah haitaji msaidizi muombe yeye
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy Месяц назад
@@mohammedmataucar66 nenda kasome dini ww acha kuropoka nani kakuambia ushirikina unamuomba Mungu kupitiya kitu au watu wanaokubalika kisheria hii inaitwa tawasuli mfano mm namuomba Mungu anipe kitu fulani lkn kupitiya ww yani Mungu nijaliye kipate kitu fulani kwa baraka za muhamedi au maswahaba au watu fulani au kw baraka ya myama fulani hii haiitwi shirki unamuomba Mungu kupitiya
@mohammedmataucar66
@mohammedmataucar66 Месяц назад
@@AbdullahOmar-be4wy kwaiyo wewe uliesoma inaruhusiwa kutawasuli kupitia maiti ?
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy Месяц назад
@@mohammedmataucar66 ndio nikwambiya usome uislamu unaruhusu kumuomba Mungu kupitiya kitu au watu wanaokubalika kisheria kuna watu wanaomba duwa Mungu nijaliye kitu fulani kwa baraka ya watu ahalu badri au maswahaba au mtu yeyote mcha Mungu hii haina shida hawa washakufa lkn unaomba baraka narudia tn baraka baraka zao sio yeye maiti upo kijana kuna tofauti kumuomba maiti maiti unasema tu naomba fulani nakuomba hii ndio ushirikina lkn tawasuli hata ukienda kaburini kuzuru unaomba ewe Mungu nakuomba nipate mtoto kwa baraka na utukufu wa mjawako huyu mwema au shekhe huyu nipate mtoto huu si ushirikina kasome dini utaelewa sio kufuata mkumbo
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 2 года назад
Wakuombwa ni Allah .tuache shirki
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 6 месяцев назад
Yakawaida
@ibn_maleeqqeibraheem_188
@ibn_maleeqqeibraheem_188 2 года назад
Wacheni kudanganya watu na shirki zenu izo
@moshimartin7860
@moshimartin7860 2 года назад
Iyo ni bida. Wakuombwa ni allah
@jailaninkya8978
@jailaninkya8978 3 года назад
Kuto kujua kwako ww isiwe sababu ya kuharamisha mambo
@OmanOman-hf1hz
@OmanOman-hf1hz 3 месяца назад
Hapana bana maji kipindi hicho maji hakukuepo😂
@umnadyaful
@umnadyaful 2 года назад
Inna lilahi wa inna ileihi rajiun, jamani mambo ya kusikitisha.Mashekhe wenye kufanya da'wa nawaomba mwende kutoa hawa watu masikio taka muwarudishe kwa Allah sio kukaa kutukanana wenyewe kwa wenyewe.Hawa watu hali zao mahututi kidini...Allah mustaan
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 2 месяца назад
Hawana kosa ushirikina upi hapo
@assfzainab912
@assfzainab912 2 года назад
UKOSEFU WA AKILI UTAMUOMBEJE BINADUMU MWENZAKO AKILI POTOVU NA UJINGA TU SASA MWAJUWA MWENYEZIMUNGU ALIWAPA MAUT MBONA MWAOMBA MAKABUR YAO TUACHENI UJINGA
@saidhamad6065
@saidhamad6065 Год назад
Acheni shirki
@abdulhamidhaji5056
@abdulhamidhaji5056 Год назад
Sasa mpitaka yafunikwe na maji wakati hayo makaburi yapo juu na maji yapo chini kulingana na kina cha maji ?? Pumbaavu zenu
Далее
Why some disabled workers make $1 an hour
40:47
Просмотров 1,8 тыс.
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Новый уровень твоей сосиски
00:33
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 100 тыс.
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30