Тёмный
No video :(

MAAJABU: NDEGE ILIYOPOTEA ANGANI/ABIRIA 227/KIKUNDI CHA MAUAJI /WAHUSIKA WATAJWA/INATISHA..| EP 11 

Dar24 Media
Подписаться 730 тыс.
Просмотров 3,5 тыс.
50% 1

Ni makala yenye kuelezea kisa kilichojaa utata, na bado ni kitendawili cha ulimwengu mzima, ni baada ya tukio baya la kupotea kwa ndege ya abiria ya MALAYSIA AIRLINE MH370, ikiwa safarini kutokea katika taifa la MALAYSIA ikielekea katika taifa la CHINA ikiwa na zaidi ya abiria 200.
Bado ni mtihani wako wapi watu hawa?, na maswali muhimu kama iko wapi ndege hii? na tukio hili ukweli wake ni upi?
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#makala #ndegeiliyopotea #malaysia

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Месяц назад
Uyu mkaka anaongea mambo ya elimu ya juu sanaa napenda kwakweli
@dar24media
@dar24media Месяц назад
ameen karibu sana
@abdillahirashid4092
@abdillahirashid4092 Месяц назад
@dupamdupange kutoka sasa ww ni The greatest private investigator 😅😅😅
@dar24media
@dar24media Месяц назад
tunashukuru nawe tunakupa heshima hii pia
@user-zh3cf5wk1k
@user-zh3cf5wk1k Месяц назад
story gan isiyoisha kila siku
@yohanakashinje1548
@yohanakashinje1548 Месяц назад
Kazi nzuri Dupaa
@dar24media
@dar24media Месяц назад
asante ubarikiwe
@abdillahirashid4092
@abdillahirashid4092 Месяц назад
Wadau munivumilie ila ni wazi vijana tunakatishana tamaa bila kujali ngazi tunazopita kupanda na kushuka. Unalazimisha Content iishe haraka wakati hujui mwenzako anapitia changamoto zipi kuandaa scripts ambayo imekidhi vigenzo. Au nyie wengine mnataka porojo tu ili mradi watu wapo on air. Tuweni wavumilivu.... @dupamdupange jamaa yupo juu sana
@dar24media
@dar24media Месяц назад
ubarikiwe sana mkuu, kunywa soda tutalipa
@seiphsalum8645
@seiphsalum8645 Месяц назад
Mzunguruko unaufnya mkubwa kk elze stri tumlze
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Месяц назад
Tunakufata
@barakashayo4027
@barakashayo4027 Месяц назад
Leo umeingia kiundani san
@dar24media
@dar24media Месяц назад
hakika wewe ni mkuu wa hizi kazi kaka
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 Месяц назад
😂😂😂hii story ni ndefu kuliko juakali
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Месяц назад
Kitu kizito kichwani
@kenedymusaukavithi
@kenedymusaukavithi Месяц назад
Umeingia baba
@dar24media
@dar24media Месяц назад
naaaam
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Месяц назад
Biashara inaitajika imafia
@dar24media
@dar24media Месяц назад
hakika
@hamisisalum2218
@hamisisalum2218 Месяц назад
😮
@ernestdastan4814
@ernestdastan4814 Месяц назад
Fupisha story bro
@ElCapitano255
@ElCapitano255 Месяц назад
Epsode yako ya dk 27 imetumia dk 18 kuelezea mambo ambayo yapo nje ya mada umetufanya kama watoto unatuelezea CONTRACTOR ni wakika nani....😂 NB. Ukitaka kutuelezwa vitu vya nje ya mada basi tueleze kwa ufupi stik kwnye mada kata kiu ya AUDIENC wako watu wanakaa wiki nzima kusubiri makala alafu unakuja kuburuza...
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 Месяц назад
Umalize story leo tumechoka imekua Isidingo the need😂😂
@user-pi3ge3yu5t
@user-pi3ge3yu5t Месяц назад
Ach ujing kucoment upuuz km hutk au hujaipend hii simuliz nend kaskiliz stor book hp tuachie sis wagum
@mwambolamwambola4430
@mwambolamwambola4430 Месяц назад
Kweli kabisa story mpaka inapoteza maana
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 Месяц назад
Story book hakuna anaeweza kuikuta
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 Месяц назад
​@@user-pi3ge3yu5tmgumu wa gan ww boya2
@dar24media
@dar24media Месяц назад
@@user-pi3ge3yu5t kunywa soda popote ulipo
@Travis0nlineTv-vf2bd
@Travis0nlineTv-vf2bd Месяц назад
Leo sijuy hat unaelezea nn
@dar24media
@dar24media Месяц назад
pole tazama taratibu utaelewa
Далее