Тёмный

MAAJABU YA MTOTO WA MIAKA 7 HAYTHAM KHAMIS - MTOTO MWENYE VIPAJI 

Channel ten
Подписаться 203 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

#KilichoBoraKabisa

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@daudihalfani4626
@daudihalfani4626 4 года назад
Mashallah mungu amzidishiee na amu linde
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 года назад
MAASHAALAH .ALLAH AKBAR
@suleimansharjy9890
@suleimansharjy9890 3 года назад
MAASHALLAH KAONGEA UKWELI KUWA ANAWEKA MAWAIDHA AU MASOMO MBALIMBALI KWA MAANA ANAJIFUNZA KWANZA PIA MAMBO MENGINE ANAYAPATA KUTOKA KWA MUNGU MWENYEWE KWANI MUNGU HUMPA AMTAKAYE.
@MaryamNassor-l7y
@MaryamNassor-l7y 9 месяцев назад
mashaallah
@saibroo7092
@saibroo7092 4 года назад
Amen
@mwanahamisisaidi7474
@mwanahamisisaidi7474 3 года назад
Mimi nine penda Nita mpataje?
@muridundhikri
@muridundhikri 3 года назад
Eti anatangaza kaswida wakati qasida Ina mziki na mziki ni haramu jueni huo ni uongo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 года назад
Acha chuki hata hizo dhikri zako wenzio watasema ni za kukohoa na ni bidaa, mlete mtoto wako awe wa kweli aongee kama huyu ili ionekane ni hali ya kawaida ututhibitishie hicho unachokisema.
@fatwimatzahrau2327
@fatwimatzahrau2327 3 года назад
Lakini asome madrasa pia sio shule tu
@muridundhikri
@muridundhikri 3 года назад
Watu zindukeni na aina mpya ya utapeli uliozuka siku hizi kuwatumia watoto kukusanya pesa
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 3 года назад
Ndugu yangu, kama ni UONGO au UKWELI Tumuachie MUNGU. Cha Muhimu Mtoto anajitahidi sana MAASHAALLAH ALLAH AMSTIRI Mtoto wetu na HUSDA na chuki za VIUMBE vyake MUNGU . MWZ MUNGU Hashindwi na Lolote Atakalo
@sadih5333
@sadih5333 3 года назад
Wewe umeshafeli ndio maana umebaki jina tu, khasada tu ndio inakusumbua.
@hakikaduniamapitooils6718
@hakikaduniamapitooils6718 3 года назад
Mashalll
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 3 года назад
Hata km anafundishwa ww ni kipi unakijuwa ulichofundishwa ili na ww tuone uwezo wko
@muridundhikri
@muridundhikri 3 года назад
Waislamu was siku hizi mtatapeliwa Kila siku kwa vile hatufuati qurani Kila sehemu anatangazwa huyu mtoto na matapeli
@MrMPUTO
@MrMPUTO 3 года назад
Wacha wivu wa kike wewe mbwa
@allyzitta6043
@allyzitta6043 3 года назад
Sawa kabisa
@allyzitta6043
@allyzitta6043 3 года назад
Huna ushahidi wa hilo ni zana tu ambao kila baadhi ya zana ni mazambi
@allyzitta6043
@allyzitta6043 3 года назад
Sawa mashaalla
@babalaocollectionnoumasana
@babalaocollectionnoumasana Год назад
Ndugu mbona Kama una chuki binafs ? Ama humpend huyu mtoto? Mfundishe mwanao awe Kama huyu tuone ? Acha wivu kaka
@zainabumichael7154
@zainabumichael7154 3 года назад
Bing huyu anapatkana WAP ukimhtaj
@jennyjohn4376
@jennyjohn4376 3 года назад
Yombo
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 года назад
HUYU DADA NIMEMPENDA SANA.ANAJUA SANA KUHOJI.
@maulidsaid901
@maulidsaid901 3 года назад
Mashaalla mwenyezi ampe fahamu zaidi Haitham
@mirriammwongeli9851
@mirriammwongeli9851 3 года назад
Kipaji cha nguvu sana, unanibarikigi tu sana....nga'a njuu juu sana.....nakupenda tu sana
@fatwimatzahrau2327
@fatwimatzahrau2327 3 года назад
MashaLLAH
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 года назад
Kwanza lugha ya kiyarabu ni ngumu sana kuruani sio raisi kujua miyaka sita haitoshi kujua hao yote. Hata mashekhe wa makaa wanashngaa
@ramadhanitawaqal8958
@ramadhanitawaqal8958 3 года назад
quraan
@omarmwinyi125
@omarmwinyi125 3 года назад
Na nyinyi mliokua hamjaslim hamuoni huyo mtoto ni mawaidha kwenu (uislam ndio dini ya haki)
@allymaganga9511
@allymaganga9511 3 года назад
Kwako pia
@hafsahajiabeid5768
@hafsahajiabeid5768 3 года назад
Assalaamualaykum tunaomba namba ya .huyo baba kwa ajili ya dua
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Q03u3OvmHxg.html
@darleen521nashmi6
@darleen521nashmi6 3 года назад
Kweri kabisa
@darleen521nashmi6
@darleen521nashmi6 3 года назад
Tunaitaju namba yababa irituweze kupata dua
@marysdiosa8764
@marysdiosa8764 3 года назад
mtoto wa maajabu
@muridundhikri
@muridundhikri 3 года назад
Acha uongo hayo mawaidha yote kafundishwa Kama hajafundishwa mchagulieni mada ahadhiri
@saidseif5630
@saidseif5630 3 года назад
naww kajifunze utoe mawaidha kama utaweza
@samwa9496
@samwa9496 3 года назад
Hata kama kafundishwa uwezo wa kuhifadhi unao? kulingana na umri wake hicho ni kipaji
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 года назад
Wewe ndiye muongo, tatizo ni kuropoka tu bila ya kupima huo utumbo wako... bonyeza link hii uone alipokuwa akitowa mawaidha pindi alipokuwa na umri wa miaka mitano tena ni mawaidha tofauti na hayo ya Sayansi, msikilikilize kwenye mawadha ya mauti ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-VzEFUGACFG0.html , mawaidha ya wanaojifananisha na watu wa jinsia ambazo sio zao ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-kEu5pDReBO0.html , Acha kudanganya watu mawaidha yake yamejaa kwenye mitandao.
@rukiamussa9509
@rukiamussa9509 3 года назад
MASHALLAH
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Q03u3OvmHxg.html
@mirriammwongeli9851
@mirriammwongeli9851 3 года назад
Makupenda tu sana mtumishi wamungu....unabariki tu sana..titachoka kukutizama
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 года назад
Mm
@rukaiyaramadhani4879
@rukaiyaramadhani4879 3 года назад
Mwenyezi mungu amlinde na hasadi
@shabanhassan4272
@shabanhassan4272 3 года назад
Maashaallah Allah amjaze ufahamu bi Haytham. Amuepushe na kila balaa
@umumohammed5088
@umumohammed5088 3 года назад
.
@mwashumunassor318
@mwashumunassor318 3 года назад
wew
@alibell5246
@alibell5246 3 года назад
Mashaaallah mtot wangu allah akulinde akuongoze pia
Далее
#LIVE :MUARUBAINI
Просмотров 2
SARAPHINA - SIMULIZI MPYA
2:41:00
Просмотров 113 тыс.