""Ni sunna na ni uhalisia wa maisha kukutana na kuachana na tunaachana kwa kifo hiyo ni milele na pia kuachana hivi ni kuachana, lakini twashukuru Mungu pamoja na kuwa twaketi mbali na wale tunaowapenda lakini nyoyo zao zipo na sisi"" 😢😢😢
Asalaam àleykum warahmatullah wabarakaatuh. Masha Allah!! Kumbe kupendana kwaajili ya Allah pia kuna Raha yake jamani. Allah awa hifadhi Mashekh wote wazidi kutupa daawa.
Wa Alaykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh. Maa Shaa ALLAH, ALHAMDULILLAH! Shukran Jazeelah. Allah Awahifadhi Mashekh Wetu. Safari Njema In Shaa ALLAH ❤
@@banihashim5347 Allah mtukufu ametusifu ummati Muhammad kua sisi ni umma bora kwakua tunaamrishana mema na kukatazana mabaya (Quran 3:110). Kwhyo nlichokisema ni ktk mlango wa kuamrishana mema na kukatazana mabaya.
@@banihashim5347 Mtangazaji ndio anaeposti mawaidha ya sheikh humu kweny hii channel. Kwahiyo bila shaka anapitia comments na msg ataisoma Inshaa Allah