Hiyo mikoa pia inaongoza kwa ushoga yamkini Mungu kaamua kuwakumbusha waache Usenge na usagaji hawa wanadamu Nakuombea Nabii wa Bwana endelea na kazi uwe jasiri na Ushujaa mwingi.
Mungu aturehem aiseee chife wee ni noma wewe ni nabiii nakumbuka uliyo tabiri sasa tunaaza kuyaona kama arusha kule mafuriko makubwa duuuu a bado tunayaona
Kikubwa tunatakiwa kuomba rehema kwa Mungu alisamehe Taifa letu maana siku hizi uchawi unatumika kila mahali hata wanaojiita wa timishi wa Mungu wanatumia uchawi je Mungu atanyamaza kweli Mungu tusamehe sana
Mm nimeota.mvua.itaendelea na itaharibu uchumi vitu vingi vitaharibiwa.watanzania tutubu uhuru ni mwingi sana tunamkosea Mungu watanzania tutengeneze tuwaonye watoto wetu uhuru umezidi sana kila mtu anafanya anachotaka taka
Kwanza hakuna kitu kibaya ambacho Mungu hapendi ni ushoga.kumbuka mji wa sodoma na gomora walioywa mwisho wake waliunguzwa na moto.tumrudie Mungu wapendwa