Asante, karibu sana, basi share na wengine, na ufate masomo yetu ya lingala hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-w1M5X2EHK3E.htmlsi=F-xvC52nc-RRZlIl
Wimbo naupenda huu hatari nilikua natafuta jina lake maana kwa mara ya kwanza niliuona youtube kwenye anniversary ya mzee omar bongo rais wa gabon na mkewe edith sassau nguesso au aditha omar Bongo ambae ni binti wa rais sassou ngueesso ...huyu dada alimwalika madilu akaimba live siku hiyo huu wimbo ikulu ya Gabon...Editha alikua anaupenda sana aliimba na kucheza mwanzo mwisho