Тёмный

Maeneo mengi ya Nairobi yashuhudia athari za mvua 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Kaunti 38 nchini ziko katika hatari ya kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini. Tayari zaidi ya watu elfu moja wameathirika na mafuriko ambayo yamekuwa yakishuhudiwa huku mamia ya wakaazi wa kaunti ya nairobi wakikadiria hasara kubwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@jamilaingu7922
@jamilaingu7922 3 года назад
Mungu wasaidie
@karendikitchen8439
@karendikitchen8439 3 года назад
Yesu... Hope Athi river... Kamulu na murang'a Mungu atuonekanie
@johnstonechabi2417
@johnstonechabi2417 3 года назад
Shida ya wanadamu wamepatia serikali maisha yao, Mungu awasaidie sio serikali
@marymutavi5446
@marymutavi5446 3 года назад
Mungu ajenge drainages?
@e.jack.47
@e.jack.47 3 года назад
Rain brings havok even to the developed economies
@zaynabali6109
@zaynabali6109 3 года назад
Poleni
@bernardmuoki4241
@bernardmuoki4241 3 года назад
Poleni sana aky
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 3 года назад
But they’ll still prefer living in the slums because it’s cheap!
@DaxL_net
@DaxL_net 3 года назад
Drainage system must be redesigned to accommodate increasing population. The current one are not compatible with Nairobi city
@peternjuguna1990
@peternjuguna1990 3 года назад
Anyone observing his or her house has cracks please hama hama hama the early the better it's not so late nor so early if you see rainbow know that the rain might rain so as the storey building through cracks might fall down
@carolineundisa8509
@carolineundisa8509 3 года назад
Hiyo mvua c ikuje huku dubai, tunaungua na jua
@zaiokari1698
@zaiokari1698 3 года назад
Kenyans Never learn especially in Nairobi slums not first time calling for which gov? We don't have agovernment !
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 3 года назад
Sasa ujenzi hauna ramani ya kupitisha maji... Kenya Kenya only corruption
@daprince7545
@daprince7545 3 года назад
Government imelala
Далее
Magari yasombwa na nyumba kujaa maji ya mvua Nairobi
2:50
Тарковский - гений
00:48
Просмотров 701 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн
Mvua yaleta balaa Moshi, nyumba zasombwa na maji
3:46
Uwanja wa ndege wa JKIA umelindwa zaidi hii leo
4:02
Просмотров 157 тыс.
Siku ya nane nane
2:04
Просмотров 20 тыс.
Maafisa wa usalama waongeza doria jijini Nairobi
2:43
Тарковский - гений
00:48
Просмотров 701 тыс.