Karibu sana. Kiukweli unafundisha mambo ambayo ni tiba za KIISLAM. Tunaita tiba za kisunna. Yaani jambo ambalo Mtume Muhammad Swalla Allahu Aleyhi wasallam alipenda kufanya au kutumia au kuhusia. Ndio inaitwa sunna. Je umeupitia Uislam?
Ukweli nimeanza kufaidika na tiba zako. Ile ya chumvi na mda wa 21days iko jikoni nishaandaa. Na sasa naenda nunua zaituni In Sha'a Allah. Nilipigwa kichawi nikafilisika mpaka sasa niko kwa mama sina kazi. Alhamdulillah nimeanza tiba naona mafanikio kidogo kidogo
Kristo? Nakuomba sana mpendwa wangu MWANANGU anashida ya afya Toka ana MIAKA 14 alianza kuanguka , mwaka 2014 hadi sasa imempelekea asifanye vizuri katka masomo yake na pia hata masikio hasikii vyema anachangamoto nyingi sana.nmeeleza Kwa kifupi,nisaidie mwongozo wa majibu ya afya yake.Mungu akubariki unijibu haya
Jman dada naomba unisaidie mm huw nasumbuliw na kifua lkn ukiend hospital Amna tatzo na kn muda mref san , pia nikapma damu nkaambiw sna tatz lkn hiz sku nmeenda naambiw na ukimw akat dalil zzte sna na km hayo maradh mbn n ya muda mref Sanaa km ingekuw ukmwi ngekuw shazdiwa plz dada nahc ugonjw nmetupiw
Dada Mimi naumwa sana mwili wote Miguu kwenye magoti inauma hatari mwili unauma muda wote mikono kama INA magaga na vidonda mdomoni kwenye fizi Luna vidonda meno Yanauma siwezi kuingiza chochote hata maji ya kunywa meno yanauma