Тёмный

MAGAMBO MACHIM .amkosha NAIBU WAZIR MKUU .chek njonjo zake 

Magambo Machimulenga (official Channel)
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 103 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@AbediTwaha
@AbediTwaha 7 дней назад
Kwanza lazima watu watanbue huo msiba sio wachadema,pili sio wakristo,msiba ni wawatu wote hasa imani ya kiislam kwasababu yeye ni muislam na masauni ni muislam,kwaiyo anausika kama muislam,nivipi azomewe?acheni upuuzi na ujinga huo nimsiba na si ushabiki apo nimajonzi si upumbavu unao onekana apo ondoeni siasa na ujinga kwenye mambo ya Mungu,
@neemaemmanuel3625
@neemaemmanuel3625 Месяц назад
Aisee Hongera Sana Nyanda Wanne Umeuwa 💚💚💚💚💛
@gudegudetz7970
@gudegudetz7970 13 дней назад
Ila wewe kaka magambo kipaji unacho tena sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SimbaJumma
@SimbaJumma Месяц назад
Sio asikali uyo mimi nijilani yangu magambo ushilombo
@renatusaugustine3410
@renatusaugustine3410 26 дней назад
Ahahaha muache bwanaa
@TumainMgaya-g8p
@TumainMgaya-g8p 23 дня назад
Polen sana Mungu awe mfariji wenu.
@noelkipera6581
@noelkipera6581 Месяц назад
Brother unajua saaaaaaana respect master magambo
@davidnyaonge2035
@davidnyaonge2035 11 дней назад
Unaweza sana
@NIYONZIMAJONATHANI
@NIYONZIMAJONATHANI Месяц назад
Namfaham sana magAmbo Ushirombo moja hiyo
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli Месяц назад
Nakubali jamaaa
@josephnicco9321
@josephnicco9321 Месяц назад
Hii ngoma inaitwaje jaman
@EmilianMasheyo
@EmilianMasheyo Месяц назад
Upo vzur sana nimekufatilia mda mwing sana BG UP
@amedeusmmanga8043
@amedeusmmanga8043 22 дня назад
Magambo hapaa
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 20 дней назад
🔥🔥🔥💯💯🔥🔥
@nyumbumjanja
@nyumbumjanja Месяц назад
Baba magambo 🤣🙌🙌🙌
@festusifotunatus-m3c
@festusifotunatus-m3c Месяц назад
Jamanii 🎉🎉🎉🎉🎉
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Magambo safiiiii
@antipasjohn62
@antipasjohn62 Месяц назад
Kumbe kuna ruhusa ya kushika maziwa
@AnastaziaMichael-ro3zr
@AnastaziaMichael-ro3zr Месяц назад
Hizi nyimbo magambo kazilekodo tunazitaka
@asherymalosha3504
@asherymalosha3504 Месяц назад
Please naomba Tuwekee Official audio Ya Hii Ngoma 🙏🙏
@francepaul7711
@francepaul7711 Месяц назад
🙌🙌🙌🙌🙌
@EssauMahundi
@EssauMahundi 25 дней назад
Bila upizani hakuna maendeleo .Nani atakosoa?
@shytv369
@shytv369 20 дней назад
Huyu askali
@user-uw8nj9yp9z
@user-uw8nj9yp9z Месяц назад
😅😅😅
@abeljoseph4300
@abeljoseph4300 Месяц назад
😂😂😂
@EmilianMasheyo
@EmilianMasheyo Месяц назад
Naomba unijibu Magambo maana huwa tunabishana sana iv ww askar au sio askar?
@husseinabdalah8375
@husseinabdalah8375 Месяц назад
Sio askali ni mtu wa kawaida ni jamaa angu sana
@masatumtani1588
@masatumtani1588 Месяц назад
Nakusaidia ni askari police
@EmilianMasheyo
@EmilianMasheyo Месяц назад
Dah majbu mawil Kwa wakat mmoja ndio maana ad sisi huku tunabishana
@EliasPaul-qs2ib
@EliasPaul-qs2ib 28 дней назад
Magambo ni msanii na siyo askari
@EmilianMasheyo
@EmilianMasheyo 28 дней назад
Nimethibitsha ilo kwenye bahadh ya vdeo akiwa yy na askar wa FFU kuwa yy anavaa tu kama askar na sio askar coz anavaa baret ambayo haina crown ya jeshi
@HenryNJohn-mm5zn
@HenryNJohn-mm5zn Месяц назад
Safiii
@festusifotunatus-m3c
@festusifotunatus-m3c Месяц назад
☀️☀️☀️☀️☀️☀️☀️☀️👏👏👏👏👏✋
Далее
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,2 млн
MAGAMBO MACHIM _KIJANA JITAMBUE
3:17
Просмотров 40 тыс.
Yammi & Mbosso - Nitadumu nae (Official Audio)
3:34
Просмотров 401 тыс.
MAGAMBO MACHIMU - YANGA (OFFICIAL AUDIO)
4:42
Просмотров 196 тыс.
KISA KASOMA NAE
10:57
Просмотров 132 тыс.