Hongera Sana Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga Mwenyezi awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen barikiwa Sana nyote nawapenda shalom
Engineer Hersi mungu akupe miaka 110 maana umetuletea zawadi mayele tunatetema kwa madoido,waumbuke walio kinyume na wewe,Na fikra zako zidumu katika yanga,kama fikra za mwenye kiti wa Tanu zilivyodumu kipindi cha azimio la arusha 1967
Safi sanh hivi ndo inatakiwa hili kuakikisha channel yetu inakuwa kubwa zaidi na nina amin kwmba hii channel itakuwa kubwa zaidi ya channel ya timu yoyote east africa 🙌
I'm also happy the way the club kept him happy, because a player who isn't happy will never improve that to young African team from DRC nous vous aimons ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩