Тёмный

Magoli | Namungo FC 1-2 Tabora United | NBC Premier League 25/08/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 154 тыс.
50% 1

Heritier Makambo ‘amewajaza’…na Salum Chuku amewachoma mkuki Namungo dakika za jiooooooooooooooni……..!!!!
Tabora United walivyoshinda 2-1 ugenini dhidi ya Namungo FC, mechi ya #NBCPremierLeague iliyochezwa Majaliwa Stadium, Lindi.
Goli la Namungo limefungwa na Djuma Shaban
Haya hapa magoli yote matatu…..

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@Muhammedually
@Muhammedually 18 дней назад
Mwamuzi yupo vizuri,huyu ndy mrithi wa arajiga
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 17 дней назад
Nilikua naitafuta hii comment
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 18 дней назад
Lefa mzuri sana ajitahidi kuwa ivo ivo❤
@HarunaNditimye
@HarunaNditimye 18 дней назад
Hongera TABORA UNITED
@mrbontel976
@mrbontel976 18 дней назад
Hongera tbr yetu, tunakusubiri Mwinyi
@Ntabo393
@Ntabo393 18 дней назад
Sana Tabora yangu naipendaga sana kikubwa tubaki ligi kuu
@CharlesSomeke-b5m
@CharlesSomeke-b5m 18 дней назад
Yanga raha product zinafanya kz nzuri
@SamsonLesscar
@SamsonLesscar 18 дней назад
NBC premier league inavutia sana
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y 18 дней назад
Mashallah ground zimeboreshwa❤
@dirahussein9291
@dirahussein9291 18 дней назад
Tabora Moja hiyo
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 18 дней назад
Hongera tabora
@ladislaus799
@ladislaus799 18 дней назад
Yacuba akicheza tabora wanachukua ubingwa😂😂😂
@davidmwanga6018
@davidmwanga6018 16 дней назад
Yacouba yupi
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 18 дней назад
Goli lapili zuri mno
@bantujunior9549
@bantujunior9549 18 дней назад
Hawa waliocheza leo tabora utd hawakucheza mechi ya kwanza
@isaackaitira7654
@isaackaitira7654 18 дней назад
Chuku alicheza hapo ni makambo tu wengine walikuwepo
@kuholakalani2472
@kuholakalani2472 18 дней назад
Kwahiyo?
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 18 дней назад
Kwenye hicho kikosi Makambo tu hakuwemo wengine wote walikuwemo.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 18 дней назад
Simba Walibebwa Tu Mechi Yakwanza. Lakini Wacha Masiku Yasonge Tuone Panapovuja.
@isaackaitira7654
@isaackaitira7654 18 дней назад
@@nurdinmfamau3493 msimu huu utasubiri sana watu wako serious sana
@McKicheche
@McKicheche 18 дней назад
Saf sana Tabora🐶
@ladislaus799
@ladislaus799 18 дней назад
Tabora wanavyuma hapo yacuba hajacheza
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 18 дней назад
Tabora yangu msimu huu mkaze kweli kweli
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 17 дней назад
Ligi tamu
@user-fy3cf1ri8m
@user-fy3cf1ri8m 17 дней назад
Makambo vs jumashabani ndo wamenileta apa
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 18 дней назад
Karibu tena home Makambo na Juma Shabani Pigeni kazi
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 18 дней назад
Hivi huyu Shaban ndio ameishiwa huku baada ya kuzingua Yanga?
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 18 дней назад
Yanga siyo timu ya baba yake yanga ni kama timu zingine, kazi ni kazi
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 18 дней назад
@@ikulunimahalipatakatifu7642 ni wewe ndio unafikiri Yanga ni kama timu zingine loo. Uwe na mwanao mmoja acheze Namungo mwingine acheze Yanga halafu waulize ikiwa hizo timu zinafanana.
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 18 дней назад
​@@ikulunimahalipatakatifu7642 we kweli hewa eti kazi kazi uache kazi unayolipwa elfu 50 unaenda kulipwa elfu 10 afu useme kazi kazi nyie so watu wa football ni shabiki oya oya ambao hamjui mpira hata kidogo😂😂😂😂😂 nakucheka wewe na Juma shabani apo amefeli sema hana namna
@RugeMoremi
@RugeMoremi 16 дней назад
Good makamboooo
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 17 дней назад
Makambovic👍🏾
@alhajshabani5595
@alhajshabani5595 18 дней назад
Hivi hawa marefa hawaoni au hawajui sheria ya kipa mguu wake mmoja uwe kweny mstari
@jenestertituskagisa7637
@jenestertituskagisa7637 18 дней назад
Ila Azam bado Sana kamera zenu azilizishi matukio ayaonekani vizuri Kama jinsi mlivyo kuwa mnazisifia kamera zenu binafsi hakuna lolote zaidi ya kuongeza ela ya vifurushi
@user-zm3ei8tt6h
@user-zm3ei8tt6h 18 дней назад
Anzisha ya kwako
@Stevmwamba2090
@Stevmwamba2090 17 дней назад
Kwani imelazimishwa kutazama mkuu! Katazame movies za rufufu azam tuachie wenyew
@edibilychaula.3753
@edibilychaula.3753 13 дней назад
Naona product za Yanga zipo kila mahali
@michaelenockefraim6967
@michaelenockefraim6967 18 дней назад
Wakwanza nipen like zangu
@KhamisiHilali
@KhamisiHilali 18 дней назад
Timu za ligi kuu bara Wala msipate tabu ya usajili maana yanga kila msimu inasajili 7 inaacha watano wa maana bado Wana kiwango mim namsubiri Guede kufanya makubwa
@azizimbale9720
@azizimbale9720 18 дней назад
Sasa ni mchezaji gani hapo amecheza yanga karibuni maana Kama makambo ni muda Sasa zaidi ya misimu mitatu
@KhamisiHilali
@KhamisiHilali 17 дней назад
@@azizimbale9720 djuma shaban
@ramadhaniiddy5059
@ramadhaniiddy5059 18 дней назад
Once Bees always Bees
@victorgunda4048
@victorgunda4048 15 дней назад
Br hiari naona upo kwenye majukumu yao
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 15 дней назад
Mbona husemi soda ya bemba... Au kwasbb ameondoka yanga
@radynnyagaly3692
@radynnyagaly3692 18 дней назад
Offside kabisa hii
@user-fz4yv4jw6v
@user-fz4yv4jw6v 18 дней назад
Ina enda kuwa epl ndog hii
@SuleimanMuhammed-g7q
@SuleimanMuhammed-g7q 18 дней назад
Alicheza dada yako
@SimonJeshi-nq1hs
@SimonJeshi-nq1hs 18 дней назад
Hakuna penart
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 18 дней назад
Mboka impaya mkoa amboa wanaume hatunavioo
@kuholakalani2472
@kuholakalani2472 18 дней назад
😂😂😂😂😂
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 18 дней назад
Tabora,,, haikuwa penalty
@RahimKulwa
@RahimKulwa 18 дней назад
Kinyo wa bunju@
@BillHunter-Musician
@BillHunter-Musician 18 дней назад
Duuh juma shabani anatia huruma Hadi so pouwa! Kutoka kuilingia yanga Hadi namungo duuh😂 ama kweli kupanga nikuchagua😅
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 18 дней назад
Maisha ni popote,sisi watu wazima tunaelewa.
@olarivolariv1313
@olarivolariv1313 18 дней назад
Cha muhimu ni hela tuu ndugu
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 18 дней назад
Kwani yanga ndiyo timu peke yake?,
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 18 дней назад
​@@ikulunimahalipatakatifu7642aamaana alikuwa anahitajika Yanga bado yeye akajiona ni mkubwaa sasa anaishia wapi mwenzie yuko Azam pale..
@RomboBoy-bl7ql
@RomboBoy-bl7ql 18 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂 kwel hii nbc
@Deadskytz
@Deadskytz 18 дней назад
😂😂
@proisolution7166
@proisolution7166 18 дней назад
shida ya hii timu ya hii Tabora na Fountain gate hipo kwenye maadili,eti timu zote zilifungiwa kama sikosei na timu zote zilipangiwa kuanza na simba,sasa ninyi mnaosema udhamini ya GSM mtusaidie,timu iliyocheza na simba leo asilimia 70% tofauti.ingekuwa yanga ungesikia wambea.
@ClaudMkoka-bf2sf
@ClaudMkoka-bf2sf 18 дней назад
😂
Далее