Тёмный
No video :(

MAHARI MILIONI MIA TANO 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 296 тыс.
50% 1

Wazazi muwe maakini mnapotaja mahari ya mtoto wenu mjue na tabia yake vizuri, Unakuta bint kashatumika sana kwa uhuni mwisho wa siku aibu kwa wazazi....

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 373   
@frankvianey2438
@frankvianey2438 11 месяцев назад
Wangap wamemmiss sopa,kipande na mwamba,wagonge like hapa
@queenmalikia3827
@queenmalikia3827 11 месяцев назад
😢😢😢😢sopa jamani
@ZandaMelody-cj5te
@ZandaMelody-cj5te 11 месяцев назад
Sahivi Yupo Na Wazee To....Wale Jamaa Cjui Ndo Wananqalia Maslah
@user-hj4uw5pp2w
@user-hj4uw5pp2w 11 месяцев назад
Vijana huwezi kuwadanganya na malipo madogo km wazee
@mcharo255
@mcharo255 11 месяцев назад
Nimemiss kumuona sopa sanaa..... Yule bwana yuko fresh sana😅
@geekilimba8362
@geekilimba8362 11 месяцев назад
Sopa jmn ❤
@mwesialfred
@mwesialfred 11 месяцев назад
Kanyinyiiiii😅 nilimmiss huyu mjamaa leo kaja kivingine😂😂
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk 11 месяцев назад
Ambao tuna isubiri ijumaa kwa sababu ya Jot tujuane 🙏🏻
@gracekatani3669
@gracekatani3669 11 месяцев назад
Kazi nzuri sana! Ila ni mahari siyo mahali.
@mwanamisiramadhan4773
@mwanamisiramadhan4773 11 месяцев назад
Kwenye lafudh/matamshi ni janga la Taifa 😂😂
@farajasaid9209
@farajasaid9209 11 месяцев назад
Ola tz bara kumezidi,
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 месяцев назад
Joti hana kazi mbovu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 11 месяцев назад
nimecheka mpaka nimeulizwa vp salama na majirani kwa burudani za joti
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 месяцев назад
@@nadyasalim7956 😂 😂 😂
@khanamiry1776
@khanamiry1776 11 месяцев назад
Leo nimekuwa wa kwanza kama unakubali team kiboga like ziwe kama zote
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 11 месяцев назад
Kanyinyi wangu asante umerudi nilitaka kuhama kumshabikia joti
@saleemmussah
@saleemmussah 11 месяцев назад
Uache kumshabikia joti utamshabikia nani kwa mfano
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 месяцев назад
Mama muhuni kama mwanae nakukubali sana mama😂😂😂😂😂
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 11 месяцев назад
Wazazi Punguzeni Ukubwa Wamahali Ili Ipatikane Ndoa Nauhalali.
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 11 месяцев назад
Huyu aloambiwa anasidi atakwangua vocha mwenyew Leo amekopwa😅🤣😁
@boazmosses8204
@boazmosses8204 11 месяцев назад
Joti sahv anayumba sana tunawataka kina sopa,mama dame,kipande yan sahv ni kama igizo la shule ya msingi kabisa😂😂
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 11 месяцев назад
From Japan Kuma Moto I love YANGA bingwa
@RozaliaJoseph-cg8he
@RozaliaJoseph-cg8he 11 месяцев назад
Mbona yai la mbuni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 месяцев назад
Jamani mama kiboga kwani ni biashara,na ww mume mtarajiwa huyo mshenga umemtoa wapi😂😂😂unaharibu Mila na desturi za watu 😂😂😂
@dayana5513story
@dayana5513story 11 месяцев назад
Mahali kama wanauza 😂😂😂 ndo maana wanawake wanateseka ndani ya ndoa, mimi sitaki mahali naitaji peace of mind 🙌
@DouglasMassop
@DouglasMassop 11 месяцев назад
Wew unanifaa
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 11 месяцев назад
Dayana upo sahihi
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 11 месяцев назад
Nenda bila mahari alaf manyanyaso yaanze uambiwe mtu mwenyew nlkuchukua bure kwenu sijui walkuchoka wakakutoa bure🤣🤣🤣 Huwajui wanaume ww baadh wanagubu balaa 🙌
@dayana5513story
@dayana5513story 11 месяцев назад
@@catherinemuhagama7338 dear I understand you but mimi mahali not matter to me mimi na focus on my happiness dear si kwamba mtu akikutolea mahali ndo hatakutukana mtu akutukanae akuchagulii tusi l hope wajua ilo
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 11 месяцев назад
​@@dayana5513storyni kweli Tena akitoa. Pesa nying mateso hayaish kama. Umeuzwa
@mustafampande173
@mustafampande173 11 месяцев назад
kanyinyi ni mwehu 😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 месяцев назад
Kama unamjua shoga etu aliesema mahari milioni 500 na akaolewa kwa mswala na mume ni pasua kichwa 😂😂😂tujuane hapa😂😂😂😂ila wanawake tuna midomo jamani kha!!!
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 11 месяцев назад
Yaniii😂😂aibu tupu mashauz kbao mahari milion mia5 kwa uchi gan😆😆😆
@neemamzande8547
@neemamzande8547 11 месяцев назад
Ninani uyo jomon 😂😂😂😂😂😂
@khadijakheiri5745
@khadijakheiri5745 11 месяцев назад
Ijumaa bila stres😂😂😂😂😂
@user-dy3eq1zi5l
@user-dy3eq1zi5l 11 месяцев назад
mshenga nusu wamnyonye macho😂😂😂😂😂
@maalimzingizi4221
@maalimzingizi4221 11 месяцев назад
Sema io kofia ya uyo mzee ni jau yaaan 😂😂😂😂
@fatmaally7252
@fatmaally7252 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@benhanclove5997
@benhanclove5997 11 месяцев назад
Huyo atakua wa shilling elfukumi😂😂
@goodhopejonas1001
@goodhopejonas1001 11 месяцев назад
Nitakunyonya macho😂😂joti bana😂😂
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 11 месяцев назад
Tanzania moto,peperusha bendera jot frm🇿🇲
@dee-thegoon4141
@dee-thegoon4141 11 месяцев назад
Wabongo wakiume mnavyo ji blich muko very 😅😅
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 11 месяцев назад
Mm nmemmisi sana yule mbavu mbn siku izi ayupo jamani baunsa yule
@bonfilskashaba7381
@bonfilskashaba7381 11 месяцев назад
Naombeni like zangu kutoka Congo 🇨🇩
@HunchooG
@HunchooG 11 месяцев назад
“Amesema hataki “ 😂😂😂
@veronysiwale7832
@veronysiwale7832 11 месяцев назад
Heheee ukimwaga ya uarabuni ndio basi
@gama_liely
@gama_liely 11 месяцев назад
Et ntakunyonya mate😅😅😅😅😅😅
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 11 месяцев назад
Hapo kweny silidi umeelewa?😂😂😂
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 11 месяцев назад
Ama kweli akili ni Mali. Mfano jot akili yake.
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 11 месяцев назад
Hahaaa milioni 500🎉🎉🎉 joti maua yako
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 11 месяцев назад
Nishai mtomba ngwile kitwango mikazo 😂😂😂😂
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 11 месяцев назад
Hiyo mahari balaa.Mpka miwani na koti la babu, khaaa🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@aaii8301
@aaii8301 11 месяцев назад
Wakongo ndo wako ivo😀
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 11 месяцев назад
@@aaii8301 🤣🤣🤣🤣🙌
@annaki318
@annaki318 11 месяцев назад
Tulimmis kanyiinyi 🎉🎉🎉
@ummyirembe6145
@ummyirembe6145 11 месяцев назад
Yani sanaaaa
@jameslucas7161
@jameslucas7161 11 месяцев назад
Joti Martin Lawrence wetu 😂😂
@Gonga94tz
@Gonga94tz 11 месяцев назад
Ha ha ha the boss
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 11 месяцев назад
Ntakunyonya macho😂😂😂😂
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 10 месяцев назад
Mshenga takunyonya macho 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤🔥🔥🔥🔥👆
@ruqayyah.noor.1538
@ruqayyah.noor.1538 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 11 месяцев назад
Ni mahari sio mahali
@masudykikumbi7375
@masudykikumbi7375 11 месяцев назад
😂😂😂 heeh mbon ndoa mahali yake imekuwah chungu 😂😂😂😂
@simonmaige7785
@simonmaige7785 11 месяцев назад
Ni Mahari siyo Mahali
@meshackaloyce9662
@meshackaloyce9662 11 месяцев назад
Jott utafika mbinguni ikiwa umechoka sana😂😂😂😂
@Nyalafu
@Nyalafu 11 месяцев назад
Haaa eti yuko sealed, 500M.Huku mwali anakopwa tangu asubuhi. JOTI! JOTI!
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 11 месяцев назад
Daa😅
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 11 месяцев назад
Never disappoint jotiiii
@jumabolingo9583
@jumabolingo9583 11 месяцев назад
Yai la mbuni😂😂😂😂😂😂😂😂
@eddygonza891
@eddygonza891 11 месяцев назад
Shikamoo mshenga😂😂😂😂
@sharifanyella7703
@sharifanyella7703 11 месяцев назад
Joti hongera
@abdulobo3110
@abdulobo3110 11 месяцев назад
Mahari sio mahali
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 месяцев назад
Unataka watamke hiyo r kama wanazungumza kiarabu sio
@james008BOND7
@james008BOND7 11 месяцев назад
Mombasani tunakubali😂😂😂😂noooma sana😂
@binjmwinyirain1133
@binjmwinyirain1133 11 месяцев назад
Watu badala muwahi kazini mnajisifia kuwahi upumbavu! Mnaniudhi Kweli subiri wiki ijayo muone ntakavyo wapiga bao, nawahi kukoment huko huko wanapoigiza. Shubaaaamit😅😅
@emanuelwakawenga4023
@emanuelwakawenga4023 11 месяцев назад
Wahi kazini wewe
@kingzito31
@kingzito31 11 месяцев назад
Umesababisha nimecheka sana daah 😂
@abdulghanshakuru3973
@abdulghanshakuru3973 11 месяцев назад
Ata mm wa kwanza Kila siku nyinyi tu na mm leo namba 1
@winniewambui7423
@winniewambui7423 11 месяцев назад
This is the best
@mudvan2410
@mudvan2410 11 месяцев назад
Sio MAHALI ni MAHARi
@malilacollins11
@malilacollins11 11 месяцев назад
Unajua😅😅😂😂😂
@veronysiwale7832
@veronysiwale7832 11 месяцев назад
Joti umetisha kazi nzuri
@simonandrew1489
@simonandrew1489 11 месяцев назад
Good Job Mr Joti With Your Team
@davidnchoji
@davidnchoji 11 месяцев назад
Daah asee nimecheka leo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 11 месяцев назад
Lugha ako mbaya😂😂😂
@rajabusaidi6692
@rajabusaidi6692 11 месяцев назад
Nitakunyonya macho shenzi sana 😜😜😜
@ramadhankitsao5019
@ramadhankitsao5019 11 месяцев назад
😂😂😂 Yamemwagika. Eti 500million kwani ni gari
@hassanjecha5069
@hassanjecha5069 11 месяцев назад
yaan jot ndo miln 300 ,wakat kashamalizwa mda c mrefu
@djumajay2857
@djumajay2857 11 месяцев назад
Kii ukwel joti ana nipaga raha San kbx anajuwa ku ipambania kazi yk 😅😅😅
@alphakiuyo9447
@alphakiuyo9447 11 месяцев назад
Kipande na sopa noma sana
@jumabolingo9583
@jumabolingo9583 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 hatari saaaana
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 11 месяцев назад
Nmeskia kiboko hapo 😂😂😂
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 8 месяцев назад
Hii mambo ya kujifanya mwanamke ikiwa we Muislamu achana nacho si nzuri
@basco-don2
@basco-don2 11 месяцев назад
Mmh my fav❤😂
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 11 месяцев назад
HUYU JOTI AJENGEWE MNARA SIYO COMEDIAN WENGINE WANAPIGA KELELE TU WENGINE WANAONGEA SANA.
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 11 месяцев назад
Nitakunyonya macho 😂😂😂
@shafiichusi1897
@shafiichusi1897 11 месяцев назад
🙌🙌🙌🙌🙌👏🙌🙌🙌... Nomaa sanaaaa
@saphiasaid1038
@saphiasaid1038 11 месяцев назад
Nitaolewa
@boazmosses8204
@boazmosses8204 11 месяцев назад
Sahivi hata haichekeshi wala hainogi😅😅😅 tunaangalia tu kusogeza masaa
@amanimatokeo9139
@amanimatokeo9139 11 месяцев назад
Duh kwwl nishdaa iii imeeendaaa
@michilita2959
@michilita2959 11 месяцев назад
Joti kunywa soda Leo sasa umeniletea mtu wangu kiboga
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 11 месяцев назад
Hahaha punguza vituko Joti
@glorycharles615
@glorycharles615 11 месяцев назад
Wandamba ndo tulioelewa hiyo nyimbo,wapi watu wangu wa malinyi,ifakara ,mtimbira,igawa 😅😅😅😅
@dreusebiusjmikongoti248
@dreusebiusjmikongoti248 11 месяцев назад
😄 Wamejitahidi kidogo, japo Kuna namna huo wimbo unaimbwa sijaipata Ile ladha! "Mnemele Mnemele mwana" likiimbwa ipaswavyo ni dude kuuubwa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 месяцев назад
Muwe mnauliza maneno namaana kabla yakuandika mtu mzima unashindwa kutamka mahari unasema mahali looh
@jpmanotaofficial9041
@jpmanotaofficial9041 11 месяцев назад
Kukaa tunakosowa vitu vya kijinga huku bandari inapigwa mnada
@yahyasuleiman4024
@yahyasuleiman4024 11 месяцев назад
Mahali?😊😊
@user-ik5cg3no8b
@user-ik5cg3no8b 11 месяцев назад
Joti on fire😅
@dreusebiusjmikongoti248
@dreusebiusjmikongoti248 11 месяцев назад
Hii "mnemele mnemele mwana" hamjaitendea haki! Kuna Ile accent ya Kindamba sijaisikia. All in all hongereni sana
@abdallahaboud6235
@abdallahaboud6235 11 месяцев назад
Vipi
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 11 месяцев назад
Unataka show tkunyonya macho😂😂
@allykijiwe1180
@allykijiwe1180 11 месяцев назад
Joti ni nomaaa sanaa
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 11 месяцев назад
Seald kabisa utakwangua mwenyewe vocha 😂😂😂
@Burner_Acc
@Burner_Acc 11 месяцев назад
Joti angalia wahariri wako wanaharibu lugha. Ni mahari sio mahali
@saleemmussah
@saleemmussah 11 месяцев назад
Ujui bongo kuna ugonjwa wa R na L 😂
@Mimy_keys
@Mimy_keys 11 месяцев назад
Na Sisi Tumalize Kimjini Mjini 😂😂😂😂😂😂
@directorsebastin
@directorsebastin 11 месяцев назад
Nakubali kazi joti By Director sebastin from 🇺🇸
@eggysulle7988
@eggysulle7988 11 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu 11 месяцев назад
Vijana wadogo hawakuwezi
@liylahahmed829
@liylahahmed829 11 месяцев назад
Mahariii😆😆😆😆😆
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 11 месяцев назад
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca
@samwelmasimba8284
@samwelmasimba8284 11 месяцев назад
Kazi nzuri sana joti👏👏👏
@swalesale2229
@swalesale2229 11 месяцев назад
💯
@juma2979
@juma2979 11 месяцев назад
Mahari na sio mahali
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
mama pili kitim tim ndo basii
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 11 месяцев назад
Anajua htr
@kalikenyata1881
@kalikenyata1881 11 месяцев назад
Nishawahi sitiiii😂😂😂
@azizally5283
@azizally5283 11 месяцев назад
Mambo ni moto kwa joti kama ufaransa na kunguni
@lucyhamad3042
@lucyhamad3042 11 месяцев назад
Hii nzuri Jori tv is on fire, 1mil
@Edouardozebr
@Edouardozebr 11 месяцев назад
Jamani wakwaza😂🎉
Далее
SHOGA KANIPONZA
6:59
Просмотров 571 тыс.
HELA YANGU YA MCHEZO
9:23
Просмотров 488 тыс.
MAHARAGE YA MBEYA
9:01
Просмотров 613 тыс.
ODO ANARITHIWA/Mtanga,Bambo na Msokolo /BABU NDOTO
8:50
Mzee Majuto  Lakuvunda Part One ( Cinema  YA Mwisho)
56:19
NAJIBRAND
9:04
Просмотров 460 тыс.
UTANI WA MCHEKESHAJI MPOKI KWA WANAWAKE WANAOVAA MAWIGI
10:26
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
Просмотров 469 тыс.
MGANGA MMBEA
9:33
Просмотров 578 тыс.