Kinara wa cord Raila Amolo Odinga ni kiongozi ambaye amekabili changamoto nyingi kwenye safari yake ya siasa.
Mwaka 1997 Raila aliwania kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha ndp akawa wa tatu, baada ya marais wastaafu daniel arap moi na mwai kibaki. Alibuni chama cha odm mwaka 2005 na kuwania urais mwaka 2007.
Uchaguzi ambao Mwai Kibaki alishinda japo ulizua utata. Raila aliwania tena kiti cha urais mwaka 2013 na kushindwa tena na uhuru kenyatta. Kwa sasa anakabiliwa na changamoto za viongozi wa magharibi na ukambani.
Kwenye mahojiano ya kipekee shisia wasilwa anatupakulia ndoto za kiongozi huyu wa upinzani.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya
19 сен 2024