Тёмный
No video :(

MAISHA BILA CHAMA YANAWEZA KUWA MAZURI ZAIDI -AHMED ALLY 

MAMA IGWE TV
Подписаться 624
Просмотров 4,3 тыс.
50% 1

Afisa habari wa Simba SC Ahmed Ally,amesema wanasimba msiwe wanyonge kisa Chama kuondoka Simba SC kwani maisha yajayo bila yeye yanaweza kuwa mazuri zaidi hivyo mzidi kuipenda Simba kama mnavyoipenda siku zote
"Wale mliyokuwa mnampenda Chama,Chama ameshaondoka ndani ya Simba SC lakini wale waliyokuwa wanaipenda Simba,Simba bado ipo
Maana yake ni kwamba tunapaswa kuendelea kuishi na misingi yetu ileile tukiyokuwa tukiishi nayo zamani ya kuipenda na kuisapoti Simba yetu
Simba ilikuwepo na itakuwepo ni sisi wana Simba sasa kukubali maisha mapya na inawezekana yakawa ndio maisha bora zaidi kuliko yale ambayo tungetamani kuendelea nayo

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3   
@neemagoyayi6142
@neemagoyayi6142 Месяц назад
Aisee
@NassorAliy-fz1np
@NassorAliy-fz1np Месяц назад
😢🥺🥺🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Далее
журавли в пятницу
00:14
Просмотров 87 тыс.
SIMU YA TAJIRI 'MO' DEWJI KMC COMPLEX
2:19
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
журавли в пятницу
00:14
Просмотров 87 тыс.