Тёмный

MAISHA YANGU NILIKOTOKA MPAKA HAPA NILIPO - KUHANI MUSA 

NGOME YA YESU KRISTO
Подписаться 136 тыс.
Просмотров 84 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 252   
@bwamijeannejo5473
@bwamijeannejo5473 9 месяцев назад
Ameeeen yesu akamubaliki Lichard ,mwacha Agapewa gali !¡Ameeeen yesu balaka iendeleya. 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@kasuziprosper3570
@kasuziprosper3570 Год назад
I like this testimony, very touching.
@sheydadyshedytz8821
@sheydadyshedytz8821 Год назад
Mungu naomba upokee baraka zangu fungua milango yangu fungua kazi zangu nifungue mwili wangu fungua kila kitu katika maisha yangu nikafanikiwe na kutukuza jina la bwana Yesu christu naomba unikomboe na unikinge na madui waovu mungu niponye amen🙏
@rehemaamani289
@rehemaamani289 Год назад
Yesuuuu nirejeshee kibali x7 namimi Leo
@rehemaamani289
@rehemaamani289 Год назад
Nataka nipate pesa nyingi yesu wa ngomeni niponye matatizo sugu yote yanayonitesa
@martinahaule4176
@martinahaule4176 2 года назад
love you pastor Mungu akupe maisha marefu
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 2 года назад
Heb heshimu cheo basi, ni kuhani na mwalimu musa Richard mwacha, nabii, mtume heb ACHA kutupwa cheo Cha chini
@heppy-rk7un
@heppy-rk7un 2 месяца назад
Mungu anipe kibali maisha yangu nigiza niombee mtumishi nifanikiwe mwaka huu
@paulinaalbert2475
@paulinaalbert2475 Год назад
Namshukuru mungu kufka ngomeni... Nashukuru yote kwako Yesu mwema
@WitnessHassan-gy3rz
@WitnessHassan-gy3rz Месяц назад
Kazi ya BWANA Yesu aina majuto BWANA Yesu akuzidishe
@salamawillilo4097
@salamawillilo4097 Год назад
Kadiri siku zako zinavyoongezeka ndivyo nguvu zako ziongezeke,na uwe kijana zaidi,Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu
@suzanakibasa-se3wv
@suzanakibasa-se3wv Год назад
Ameeen barikiwa sana
@adammdoloadammdolo5194
@adammdoloadammdolo5194 Год назад
Ameee God bless you pastor musa
@TheresiaWilson-k4x
@TheresiaWilson-k4x Год назад
Asante.BABA.yangu..wa KIROHO.kwamafundisho.bora.sana..mungu.akubariki.sana..najuta.nimechelewa.wapi.kukufahamu..nashukuru.mungu.kwakunifikisha.hapa.ngomeni.jamani.mungu.katupa.RAISI..waduniani.ni.huyu.MUSA
@jacklinedeo6840
@jacklinedeo6840 Год назад
Mungu aendelee kukubaliki na kukupa maisha marefu uendeelee Kiwahudumia watu na kuwasaidia uendelee na kipawaa alichokupatiia mwenyezi mungu
@marywanjikugodblssyou9248
@marywanjikugodblssyou9248 Год назад
Aminaaa Mungu aedelee kukuona .kuhani .naoba unitumie no ili uniunganise na ww vizuri Amen
@lucyezekiel3755
@lucyezekiel3755 2 года назад
Amina amina kuhani wa Kristo Yesu aendelee kukutunza na kukubariki zaidi hata Mimi nakumbuka ukarimu wako ulitutia moyo sana Mimi na mume wangu Ezekiel, Mimi ni kuhani Lucy Ezekiel.
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 6 месяцев назад
Mungu naomba Upokee Baraka zng, kupitia Mtumishi wk Kuhani Musa
@MariejeanneLusamba
@MariejeanneLusamba 9 месяцев назад
Mimi kweli siku kidogo nitakuwa hapo kwenye source ngomeni Yesukristu unilinde njiani ❤
@SmilingJellyFish-vf6xy
@SmilingJellyFish-vf6xy 10 месяцев назад
Yesu nimukubwa Tena niukweli Nachukuru Mungu Nimwema 😊 Ameeeeeeeeeeeena.
@JenniferMwaikuka
@JenniferMwaikuka Месяц назад
Mungu akubarik mtumishi wa Mungu
@jeannendayicariye8817
@jeannendayicariye8817 Год назад
Ameeeen
@AishaJambia-wi7ur
@AishaJambia-wi7ur 4 месяца назад
Madhabahu yako yameniokoa baba naitaji barak zako daima
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Год назад
I connect this annointing in Jesus name of Nazareth Amen 🙏
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Год назад
Amen alietaka kunihuwa hiyo mauti iyo mauti iwe juhu milele
@kelvinstephano8
@kelvinstephano8 6 месяцев назад
Ubarikiwe sana mchungaji mussa
@scolamanangwa8503
@scolamanangwa8503 2 года назад
Yesu mtunze baba yangu wa kiroho milele Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha kaza buti mpaka mikele🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@vanesalwaga4658
@vanesalwaga4658 2 года назад
Amen
@ashuramachinja
@ashuramachinja 3 месяца назад
Mungu akubarik sana mtumishi
@AishaJambia-wi7ur
@AishaJambia-wi7ur 4 месяца назад
Nashukur baba umeniponya na umenip wepec ktk maisha yangu
@LeahNyakundi-b5q
@LeahNyakundi-b5q Месяц назад
Umeponya wengi baba kuhani nawe nakuompea mungu akuponye pamoja na uzao wako baba na mungu akuongesee miaka mingi
@MariejeanneLusamba
@MariejeanneLusamba 9 месяцев назад
Mungu akubariki
@SelahTete
@SelahTete 7 месяцев назад
Nabarikiwa kuhani, Yesu anipe hatua zaidi.
@SamwelFilex
@SamwelFilex 10 месяцев назад
Mungu alikuita baba uwa okowe watu na dhambi na kutoka vifungoni yesu atukuzwe
@erickmallya1186
@erickmallya1186 Год назад
kuhani Musa naomba uniombee kuhusu maisha yangu nimeona miujuza ya kutosha ngomeni
@susanboke5040
@susanboke5040 2 года назад
Baba naomba maombi yako ili yesu aweze kuniiua nipate Kazi nzuri Baba
@sophiaaugu1392
@sophiaaugu1392 Год назад
Pole Sana dady hawakuijuwa kesho yako laiti wangaliijuwa wasingekufanyia ubaya.mageuzi ya yesu hayalinganishwi waliokutazama kwa macho ya nyama ya kalibu yesu alikutazama kwa macho ya rohoni ya mbali Sana kitaifa,kimataifa na dunia nzima utasikika na kwenda mbali sana.goliati,farao nebukadreza walikupiga Vita wakafeli.wakomae siku zinakuja hautawaona tenaaa
@rosembwambo6079
@rosembwambo6079 Год назад
Kuhani Musa, ninaomba uwakomboe wanangu ...Mungu akuinue duniani kote ukawaponye wote watesekao...Ameen
@rachelkimambo9804
@rachelkimambo9804 Год назад
Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe, samahani naomba kamati ya huduma iangalie hilo neno Amen au Amina linatumika vibaya au ni uelewa wangu. Kila kitu ameeen. hapana jamani tunashindwa kuwa makini.
@SamwelFilex
@SamwelFilex 10 месяцев назад
Mungu akubaliki
@mwajumamwamba
@mwajumamwamba Год назад
Baba nimependaa history yako ❤❤❤❤❤❤❤❤Amiiiiiiinaaaaaaaaa
@mankamushi4588
@mankamushi4588 2 года назад
Yesu mtunze kaka yangu mkiboaho mwenzangu kuhani na mwl Musa Richard mwacha .mungu Ana makusudi yake kumleta hapa duniani.
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 2 года назад
Sawa
@bwamijeannejo5473
@bwamijeannejo5473 9 месяцев назад
Yesu. Nimukubwa. Ameeen
@aineskabonaki-ze6tv
@aineskabonaki-ze6tv 6 месяцев назад
🎉 youpi Mungu hibou la maisha yangu
@NenolabwanaSifayabwana
@NenolabwanaSifayabwana Месяц назад
Amina,Mungu akulinde n'a waovu
@Witness-pu7kf
@Witness-pu7kf 10 месяцев назад
Ninajivunia sana kufika Ngomeni maisha yangu yamebadilika na mengi najifunza kupitia madhabahu ya yesu kristo
@LadouceIranyibutse
@LadouceIranyibutse 6 месяцев назад
Watu waburundi tunapenda ngome yayesuuuu saaaaana n'a mungu atusaidie tutafik uko
@SmilingJellyFish-vf6xy
@SmilingJellyFish-vf6xy 10 месяцев назад
Kabisa Baba. Musa Lichard Mwacha
@adijamkumbege6922
@adijamkumbege6922 Год назад
Mumgu akuliende mtumish unipmbee mungu snifungulie milango ya rzki
@KhadijaKiula
@KhadijaKiula 5 месяцев назад
Bab mungu ukuweke
@WitnessHassan-gy3rz
@WitnessHassan-gy3rz Месяц назад
BWANA YESU akutunze baba yangu akupe miaka mingi hapa duniani uzidi kuwafungua watu katika vifungo vya shetani
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 года назад
Kuhani naomba umuombee mdgo angu anaitwa sirivano apate kazi amesoma xna lakin kazi hapati👏👏
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Год назад
Amina napokea naiwekwangu Sasa sibadae nisasa Amen
@MakrinaKihundo-r4y
@MakrinaKihundo-r4y Месяц назад
Naomb mungu unibariki n kunikumbuka kupitia madhabahu hii❤❤❤
@razimatushinde
@razimatushinde 3 месяца назад
Kuambatana na yesu kuna faida,kumtegemea kristo yesu kunalipa.ukimtumikia kristo yesu yeye naye huyatumikia yetu.ukitoa unapata.maombi yanayoambatana na sadaka yana nguvuu.hakika yesu wa ngomeni ni kiboko.yesu aliye ndani ya kuhani mussa ni amina,hakika na kweli.kristo yesu akupe kuishi kwingi balove.
@photupaschal9410
@photupaschal9410 2 года назад
Mungu aedelee kukulida sana mtumishi wa mungu
@lahabesheuya1257
@lahabesheuya1257 Год назад
Mungu kupitia kinywa cha kuhani uliemtuma kilamchawi aliegusa maisha yangu yamume wangu watoto wangu afee
@AishaJambia-wi7ur
@AishaJambia-wi7ur 4 месяца назад
Baba maombi yako yamenisaidiy wachawi wanao nifatiriy wengine wamepararaiz nashukur madhabau yangome yakuani musa
@bwamijeannejo5473
@bwamijeannejo5473 9 месяцев назад
Amiiiiiina Baba Ukaenda kujenga. Nyumba yako hee??!!!
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 2 года назад
Daaaaa pole sana mungu kakufunulia njia zake
@amosnyongesa9160
@amosnyongesa9160 2 года назад
Wengine wame fanya watu kuwamungu kwao, amen amen umekusa moyowangu ubarikiwe Sana
@scolarjapheth3249
@scolarjapheth3249 2 года назад
Mungu kumbuka familia yangu
@marcelomwanda6782
@marcelomwanda6782 Год назад
Blessed are those give God will reward thema all
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 2 года назад
Niombee na mimi niweze kufanikiwa mungu utujalie afya njema
@christinaaminakuhanimateo3380
@christinaaminakuhanimateo3380 2 года назад
Baba Asante MUNGU akulinde sana Tena sana
@elizabethamini4801
@elizabethamini4801 Год назад
Mungu azidi tuh kukutumia na ufike mbali kimaono🤲
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 года назад
AMINAAA SANAAAAAAAA. MUNGU AKUPE DALLOR ZAIDI KWA JINA LA YESUU.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Yesu ataniogesha Na Mimi hakika kama Ulivyoogeshwa
@helenkimo1078
@helenkimo1078 2 года назад
Ameeen Ameeen Ameeen i receive 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@christinamlama9508
@christinamlama9508 2 года назад
Amen
@AnnieLubinga
@AnnieLubinga Месяц назад
Amina,naminiya saana uyu mungu
@norahenock7885
@norahenock7885 2 года назад
Mungu amtupi mja wake,,ukimuomb anajibu kwa wakati Amen
@emmymsigwa1468
@emmymsigwa1468 Год назад
Amen iliwahi nitokea hiyo roho inakusukuma kampe mtu kitu flani hata ukijikaza bado unasukumwa
@ishikcharity3853
@ishikcharity3853 9 месяцев назад
Aminaa sanaa
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Год назад
Naungamanisha nyumba ya Baba yangu na mama yangu nauchumi wangu na nyumba ya Baba yangu na uduma hii milele
@MalikiaRecho
@MalikiaRecho 4 месяца назад
Aminaaaaaaa baba
@gildopitapita1383
@gildopitapita1383 Месяц назад
Amen Amen Amen
@LeahNyakundi-b5q
@LeahNyakundi-b5q Месяц назад
Asante yesu
@DoraSamson-co5mo
@DoraSamson-co5mo 6 месяцев назад
MUNGU akisema ndio hakuna wakupinga
@SerahMutunga-po1ko
@SerahMutunga-po1ko 3 месяца назад
Amina..woooi
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 2 года назад
Mungu Akutunze Baba yng
@coletasilayo8771
@coletasilayo8771 2 года назад
Amina dady.inuliwa zaidi hadi dunia ishangae
@MelisaJamesy-je6fw
@MelisaJamesy-je6fw 4 месяца назад
Amiiiiiiiiiinaaaaa baba❤❤❤❤❤
@teddymboya1437
@teddymboya1437 2 года назад
Nimelia kuamzia ulipokuwa mdogo mpaka kufika ikulu nisaidie baba nazaraulika amina
@ZilipaBalalu
@ZilipaBalalu 2 месяца назад
Ngome ya yesu. Mbele kwa. Mbelee
@oscarnyakunga3113
@oscarnyakunga3113 2 года назад
Mungu mwema kabisa kabisaa Icho kibari ubarikiwe
@mondlentonnah3227
@mondlentonnah3227 2 года назад
Am be blessed with a profate of God🙏🙏🙏🙏
@marymtenzi7871
@marymtenzi7871 2 года назад
Amen
@SarahAmos-v6r
@SarahAmos-v6r 9 месяцев назад
Ngomeni Mungu amemleta Mtumishi wake kweli kweli
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Amen na Iwe hivyo ,huyo mtu anafanya niogope huko
@anneorina3893
@anneorina3893 2 года назад
God bless you.
@gordfreysangawe7535
@gordfreysangawe7535 Год назад
Ni kweli hata kujinyonyesha ulijingonyesha mwenyewe undelea kuwadanganya wa Mungu
@AngelJohnson-q5p
@AngelJohnson-q5p 6 месяцев назад
Wapinga kristo hamu kosekani
@hassantamim6867
@hassantamim6867 Год назад
Amina baba mung atakuripa
@prosperjuma905
@prosperjuma905 2 года назад
Hiyo amen amen..inatumika vibaya
@RehemaMuya-zk7ld
@RehemaMuya-zk7ld Год назад
Mtumishi wa Mungu, Bwana Yesu Atukuzwe-Milele Amina.Ubarikiwe Sanax 3 Isaya 41:. 8 - 20 Napenda sn Mafundisho yako, Kwa sababu ni ya Kiroho Zaidi yanafundisha na kugusa mioyo ya watu - Amina.
@ashuramachinja
@ashuramachinja 3 месяца назад
Aminaa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Congo kiukweli kuna Nguo nzuri za Kila Aina
@apendaelmsuya4370
@apendaelmsuya4370 Год назад
Amina
@MariejeanneLusamba
@MariejeanneLusamba 9 месяцев назад
Kweli nikifi ntakushuru Mungu mbele ya umati wawatu.
@TheresiaWilson-k4x
@TheresiaWilson-k4x Год назад
Amen
@ColetaSikuzane-gl7du
@ColetaSikuzane-gl7du Год назад
Asante kwaneno baba
@saraphinaSamweli-rv7bv
@saraphinaSamweli-rv7bv Месяц назад
Amin yes na mm nbarki
@helenkimo1078
@helenkimo1078 2 года назад
Napokea 🙏🙏🙏🙏🙏🙏Ameeen
@FreliusFrance-sk4ov
@FreliusFrance-sk4ov Год назад
Najiungamanisha na muujiza huu
@ruthzumba96
@ruthzumba96 2 года назад
Eee Mungu wa kuhani Musa naomba unisaidie niondokane na ugonjwa nilionao
@LionelJospin-ju9bt
@LionelJospin-ju9bt 2 месяца назад
amen
@felisterandrew8418
@felisterandrew8418 2 года назад
Amen baba sema yote hayo 😭😭😭😭😭😭
@noelapierre1605
@noelapierre1605 2 года назад
Bishop hilibarike sumbe
@edmundkapondo4042
@edmundkapondo4042 2 года назад
Amina na ndo inavyotakiwa 🙋
@princemozes9923
@princemozes9923 3 месяца назад
Ameni,👍👍👍👍
Далее
NAH UH
00:17
Просмотров 2 млн
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,9 млн
NDOTO NA TAFSIRI ZAKE - KUHANI MUSA
47:52
Просмотров 14 тыс.
Niliwekwa MSUKULE dukani kwa muda wa miaka 12
33:30
Просмотров 63 тыс.
MAOMBI YA KUONDOKANA NA NYAKATI MBAYA ZINAZOKUANDAMA
19:47
MUDA WA KUFANYA  MAOMBI YA SHABAHA - KUHANI MUSA
24:28
NAH UH
00:17
Просмотров 2 млн