Тёмный

MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA PILI || Muhammad Bachu || 2023. 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 49 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 379   
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 Год назад
Hivi mpaka iweje ndiyo mtamuelewa Muhammad Bachu!! Hana uwezo wakuwazuia kufanya biashara zenu lakini anawafafanulia kwa mapenzi mujiondoe katika uovu na msiwapeleke watu kwa mapenzi yenu katika upotofu. Allah atuongoze sote.
@dachala-jz7pc
@dachala-jz7pc Год назад
Mashallah Allah atueke sehem moja atujaalie tuwe kitu kimoja ktk Imani ya uislam kwa Yale yalio ya hakki anayo yaridhia Allah
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 Год назад
Baraka LLAH fik, Simba mwana wa Simba ALLAH akupe umri mrefu swiha njema na uwezo wa kuwanyosha hawa watu, ALLAH akulinde na kila aina ya shari maana washirikina wana vitimbi, tuko pamoja nawe bega kwa bega, wewe Simba mmoja umezungukwa na koko wengi sana na fujo zao za kubweka wala hushtuk, hoja zako safi wao hata hawaeleweki hawana mashiko.
@thedon8467
@thedon8467 Год назад
Ameen
@mussabinyussuf945
@mussabinyussuf945 Год назад
Sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya allah yaarabbi mzidishie elimu sheikh wang sheikh muhammad bachu mashallah
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 Год назад
Tunakuelewa Shekh vizuri kabisa.usitusahau kwenye Darsa ya Lugha ili,tuwe tunakwenda sambamba.Shukran.
@hammadaliomar4556
@hammadaliomar4556 Год назад
Wanajifanya hawajaelewa illa Allah anajua kua wameelewa Ila wanajifanya Kama wale Allah anavosema, viziwi, mabubu, vipofu hawaamini. Endelea kuwaelimisha
@salimkhatri8064
@salimkhatri8064 11 месяцев назад
Pia tuwaombee kwa Allah wawaongoze kwenye njia sahihi. Hawa ni ndugu zetu na waumini wenzetu lakini Iblees naye yuko kazini. Njia sahihi ni kuwafahamisha kwa utulivu na hikma kwa kutumia dalili za Qur'an na hadeeth sahihi. Tusimpe nafasi Iblees kuwatia hasira na kibri kukataa kusikiliza dalili za Qur'an na hadeeth. Lengo ni kutaka radhi za Allah ili kesho atuepushe na moto wa jahanam na sisi tuweke malengo ya kutaka kuwasaidia hawa ndugu zetu. Allah atupe hikma na elimu ya kuwasaidia wao na sisi pia. Inshallah.
@omarsaidbarisa4677
@omarsaidbarisa4677 Год назад
Maa shaa Allah imeeleweka sheikh Mohammed Allah akuzidishie elimu na maarifa hakuna mambo mengi ni vitabu tu vifunguliwe haki ibainishwe.shukran sana
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Год назад
Sheikh Muhammad bachoحفظه الله
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Год назад
Elimu yako ni Barka na duaa za mzee wako SHEIKH Nassor juu yako.. ALLAH akuhifadhi Sheikh Muhammad..
@saeedabunajash6235
@saeedabunajash6235 Год назад
Amin
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Год назад
@@saeedabunajash6235 Anao uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuvunja hoja kwa Dalili..
@ameirameir4349
@ameirameir4349 Год назад
Hongera unazungumza kwa hoja na dalili tupu, wapinzani wako hawana dalili.
@hassanabdalla746
@hassanabdalla746 Год назад
Sheikh Allah Akuhifadhi Uzidi kutuelimisha. بارك الله فيك
@saeedabunajash6235
@saeedabunajash6235 Год назад
Amin
@ahmadmanswab
@ahmadmanswab Год назад
Huy hawlimishi wallah yuwapoteza
@hassanabdalla746
@hassanabdalla746 Год назад
@@ahmadmanswab huo ni mtazamo wako Tatizo lenu watu wa twarika muko na maneno ya lesso hamuna dalili
@mbaroukkhamis4191
@mbaroukkhamis4191 Год назад
Wachakukurupuka mtoto wa bachu akili yako inakupeleka vibaya na kundi lako unalolipotosha ,usitake kujifaharisha Hali yakuwa hunaukielewacho kwenye barazanji wachakujipoteza na kujitafutia laana zaidi unaelekea pabaya shekh
@mbaroukkhamis4191
@mbaroukkhamis4191 Год назад
Asie na mwalimu shekh mwalimu wake Huwa shetani tafuta mwalimu mtoto wa bachu ukapige magoti uanze kufundishwa barzanji labda utaelewa yaliomo
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 Год назад
Tupo pamoja shekh bachu, hakika hili darasa la leo umetowa ushuhuda mkubwa kuhusu maulidi kwamba hayafai
@midahalomwanga9328
@midahalomwanga9328 Год назад
Mashaallah allahumma barik alaihi
@abdallahmwabungale
@abdallahmwabungale Год назад
Ma Sha Allah Allah Akulinde na Kila aina ya Shari,,,Na Kama Haumuelewi Sheikh Basi juwa Akili Yako haina Akili Ndani
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 Год назад
Raha sana, aitha waongoke au wazidi kupotea (fikulubihim maradhun fazadahumuLLAHU maradhwa)
@abdallahshomari793
@abdallahshomari793 Год назад
Allah Akujaalie Kila La Kheir....Waambie Ukwel Hao
@maallimumusa6085
@maallimumusa6085 Год назад
Allah akupe nguvu kwa kuifahamisha haqi Awa washirikina allah atawa dhalilisha
@naahla19
@naahla19 Год назад
Maasha Allah. Barakallahu feek
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 Год назад
Wauza pweza hawana hoja, kaka nakupenda sana kwaajili ya Allah simamia haqi Allahu maalihaq
@ahmedseif743
@ahmedseif743 Год назад
tupo PAMOJA mwalimu wangu na kipenz changu kwa ajili ya ALLAH akuhifachi akupe umri mrefu ili umma upate faida kubwa kupitia elimu yko
@mussanyangasa6049
@mussanyangasa6049 Год назад
Upovizuli sana muhamad Bachu ukweli maulidi ni bidhaa tuwaaombee Mungu watu wamauli Mungu awaongezee waijue haki waifate amyi
@thefoodshaikh811
@thefoodshaikh811 Год назад
Ni washirkina kama mashia tu wakishafika hizo ziara za makaburi ya maiti wao.
@shariffomar
@shariffomar Год назад
Hata kama hujasoma lkn hapa wamezidi kuomba makaburi usichoke kuwasomesha sheikh bachu tunakuelewa vzuri Allah akuzidishie kila lenye kheri
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Год назад
حفظك الله يا غالي
@zaydamos874
@zaydamos874 Год назад
Sheikh hakika mwenyezmungu akulipe kheri nyingi sana Dunia na akhera kwa ukwel na elimu nzur
@Ali-lt3xn
@Ali-lt3xn Год назад
Dah wakiamua kukuchukia wakuchukietu lkn unawatwanga kwel kwel
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 Год назад
Baraka llah fikum
@shaibuhammad-l6d
@shaibuhammad-l6d Год назад
Mungu akujaalie
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 Год назад
Wanasema wanaopenda mtume wakati sunnah ndogo tu ya kufuga ndevu imewashinda videvu vyao kama mayai wengine katika wao wananyoa ndevu wana acha masharubu wamekua banian sasa wataipenda sunnah gan
@azgaraligulamhusseinnargis5949
Kusema ukwli ustdh Mohd bachu nakubali coz unasema na unatoa point ymana lkn hawa maustdh wngu hwa wengne sijawtukana bali nasema mbna hwtoi point vzr
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Год назад
RAMADAN IMEFIKA WACHENI MAJUNGU .
@suleimanabdul-karim1212
@suleimanabdul-karim1212 Год назад
Allah akubark
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Год назад
Wakiona comment zawatu kuuwelewa ukweli wanachukiya, shabbbash watu wamepigwa kwenye mshono shekh ww endeleya kuwasafisha biidhini llah watanyookatu
@abdulshah918
@abdulshah918 Год назад
Maashaalah brother you are okay 👌
@faizamri7144
@faizamri7144 Год назад
Mashaallah
@asiahamis7893
@asiahamis7893 Год назад
Itakuja kufikia kika kitu kwenu bidaa kuomba Dua pia bidaa jaman bac ata adhana bidaa acheni kuleta hoja zenu za kipuuz ss tunataka tufundishwe din yetu tuijue na sio kutuonyesha sifa za mabishano yenu hayana faida kwetu
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 Год назад
Tumshukuru Allaah kututoa katika Usufi. Katika nchi za kwetu masufi wanafuata usufi wao kwa upofu. 99.99% katika wao hawajui hata wanachokisema ktk vitabu vyao vilojaa ushirikina
@aymanmangube4092
@aymanmangube4092 Год назад
شكرن وجزاك الله خير
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Bachu piga aoo maghurafiii
@yassinm69
@yassinm69 Год назад
Yussuf Diwani ni mchezaji wa Movie
@mbjunior166
@mbjunior166 Год назад
Ni mpiga ramli na mtazamia nyota pia usisahau!
@kombojuma7835
@kombojuma7835 Год назад
Kama una group whatsup naomba link nipate kujifunza zaidi
@dogomsanii5899
@dogomsanii5899 Год назад
Mashaallah mwalim wangu
@idrisjames9392
@idrisjames9392 Год назад
Mashaallah shekh bachu Dawa lazima iwaingie watu wa maulidi
@issahassan8361
@issahassan8361 Год назад
Mashallah Mzigo sijaumaliza lkn uko poa hayo ndio mambo tunayataka
@nassormbarouk6824
@nassormbarouk6824 Год назад
Allahu Akbar 🤲. Allah akuzidishie elimu yako.
@Ally-ts5gk
@Ally-ts5gk 5 месяцев назад
Hawa si mawahabi bali ni mayahudi wakasome tena dhehebu hili limeshidwa hoja na elimu kwani elimu ya dini ina mapana sometimes mawahabi
@jumamkuya9268
@jumamkuya9268 Год назад
Mawahabi mnapoteza watu bachu usitafute umaarufu kupitia dini kua makini
@mahfoudhally2879
@mahfoudhally2879 Год назад
Unaweza kumwambia mtu ewe mwenye kutushibisha kwa sababu kutununulia chips but haimaanishi kuwa kuyo ndie anaetoa risk au kushibisha but yeye ni sababu ya kushiba sisi kwa kutununulia chips
@saeedabunajash6235
@saeedabunajash6235 Год назад
Aina ya mfano kama hio Al Akhy kashadadavua tangu darasa ya mwanzo, Alhamdulillah tumemuelewa, mtu hawezi kumuelewa huyu mpaka moyo wake kwanza uwe umefungamana na kumpenda Allah
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Год назад
Ebu Soma Ulicho Andika Mim sikusoma Dini Vzl Ila Mpka hapo Umeshaingia Kwa Shirkii Soma Maelezo Yko vzl Mpka Hapa Unatakiwa Kumsabihii Mungu Wako
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Год назад
Et Weee Mwenye Kutushibisha Daah Mtian huu Cjui Kwann Nyinyi Watu wa kupiga Ngoma Yni Maulidi Mnapenda Shirki Sasa hii Kauli Yko Uwoni kma Kauli Yko ipo kishrikina Zaid 😭😭
@badrudinsalum3139
@badrudinsalum3139 Год назад
Ndugu yangu hebu kuwa mkweli, wewe binafsi ulishawahi kumshukuru mtu aliyekupa chakula kwa kumwambia nakushukuru sana ewe mwenye kushibisha?
@badrudinsalum3139
@badrudinsalum3139 Год назад
Ndugu yangu hebu kuwa mkweli, wewe binafsi ulishawahi kumshukuru mtu aliyekupa chakula kwa kumwambia nakushukuru sana ewe mwenye kushibisha?
@BuanaCabo
@BuanaCabo Год назад
Masha allah,mungu akuhifadui.
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 Год назад
Hawa masheikh wengine watetea tumbo lao wapate riski twajua maulid na bidaa
@muhammadnassor2389
@muhammadnassor2389 Год назад
ما شاء الله جزاك الله خيرا
@gallacherjnr352
@gallacherjnr352 Год назад
Ngoma za harusi na maulid haramu ipi sheikh ulicheza Ngoma za harusi miaka yote uzeeni ndio umejua halal na haram wacha kutupotosha
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Год назад
Diwani Na Kikundi Chake Hawana Hoja Za Kiushaidi wa Qur'an na Adith Sahihi Wamebali Kutukana na Kumkejeli Sheikh Mohammad Bachu 😂😂
@alf8177
@alf8177 Год назад
Na comment wamefunga kwa woga uliowazunguka
@abdalahmsigiti5308
@abdalahmsigiti5308 Год назад
Kweli mawahabi mnaelimu haba we mtoto wa bachu huna sumu rudi ukasome tena
@HarunaMohamed-ui7nq
@HarunaMohamed-ui7nq Год назад
Mmekosa kazi nyie,wenzenu
@hameidseif7083
@hameidseif7083 Год назад
heeee
@Ally-ts5gk
@Ally-ts5gk 5 месяцев назад
Baba yako hakuwa hivyo wakati wewe hujazaliwa mawahabi ni mayahudi mtu anaempinga mtume ni kwamba hakumsoma huyo mtume mwenyewe
@alimasiga8422
@alimasiga8422 Год назад
Siku zote haki hujitokeza hata ikafichwa kwa miaka alfu
@mahirsin1094
@mahirsin1094 Год назад
علي hivi nimgon mwa jina ya mungu
@mansouromar3493
@mansouromar3493 Год назад
Assalamu alaikum warahmatullah wabarakatu , Ahsante akhi hawa watu wa maulidi nisawa na wakristo hoja zao hazina mantiki na hakuna siku mpiga maulidi atakupa hoja na akupe dalili Allah atunusuru.
@sama-_8368
@sama-_8368 Год назад
Yaani hadi nashangaa wanao koment kukushangilia wote hawa wanajielewe kweli? Huwa wanasikiaga kweli na majibu unayo jibiwa? Hapo napata picha kuwa kweli wenda hao wanaokoment ni kweli ni "GENGE" imelitengeneza Sasa ndugu kubali mjadala wa wazi na Sheikh Sabas!!!!
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 Год назад
Kweny ganju ameuwaaaa
@alf8177
@alf8177 Год назад
Kuna chengine kinaitwa SAALTUKA YA MAWLAYA TAFRIJA KURBATI hicho ndio balaa, shirki tupu, hicho kitabu kinaitwa ADHKAAR WAL AWRAAD mashirki ya kuwaomba mashekhe hata shekh Abdalla Saleh farsy katika kitabu chake kinachoitwa BIDAA, pia amebainisha shirki zake
@AliAlichaurojo
@AliAlichaurojo 11 месяцев назад
Yapo zaidi ya maulid yote ya yabainishe tupate elimu
@sakinajuma1135
@sakinajuma1135 Год назад
Unadanganya sana wasioisoma Qur-an vzuri, acha uongo ndugu, elimu yako ni ya chini kabisa, unatafuta sifa za kijinga, hebu rudia aya ya 171 ya suratul Baqra (Sura ya pili) kuna tofauti ya dua'a na nida'a acha kudanganya Wapumbavu wenzako.
@midahalomwanga9328
@midahalomwanga9328 Год назад
Ya rabbit tunakuomba kwa huruma yako mauling itoweke na waislamu wanyonge wanaodanganywa na mashekh wao wagoner haki waifuate na baada ya hapo waislamu tuungane tuwe kitu kimoja
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Год назад
Masha'Allah
@allyfutto8763
@allyfutto8763 Год назад
Darili za kiama hizi pia wasomi wanafarakana na kudharilishana ilihali wangekaa pamoja FARAGHA wakanyooshana (MARUMBANO)
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Год назад
Shekh hapa hapana malumbano hapa unafahamishwa ww namm au ww ulikuwa ukiyajuwahaya shekh mche Allah shekh Ittaq llah
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Год назад
Sheikh Mohammed Bachu Wachana Na Hawa Magadida kina Diwani na Wanafunzi wake Maana hawa Wote Ni Wapotoshaji Umah
@hamisikibavu4070
@hamisikibavu4070 Год назад
Mwache awanyooshe vijana wanapotea lazma waambiwe ukweli
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 Год назад
Ndio lazima awanyoshe Kwa hakki
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 Год назад
Wakienda kuzuru huwa ni kipato chao kuna pesa wanatoa
@kijakazimussa2060
@kijakazimussa2060 Год назад
Pp lkn usijiachie kijana endelea kusoma utakuwa vizuri zaid
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Год назад
Wanajua wanachofanya ni makosa but wanaangalia matumbo yao yapate kushiba
@abdallaheji1269
@abdallaheji1269 Год назад
Masalafi hua mna shangaza sana.shekhe wenu ibn taimiya alipokufa mlikaa masiku mengi mnafanya dua mausiku na mchana leo hii waislam wakienda kufanya maombi kwa waja wema mnapiga kelele
@alf8177
@alf8177 Год назад
HATA KAMA NI KWELI HAYO MADUA ALIKUA ANAOMBWA AU ANAOMBEWA, LAZIMA UTOFAUTISHE KATI YA HAYO MAWILI. KUMUOMBEA MAITI NI JAMBO LINALOTAKIKANA KATIKA DINI LKN KUMUOMBA MAITI NI SHIRKI
@amissandayishimiye-su4wm
@amissandayishimiye-su4wm Год назад
Hao watu wa maulidi hawaongei point hata hawa tueleweshi kwa kujitetea ili waeleweke.maulidi bidaaa kwa dalili zilizo dhahiri.Allah atuweke mbali n'a shirki
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Hivi sufi atachomoka vipi hapa?
@mwalimumuhidini1544
@mwalimumuhidini1544 Год назад
Nyie wakereketwa haya yote yeshafahamishwa na Kama kulingania hapa kafeli maana amerejea na kazunguka Mambo ambayo watu weshakinai kwa hoja za Shafii Salim na wengine hebu mtafute nadhani utamuona bachu Kama kikaragosi
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 Год назад
Comments 141 ,mmoja tu ndo kaenda negative
@muddybreezy4595
@muddybreezy4595 Год назад
Unajua haswaa kunifurahisha Akhy❤️ Allah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika sisi tupo na wewe bega kwa bega
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 Год назад
Naam
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Год назад
Ma Shaa Allah endelea na Rudud wanafunzi wako tuko nyuma yako tukikuombea Elim zaidi na duaa tukikuombea Nakupenda sana Sheikh Muhammad bacho tuko nyuma yako usijisikie unyonge tuko nyuma yako warudi kabisa hawa masufi ....halafu huwa wanafunga sana comment tusicoment ajabu sana hawa masufi
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 Год назад
Wanaogopa watachambuliwa kila nukta. Iwekwe sawa ndomana Walillahil hamdu dawaa tumeipokea Allah atuthibitishe
@alybinmana6197
@alybinmana6197 Год назад
@@swaumamiriy2234 Hawana hoja ndio maana wanafunga comment
@swaumamiriy2234
@swaumamiriy2234 Год назад
@@alybinmana6197 ndio halafu wanahis sisi kukoment kwa sh.muhamad bachu ni kufanya ghuluu ss tunafuata haq ilipo, km matango pori walitulisha lkn sio ssa
@alybinmana6197
@alybinmana6197 Год назад
Hatarudi nyuma
@yussufmassoud2790
@yussufmassoud2790 Год назад
mm na shangaa hawa wanaojiita masufi xjui kwa nini wanafunga comment yaani hii inadhihirisha kuwa wamekosa kujiamini
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Год назад
Yaani Me Mfatiliaji sipitwi na Vedio xa Sheikh Bachu Na Hawa wengine ninachokiona Ni Kutokubal kama Sheikh Yupo Ktk Haki wanaumia Kwann Kijana Huyu Haendani na matamanio Yetu tatizo lipo wazi Ukwel Siku zote utakujja Juu na sasa Sheikh anatuletea Wengi tumefunguka Kifikra Sheikh Mkono kwa mkono mpka Firdaus
@muahammedseif
@muahammedseif Год назад
Nikiwaskiliza wale jamaa hua naisubiria point itoke lkn mda wangu wote pamoja na MB zangu zinapotea Bure ..lkn Kwa Al akhi Ma Sha Allah mpaka moyo unakua na furaha Kwa uwazi wa pont zako ma Sha Allah
@MohammedOmar-wt3vg
@MohammedOmar-wt3vg Год назад
Wazi kabisa👍
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Год назад
Kabisa yaan ukimsikiliza bachu roho inapenda ila nashangaa hao watu wa maulidi wanaropokwa tu ila hawatoi point mbona km anavyotoa sheikh bachu
@ismailowino2866
@ismailowino2866 Год назад
Mimi hata upuzi wao naskikiza tu dakika moja mbili za kwanza!
@khalidjamadi6016
@khalidjamadi6016 Год назад
Lakini jamaa si ameomba Munaqasha ili tujuwe elimu na ukweli uko wapiiii?
@khalidjamadi6016
@khalidjamadi6016 Год назад
Tena katuma barua na kutuonyesha na kasema kwenye Video (RU-vid)
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Год назад
Allah akuhifadh Sheikh wetu Muhammad Bachu, na wakikunyamazisha bac na sisi tunainuka kuitetea Sunnah
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Allaah akulinde na akuhifadhi Shekh Muhammad na Shari zote za wenye kuku tazama kwa macho ya husda na uaduwi. Na tuna muomba Mola Mlezi wetu akupe umri mrefu na afya njema, ili bayana ifike mahala husika
@mgungachannel9280
@mgungachannel9280 Год назад
Maashaa Allah unazungumza kwa dalili na wao pia wajibu kwa dalili kama wao niwakweli sio kulumbana
@lillaahilhamdutv5383
@lillaahilhamdutv5383 Год назад
Mmmmmmh waweze nihame tz
@lillaahilhamdutv5383
@lillaahilhamdutv5383 Год назад
Kinywaji chao ni hawaaaaa
@ahmadabdallah740
@ahmadabdallah740 Год назад
Al hatimy na diwani jogoo limeshawika na asubuhi kumeshapambazuka na watu wameshainuka ... mulidanganya watu kwa miaka mengi lakini Allah aliahidi hii dini yake atailinda yeye mwenyewe na Allah huwa ana majeshi yake na mmoja katika jeshi la Allah ni sheikh muhammad bachu Allah amuhifadhi na amlipe mema hapa duniani na kesho akhera endela na kazi yako sheikh yakuelimisha watu na usichoke biidhnillah
@hamadshaibu6013
@hamadshaibu6013 Год назад
mm nasema hivi Allah sw ndie anaejua kila kitu lkn mwendo wako kijana muhamad bachu unasababisha mvurugano wa dini na si jambo zuri mm kma mm nna waswas cjui kna hujanunuliwa na makafir uharbu din ya uislam kwani unakosa ata hekima ya din msiba mkubwa yaani waislam tumekua hiv baada ya kuendesha mbele dini tunafanya ujinga wa kujadiliana
@hamadshaibu6013
@hamadshaibu6013 Год назад
jitafakar ww unayofanya yote Allah sw ameyaridhia na una uhakika wa ibada zako kma ndizo ktokana na vtabu unavosoma? nakunasihi tujitosheleze ile tawhid ulioisema na ww uwe nayo kwamb Tumuache Allah sw awe kila kitu
@hamadshaibu6013
@hamadshaibu6013 Год назад
ndio cio vbaya watu kuomba kupitia Mtume saw kwan yy ndio muombezi wetu wala hutoenda kuitwa ww unaepotosha watu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Sijaona mpaka sasa wa kujibu hoja hizi za huyu kijana Naona kelele tu
@suleimanahmadaali5989
@suleimanahmadaali5989 Год назад
Baaraka Allah laka Ushahidi na hoja zako ziko wazi kwa wenye akili timamu
@husseinmahmoud7000
@husseinmahmoud7000 Год назад
Kabisa
@abdallahhamad8808
@abdallahhamad8808 Год назад
She muhamad Allah akupe hifadh ili wale wenye kulinda matumbo yao wabadilike inshaallah
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Год назад
Allah akulipe kheri na akuzidishie ilmu Al akh Abuu muhaddith Muhammad Bachu,,, hakika unafanya kazi kubwa sana katika dini yetu ,,,wabainishe hawa makhurafi masufi maovu yao ili waislamu wawafahamu ,,,,wala usirudi nyuma kwenye kazi hii hakika waislamu wanafaidika sana ,,, Allah akulipe kheri na akutilie baraka kwenye ilmu yako aaamiin
@abynduwimana1767
@abynduwimana1767 Год назад
Mhamedi bachu nakupenda kwajili y'a allah kwasababu wewe nimkweliii
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Год назад
MAASHAALLAAHU. SISI HATUKUSIFU ILA JITIHADA UNAFANYA. MAADUI WATAONGEZEKA LAKINI GIZA HALIWEZI KUUZIMA MSHUMAA .
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Год назад
Diwani Nataka Umjibu Sheikh Mohammad Bachu Kwa Hoja za Kiushaidi wa Qur'an na Adith Sahihi Na Sio Maelezo. Atutaki Maelezo Diwani Hii Sio Siasa Tunataka Ushaidi Kma Anavyo Fanya Sheikh Mohammad Bachu
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Год назад
Hizo hoja azitoe wapi
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 Год назад
Asalaamu alaykum shekhe bachu? Allah akuongoze mimi kiukwel tangu nimeanza kukufatilia nimepata elimu kubwa sana na pia nimekua answer kwasasa nimeachana na maulid nimegundua meng sana kua sisi watu wa maulid hatuna hoja za kielimu bali tunatumia kibri na kujitoa ufahamu nahali tunajua kua tumepotea na kupoteza watu kwanza sisi walimu weng wa maulid tukimaliza tu masomo yetu ya din tunakua waganga washikina wakubwa kabisa asante shekhe bachu
@anwarKhan-gn6yt
@anwarKhan-gn6yt Год назад
@bwagizo sio kusema umekuwa answar,sema umekuwa ahlu Sunnah wal jamaa,na kufuata mwendendo wa wema waliotangulia
@omarjuma3678
@omarjuma3678 Год назад
Mashallah
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Год назад
Salafi = mfuasi wa Swahaba na Taabiina
@mvungijuma2025
@mvungijuma2025 Год назад
ALLAH akuongoze
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 Год назад
​@@mvungijuma2025 Allah atuongeze sote ndungu
@yussufmahbub7032
@yussufmahbub7032 Год назад
ماشاء الله تبارك شكرا جزيت خيرا .علي هذا التوضيح...سلمك الله من كل شرور
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
Kwakweli Ww Allah amekuleta kufagia fagia uchafu ktk dini Afrika masharki Mm nakuomba ktk ikiwezekana utengeneze kwa lugha nying Kiingereza kifaransa ili darsa zifike dunian kote Cjawah ona ukitoa darsa kwa akili zako kila darsa zako n full vitabu dalili alhmdulillah Allahu taala akuhifadh shekh ibnu Bachu❤❤
@husseinmahmoud7000
@husseinmahmoud7000 Год назад
Allahumah amiin
@abdillah7705
@abdillah7705 Год назад
ni kweli kabisa na hii ndiyo raha ya kufuata qur-an na sunna ya mtume Muhammad kila kitu kiko obviously i really i really ni raha sana hoja zina mashiko tena yenye nguvu lkn ukija kwa upande wa wale watu wa maulidi yani huelewi unchanganywa changanywa tu hakuna hoja hata ile ya ambayo kidogo ina mashiko hata moja Allah azidi kutupa uelewa katika dini yake
@mgungachannel9280
@mgungachannel9280 Год назад
Sheikh Bachu, nakuomba uwaite wwe ssi tutajitahidi kuchanga ili tufanyeni Mdahalo Tena ufanyike MOMBASA. Maana wao hawawezi kukuita na hawatakuja eka no: ya M-pesa Inshaa Allah. Kisha uwaite uwaalike wote wafike kwa ushahidi wako wa vitabu na wao pia sio kuongea kwa akili zenu.
@mbjunior166
@mbjunior166 Год назад
Swadakta sheikh rai nzuri sana nasi tupo tayar kuchangia!
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Год назад
SHEKHE SABASIBUL QUBRA USIMJIBU SIO MADA . ATAKUJA KUTUKANA TU MAANA YUSUFU DIWANI AKIFELI HOJA HUMTUMA HUYO RAFIKI YAKE ALOJITOA UFAHAMU NAKUJA KUTUKANA MARA KO MARA SIJUI MAPIGO GANI NI HOVYO TU. WE TUPE ELIMU TUZIDI KUKINAI . KUWAONGOZA WATU NI JUKUMU LA ALLAAHU
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Год назад
Subhaanallah llah!!..shekh Muhammad me nimekuelewa sana.
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Год назад
Maa shaa allah جزاك الله خيرا
@9119-r4t
@9119-r4t Год назад
Huyu kijana bachu anazungumza point kabisa alhamdulilah tumepata faida sana masha Allah
@kombojuma7835
@kombojuma7835 Год назад
Tangu nianze kukufuatilia nimejifunza vingi Shukrani sana
@canoksancomprehensivelearn7182
Huu ni mjadala kati ya watu wa haki wa tawheed nao wana hoja nzito za Quraan na sunna na watu wa baatil wa shirki nao wanalinda matumbo yao na wanafuata tamaa na mazoea na wabaki wakicheka leo sana lakin akhera wasiorudi watalia sana. Utawakuta hawana dalili zaidi ya kejeli laki sheikh Muhammad Nasor Allah amuhifadh anatia hikma na sio jazba na kejeli kama hao wa upande wa baatwil wanaotetea tamaa na matumbo tu. Mzes Shahran kasome na uwache kufuata tamaa maana wewe u mzee hufai kusema uyasemayo. Nilifikiria una bisara kabla lakin nakunasih umashuhur hauna muda na hautakusaidia ķitu
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Год назад
Sheikh usiwaonee hayaa waambie waekee wazi ushirikina wao. Allah akulipe kwa jannaht firdaus. Aamin
@maallimumusa6085
@maallimumusa6085 Год назад
Nawewe yusufu diwani mche allah kilitu allah atakusamehe
@hasreeyasini
@hasreeyasini Год назад
Wanakukimbia sheikh wangu comment wamezifunga kwa kukuogopa na kutuogopa sisi tunaokoment
Далее
Это нужно попробовать
00:42
Просмотров 234 тыс.
Bearwolf - GODZILLA Пародия Beatrise
00:33
Просмотров 78 тыс.
Это нужно попробовать
00:42
Просмотров 234 тыс.