Тёмный

MAKAMO WA PILI ZANZIBAR ACHOSHWA NA WANAOJENGA BARABARA YA CHAKE-WETE, AWATAKA WAJITATHMINI. 

Подписаться
Просмотров 3,5 тыс.
% 10

USIKOSE KUFUATILIA PBA ONLINE TV KWA KUSHERE, SUBSCRIBE NA KUKOMMENT ILI UWE WAKWANZA KUPATA VIDEO ZETU.

Опубликовано:

 

29 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@Pemba680
@Pemba680 2 месяца назад
Fukuza mkandarasi
@KhadijaAli-e7e
@KhadijaAli-e7e 2 месяца назад
Cjaona Mainjinia wazembe km hawa wanaojenga Barabara ya Wete, Ni miaka2 tena saiv bado wajenga tu. Mpk mnatukera tu kila cku hamwonekani mnachokifnya
@SuleimanSalim-ql3ny
@SuleimanSalim-ql3ny Месяц назад
Bora mngetuachia km ilivyokuwa tu cz hyo ndy njia ilobeba hstry ya pemba so kuliko ilivyobomolewa thn mpk leo haishughulikiwi
@MohdMohd-y6c
@MohdMohd-y6c 2 месяца назад
Maneno mengiii utendaji mdog
@abdallasheha4173
@abdallasheha4173 2 месяца назад
Bwabwsja tu badi
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 месяца назад
Kazi za Barabara hebu wapeni Wachina na achaneni na Wapemba wanaoita Urojo Saa za kazi. Tangu lini Mpemba akajenga Barabara? Au Kama Vipi wale I hizo Za kilomita 1 ndio zinawafaa na sio kilomita 26 kwa Mika 5
@hafidhkhamis
@hafidhkhamis 28 дней назад
elewa kwnza, usikurupke kwn hiyo company ya mecco ni ya Pemba?