Тёмный

MAKUBWA ALIYOFUNGUKA HAWA KWENYE KIPINDI CHA NITETEE SAUTI YA WANYONGE CHANNEL TEN 

Niteteetv
Подписаться 176 тыс.
Просмотров 4,4 тыс.
50% 1

Usisahau kusubscribe channel yetu pia bonyeza kengele upate update za video mpya...
youtube: niteteetv
instagram: @flora_nitetee2

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@faridaharuna2621
@faridaharuna2621 Месяц назад
Nataka Mwani Da Flora,nitaipataje Dadangu.Na pia nampa pole Dadangu Hawa,Mungu atamsaidia.
@AnethJohn-t4q
@AnethJohn-t4q Месяц назад
Mimi niliteseka sana niliangaika huku na kule sikupata afueni mwisho wa siku nilijikabizi kwa Mungu niingia thieta nikafanyiwa operation japo kulikuwa na changamoto nyinyi ila nilifanikiwa kutoka
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Месяц назад
Endelea kuomba Mungu wetu anakuona naamini UTAPONA TU
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Месяц назад
Subhanaallah yaarabi wape wangonjwa wote uzima yaarabi ameen 🙏🙏
@jemmimahjemimmah
@jemmimahjemimmah Месяц назад
Pole sana kuna muombaji huku kwetu kenya anaitwa pst Ezekiel hako vinzuri.
@WinnieKasambala
@WinnieKasambala Месяц назад
Nakuombeaga sana my dia Sister...May the Lord Jesus heal You in 1 way or another ❤
@MimahMimah-b7k
@MimahMimah-b7k Месяц назад
Huku Kenya tunazipataje flora
@TatuNgatare-g3l
@TatuNgatare-g3l 9 дней назад
Naomba namba naitaji chuo cha urembo
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Месяц назад
Nenda kwenye visomo vya rugya utapona in shaa Allaah
@DaiylaWamchongo
@DaiylaWamchongo 12 дней назад
Assalam.alaykm kwema. Mm nilikuwa naomba namba.zako nilikuwa nahitaji bidhaa zako
@WinnieKasambala
@WinnieKasambala Месяц назад
Je watoto wenye Sickle cell unawa saidiaje da Flora?
@mwajabumunna6398
@mwajabumunna6398 Месяц назад
Kama n binadamu anamtesa binadamu mwenzake hivi Hawa hutaingia kaburini mpk ushuhudie wabaya wako wakilipia mateso yako na inaweza kuwa wanateseka na hawatakua na aman kamwe
@UlfaRashid
@UlfaRashid Месяц назад
Nenda kwa masheikh wakusomee hiyo ni hasadi inakusumbua na mambo ya ushirikina
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 14 дней назад
Nahitaji namba yako frola nahitajidawa
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 Месяц назад
Hii mizimwi akitaka kupona aokoke kisha aombewe sara ya toba atolewe huko alipo wekwa na kubadili damu ya ukoo na kuweka damu ya yesu lasivyo mtihani bado upo
@amina3925
@amina3925 Месяц назад
Dada hawa usikate tamaa mungu hatakupitisha utavuka ilo dalaja
@beathalucas1161
@beathalucas1161 Месяц назад
Maji yaliyotibiwa ni sh. Ngapi
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 Месяц назад
Hawa Mungu akuponeshe lkn quran yote ni dawa . Jisomee suratul fatha . Ayatul kursi . Na kuwa ktk imani yako kwa sisi waislam haifai kwenda kwa waganga au kuombewa na mana bii.
@odilialazaro
@odilialazaro Месяц назад
Hello da frola nata dawa ya kukonda
@gemamuhoza3479
@gemamuhoza3479 Месяц назад
Fata kanguka
@GressGrgr
@GressGrgr Месяц назад
nenda kwa mfalume zumaidi utapona
@CatherineJanken
@CatherineJanken Месяц назад
We nae😏
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Месяц назад
😂😂😂😂makubwa zumarid which
@kamarhelo
@kamarhelo Месяц назад
We Kuma nini zumarid baba ako
@kamarhelo
@kamarhelo Месяц назад
Yani jituzima kabisa et zumalid hiv wew huwezi kumubud mungu mpaka umtegemee binadamu kwanin ndo anafunguo ya kumuona ufalme wa mungu au ni matendo Yako tu
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 Месяц назад
Wee unatoka utokako hujui hata unachoki comment zumaridi unamuabudu peke yako zuzu wee
Далее
Part 4. Roblox trend🗿
00:16
Просмотров 751 тыс.
MAZITO YAIBUKA.. UGONJWA WA HAWA
33:37
Просмотров 262 тыс.
Part 4. Roblox trend🗿
00:16
Просмотров 751 тыс.