Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Umesema kweli kabisaa sheikh Walid, Allah akulinde 🙏. Ukitaka mtoto au mke mwema, fuata tabia za Nabii Muhammad rehma na amani zimshukie yeye. Wanaume watavunjwa viuno kwa sababu wanaenda kinyume na sharia ya dini. Wengi wao hata kuswali uwakumbishe. Jazakallah kheir 🙏